IFIKE MAHALA TUAMBIZANE UKWELI..
KAMA WEWE NIMWANAUME ALAFU UNATABIA HIZI BASI JUA UNATABIA ZAKIKE..
1: Kama wewe unatabia zakujadili maisha ya watu 👉HIYO NITABIA YAKIKE.
2: Kusuka dredi kichwani 👉HIYO NITABIA YAKIKE.
3:Kusubili ugongee msosi kwa shemeji au dada yako hali yakuwa umeshafikisha umri wakujitegemea na hutaki kutafuta vyakwako. 👉HIYO NITABIA YAKIKE.
4: Kuvaa milegezo Kununua suluali zakubana au kununua suluali alafu unapeleka kwa fundi ili aibane (modo)..
👉HIYO NITABIA YAKIKE.
5: Kumtafuta fundi ili akutengeneze kucha ikiwemo kusafisha kucha, kuweka brich kichwani..👉HIYO NITABIA YAKIKE.
6: Kupenda vyakula laini laini kama chipsi mayai.Pamoja nakupiga picha chakula unachokula nakupost kwenye mitandao yakijamii ili kujionyesha.. 👉HIYO NITABIA YAKIKE TENA UIACHE..
7: Kukataa kufanya kazi ngumu nakupenda kazi laini laini. 👉HIYO NITABIA YAKIKE.
8: Kuhalibu mipango ya mwenzako pale unapoona anaenda kufanikiwa ..👉HIYO NITABIA YAKIKE. Nahuenda ukawa mchawi..
9: Kujichubua. 👉HIYO NITABIA YAKIKE.
10: Kukunja midomo bila sababu kama umekula ndimu.. 👉HIYO NITABIA YAKIKE..
KAMA KUNAZINGINE WEKA HAPA KISHA SHARE.
Imeandikwa na mwalimu habelnoah
