MAIGIZO YAPELEKEA USUGU KATIKA NDOA
Inauma sana , na inaumiza snaa moyoni kuwaonyesha watu kuwa ndoa yako iko sawa kumbe inavuja damu!!inauma sana wakati ww unapambana kuwaonyesha watu kuwa kila kitu kiko sawa kwenye ndoa yako ..ukiamini kuwa ipo siku huyo mpnz wako kivuruge atabadilika na maisha yataendelea kama kawaida lakin bahat mbaya ndio kwanza hana habari na anaona kwake kila kitu sawa tu, haoni uzuni yako, haoni kilio chako, haoni juhjdi zako za kuleta furaha kwenye ndoa yenu..AMINI HILI LINAUMA SANA..na kama unampitisha mwenzi wako kwenye huu moto jua hili LINAUMA..hata kama ungempa pesa kiasi gani, ungempa kila kitu ila kuumiza hisia zake na kumnyima haki yake ya kuwa na FURAHA NA NDOA YAKE JUA UNAMUUMIZA... matokeo yake..UNATENGENEZA USUGU KWENYE MOYO WAKE IPO SIKU UTAULIPIA KWA MACHOZI ILA NDIO ITAKUWA TOO LATE......pain change people..hakuna mtu anayeumia maisha yake yote kuna point inafika moyo na akili vinasema basii!hataumia tena kwa ajili yako ..maumivu ya moyo yana mwisho..
