USO WA FEDHA | FACE OF MONEY.
USO WA FEDHA # 29 [SWAHILI].
MTUNZI: Sunday JoaquimContact: 0658593797
Tulitoka nje na kuanza kuzipiga hatua kuelekea hazina ilipo, tulisogelea lift ilipokuwa Dennis alibonyeza kitufe cha kuita lift " sasa tunaenda ghorofa ya kumi na nne lakini tukishuka tu kuna vyoo vya kiume upande wa kulia wa korido tuingie huko kwanza kwa dakika moja" aliongea Dennis wakati tunasubiri lift " na mimi niingie choo cha kiume?" aliuliza Wendo "hapana wewe simama pale pale kwenye korido ukitusubiri lakini utaanza kufanya vile vituko" nilimpa Wendo maelekezo.
Lift ilifika tukapanda,tulishuka ghorofa ya kumi na nne,tukaelekea upande wa kulia kuelekea chooni,tulipita milango mingi ya ofisi lakini mlango mmoja alisimama mlinzi,alikuwa mrefu sana,ametanuka kwa mazoezi,alikuwa na uso wa kazi kweli kweli, kwa mikono yangu nisingeweza kumfanya chochote angeweza kunifinyanga kama foil haaaa haaaa jamaa alikuwa anatisha.
Tulipoingia chooni Denis akipenda juu ya vyoo akatoa begi lililokuwa na Zane mbali mbali alikifungua na kuanza kuzitoa,mara Kakwezi alinishika begani na kuanza kunong'ona "umeona ile mbavu nene?" " nimeiona sasa kwenye ule mlango ndio tunataka kuingia na wewe unatakiwa kumkabili yule jamaa,yule ana mafunzo maalumu toka Uturuki kwa hiyo yupo fit vibaya sana" aliongea Kakwezi, niliwaza kwa muda na mbinu ninayotaka kuitumia niliona nitafanikiwa tu,nilisogea mlango wa kuingia chooni,nilimwona Wendo kwa mbali ameanza visa, alikuwa akikata mauno na kucheza cheza kiasi cha kumfanya yule mlinzi kumwangalia na kujisahau kugeuka,nilivua viatu,nikachukuwa kipande cha nondo kilichokuwa kwenye lile begi,nilikimbia bila kusikika miguu,nilimfikia yule mlinzi bila ajizi nilimtandika nondo ya kisogo,aliyumba huku na huko nikamuongeza nyingine weeeeh hapana chezea nondo pamoja na ukubwa wake nondo ilimlaza chini.
Niligeuka nyuma kuwaangalia Kakwezi na Denis walikuwa wakichungulia kupitia mlango wa kuingia chooni, walikuwa haraka Denis alivaa gloves nyeusi akatoa kifaa maalumu akaanza kutafuta namba za kufungua mlango wa kuingia ofisini kwa yule tajiri, hapo zilibaki dakika ishirini tu sherehe kuisha na lazima tajiri apande ofisini kwake kwa muda wa robo saa ndipo atoke.
Mimi na Kakwezi tulimburuza yule mlinzi tukamfungia kwenye choo kimoja,tuliporudi pale mlangoni tukakuta Denis anamalizia namba ya mwisho,mlango ulifunguka,duuh! Ofisi ilikuwa kubwa sana yenye samani za gharama kubwa,kiyoyozi hakikuzimwa palikuwa na baridi si mchezo, tuliingia na kuanza kutafuta kile kikombe cha dhahabu na kisahani chake,hatukiona tuliangaliana usoni kila mmoja akishangaa " huwa kinakuwa hapa" Kakwezi alionyesha sanduku lililotengeneza kwa vioo tupu,tulivunjika moyo na kuchanganyikiwa.
Denis hakukata tamaa licha ya muda kuyoyoma,alizunguka kwenye kiti cha tajiri, chini ya meza aliona kuna safer la kutunzia fedha na vitu vya thamani,alitabasamu kidogo akaanza kuhangaika nalo kujaribu namba za kufungua lile safer,mara zilibaki dakika kumi,Denis aliendelea kuhangaika akafanikiwa kulifungua hapo zilibaki hakika saba,aliona kile kikombe cha dhahabu na kiasahani chake kulikuwa na vito vingine pamoja na fedha za kigeni nyingi, Denis alikomba vyote "sasa utatoka navyo vipi vitu vyote hivyo?" Kakwezi alimuuliza Denis,aliona ni kweli itakuwa ngumu kutoka na mzigo mkubwa,aliamua kuchukuwa kikombe akaweka ndani ya koti lake,kisahani alimpa Kakwezi,mimi nilichukuwa fedha za kigeni nikasunda ndani ya mifuko yangu ya koti na suruali,nyingine nilimpa Wendo akajipigilia kwenye matiti na kwenye kufuli lake,tukaanza kutoka,tulipanda lift kushuka lakini Denis alitaka tushuke ghorofa ya pili, tulishuka na kuanza kushuka kwa ngazi,tulipotoka kwenye ile ofisi mlango ulikuwa ukirudi taratibu, ulipojifunga tu alarm zilianza kulia kuashiria kuna tatizo kwenye ofisi ya tajiri.
Wakati alarm zinalia Sisi tulikuwa kwenye lift kwa hiyo hatukusikia,tulipofika ghorofa ya chini kabisa tuliona askari polisi na askari wa makampuni ya ulinzi wakiwa wametanda wanampekuwa kila mtu anayetoka kwenye lile jengo,tukaona hapa sasa tumelichuma janga " msiogope tunapita hapo hapo" aliongea Kakwezi tulijikaza kiume tukaanza kuwasogelea wale askari.
Tulipo wafikia karibu "simama hapo hapo wote mikono juu" askari mmoja alitoa amri,Kakwezi alikuwa ametangulia mbele,alitoa kitambulisho chake askari alichukuwa akakisoma,alimwangalia kwa muda " sawa mkuu endelea,tulitoka taratibu nje ya jengo tukaingia kwenye gari tukaanza kuondoka,wakati tunaishia ghafla tuliona gari za polisi zikija nyuma yetu kwa kasi,kumbe waliangalia kwenye screen za camera walituona mimi, Denis, Kakwezi na Wendo,kwa hiyo walijuwa ni Sisi tu ndiyo tunahusika na uhalifu uliotokea pale mjengoni,tulianza kufukuzana na polisi,ilifika mahala tuliona gari inachelewa baada ya kufika maeneo ya Ilala msimbazi tuliacha gari na kukimbilia bondeni huku milio ya risasi ikitufuata .
Tulikimbia mpaka mto Msimbazi, hapo tulijibana kwenye ukuta kujibu mapigo,tulirudisha mapigo mpaka polisi walichanganyikiwa,tuliwasimamisha kwa muda ili tuweze kuvuka bonde na kuingia Kigogo,tulifanikiwa kuvuka bonde katika hali ya utulivu sana, tulifika Kigogo juu tulikodi tax na kurudi hotelini " sasa Uso wa Fedha kazi umeifanya kikamilifu sana kweli wewe ni master mind kama yule kidevu alivyo niambia sasa tunapeleka mzigo kwa wakubwa tupate posho letu wewe subiri hapa" " sawa hapana tabu" tulikuwa tumechoka sana japokuwa nikitamani kumwimbisha Wendo lakini nilikumbushwa na michirizi ya damu mgongoni kuwa bado sijapona sawaswa,nilimwangalia Wendo kwa uchu sana,nilienda kuoga naye,yaani nilijiona joka la kibisa kweli,Wendo mwenyewe alikuwa akiniangalia kwa macho ya uchokozi,niliumia moyoni kushindwa kutamba mbele ya mrembo Wendo,tulitoka bafuni Wendo akawa anajifuta maji mara kainama mara katanua miguu,mara kajichunguza chuchu zake daah mate makali ya uchu yalinichoma.
Nilipanda kitandani kwa huzuni huku nikimlaumu shetani kwa kunitangulia na kusababisha nakula vinono kwa macho,Wendo aliona ile mishono na nikimwambia kilichonisibu " jamani pole sana" aliongea Wendo kwa sauti nyororo sana,tuliptiwa usingizi tukalala mpaka karibu na alfajiri nilisikia mlango ukigongwa kwa nguvu sana "ngongo NGO mgongo ngo" nilishtuka nilikurupuka nikaenda kufungua mlango,nilikutana na kelbu kali shavuni mwangu............. ENDELEA KUSOMA SEHEMU YA 30 YA SIMULIZI YA USO WA FEDHA.
FACE OF MONEY #29 [ENGLISH VERSION].
We went out and started taking steps towards the treasure where it is, we moved the lift when Dennis Press the call button "now we are going to the fourteenth floor but when we go down there are male toilets on the right side of corridor let's go there first for one minute" he spoke Dennis while we wait. Lift " and I get into the male toilet?" asked chronological " no you stand there at the corridor when you wait for us but you will start doing how drama " I gave it to chronological directions.The lift came up and we went up, we went down the fourteenth floor, we headed to the right side towards the toilet, we passed through many doors of office but one door stood up the guard, he was very tall, he had a face of work, he had really a face of work really, in my hands I couldn't make him Anything he could find me like a coil haaaa haaaa haaaa the guy was scary.
When we entered the toilet, Denis wishes on the toilet, he took a bag with different design and started taking it out, immediately he caught me and started saying " have you seen the big ribs?" " I have seen the right ribs?" " I have seen now on the door that we want to enter and you are supposed to face the same. Guy, the one who has a special training from turkey so he is fit very badly " he spoke in kakwezi, I thought for a while and technique I wanted to use it I saw I will just succeed, I listened to the door to enter the toilet, I saw him chronological and playing a bit of To make the guard look at him and forgot to turn, I took off my shoes, and took a piece of wheel that was in the bag, I ran away without listening to my feet, I reached the guard without an accident. I wrote his back and there I added to him, I didn't play with his hair. Lay it down.
I turned back to look at them in kakwezi and Denis were watching through the door entry to the toilet, they were quick denis wore black gloves and gave a special device and started looking for numbers to open the entrance to the office for the rich man, there remained only twenty minutes the ceremony to end and must the rich man to pass in the office for the rich. The quarter time is coming out.
Me and kakwezi we dragged the protector and locked him in one toilet, when we came back to the door we found denis finishing the last number, the door opened, huh! The Office was very big with expensive furniture, the air was not stopped there was cold and not a joke, we went in and started looking for the golden cup and its cup, we didn't see each other on the face everyone was surprised "it always was here" the kakwezi showed the box that made it empty, we broke up. Heart and confused
Denis did not give up despite the time to shave, he went around on a rich seat, under the table he saw there was a safer to pay money and precious things, he smiled a little and started struggling with it trying numbers to open the safer, once it remained ten minutes, Denis continued and opened it. There remained indeed seven, he saw what a cup of gold and his promise were other stones with many foreign silver, Denis got all of them " now how will you come out with it all that things?" and he asked Denis, he saw that it will really be difficult to come out of the load. The big one, decided to take the cup he put inside his coat, the promise gave him to kakwezi, I took foreign money and cut it inside my bags of coat and pants, the other I gave him chronological and cast himself on the breasts and on his locks, we started from, we climbed down but he wanted denis Let us down the second apartment, we went down and started down the ladder, when we came from the office the door was coming back slowly, when you closed the alarm started crying to indicate there is a problem in the rich office.
When alarm cries we were on the lift so we didn't hear, when we arrived at the lowest floor we saw the police officers and the soldiers of the defence companies while they were holding everyone out of the building, we saw here now we have earned a disaster "don't be afraid we pass there" he spoke to the kakwezi we grew up there. Then we began to approach the soldiers.
When we got closer to " stand up there all hands up " one soldiers gave a command, the one who had gone ahead, gave his id to the soldiers he read, he looked at him for a while " Okay, continue, we went out slowly outside the building and began to leave, when we end up suddenly. We saw police cars coming behind us at speed, so they looked at the camera screen they saw us, Denis, kakwezi and chronological, so they knew that we are the only one who is responsible for the crime that happened when in the building, we started chasing the police, it came to where the car is late. When we arrived at ilala msimbazi, we left the car and went to the valley with a bullet following us.
We ran away to river msimbazi, when we met ourselves on the wall to answer the rhythm, we returned the pulse until the police were confused, we stopped them for a while so we can cross the valley in a very calm state, we went to the gogo high and we got back to the hotel and returned to the temple " Money work you have done very perfectly. Truly you are master mind like the chin he told me. Now we are taking luggage to the elders and get our allowances. Wait here "ok no problem" we were very tired though I wished to sing for others but I was reminded of blood donations on the door that I have not healed. , I looked at her chronological so much, I went to take a bath with him, meaning I saw myself a really wet dragon, chronological himself was looking at me in the eyes of aggression, I hurt in my heart unable to wash in front of beautiful things, we came out of the bathroom and she fell on his feet immediately, he went out of the legs. Her nipples huh, the edge of the touches burned me.
I got up to bed with grief while blaming the devil for going ahead of me and because I eat fat with my eyes, chronological saw the designs and telling him what happened to me " guys, very sorry " he spoke to us and slept until dawn I heard a lot of strength " NGO BACK NGO " I was shocked I exploded you and went to open the door, I met a great kelbu in my side..........CONTINUE TO READ PART 30 OF FACE OF MONEY.
