USO WA FEDHA | FACE OF MONEY.
USO WA FEDHA # 21[SWAHILI].
MTUNZI : Sunday JoaquimContact : 0658 593 797
Selina alishindwa kuniangalia usoni moja kwa moja,nilijisikia raha sana maana mwanamke bila aibu hana mvuto,nilimshika kwenye mkono wake kushoto,alihisi joto tamu la mkono wangu kwa kuwa tulikuwa ufukweni hali ya hewa ilikuwa na kabaridi hivyo alihitaji joto,alisisimka na kutikisa kichwa chake mara kadhaa,aliingiwa na hisia kali,alilegea macho nilihisi amepata mfadhaiko wa kimapenzi,niliona ni wakati mwafaka sana kutupa mashairi "Selina una macho mazuri sana" nilimwambia hivyo ili kumfanya aone aibu zaidi "haaa haa asante" "una umri gani?" "mmmh ishirini na sita" "vizuri... sikiliza Selina wewe ni msichana mzuri na mrembo sana" nilimwambia tena ili kumlegeza zaidi,alizungusha macho kwa aibu akiukwepa uso wangu "asante jamani mbona mimi wa kawaida tu" "mh kawaida wapi?.... chumbani kwako kuna kioo?" nilimuuliza kimtego tu najuwa kuna kioo kirefu kwenye makabati.
"mmmh kipo... kwa nini umeniuliza hivyo?" "kwasababu naona bado hujajijuwa vizuri" alishtuka kidogo,alijaribu kunikazia macho asiweze "sijajijuwa kivipi?" "sio muhimu kujuwa sasa utajuwa hapo baadae.." nilijidai sitaki kumweleza chochote kwa muda ule ili tu kuvuta umakini wake "naomba niambie" "sawa ni hivi nimekuchunguza kwa muda mrefu.... nimeona una tabia njema sana.... mhhh naona bora uwe mke wangu" alishtuka sana alitoa macho akaganda huku akiniangalia,mikono yake akifumba kinywa chake kwa mshangao mkuu,niliogopa kidogo lakini nilijikaza kiume na kumwangalia huku nikitabasamu kuashiaria naamaanisha nilichomwambia,ukimya ulitawala kwa dakika kama mbili hivi,sikuongeza neno zaidi ya kuchukuwa bia yangu na kupoza koo langu lililokuwa na dukuduku.
Selina alionekana kama anataka kusema kitu lakini alishindwa licha ya kujaribu mara kadhaa,alikuwa akihema kwa nguvu sana,niliinuka toka kwenye kiti changu,nilimsogelea na kumchumu shavuni,alishtuka tena na kusisimka kama vile mtu aliyeingizwa unyoya wa kuku sikioni,alianza kulengwa machozi,nilijidai kama mtu mwenye huruma sana,nilimshaka mkono na kumwinua,aliinuka bila kusita,nilimsogeza karibu yangu akaniinamia kifuani nikajuwa kazi imekwisha,nilimkubatia kama dakika moja alafu nilimsogeza kidogo na kuanza kutembea naye kuelekea ufukweni,nilitembea naye ufukwei huku nikimweleza sehemu ndogo ya maisha yangu yaliyojawa uchungu,nilifanya hivyo kwa makusudi wala sikutaka kuonewa huruma,alilia sana kwa sabababu maisha yangu yalimhuzunisha sana,nilimshika mabegani na kumgeuza,tukawa tunaangaliana uso kwa uso,nilianza kulamba machozi yake hapo mwanaume niliuwa Tembo kwa ubuwa.
Nilitumia akili ya kuzaliwa,Selina alilala kifuani kwangu na kutulia tuli,nilifarijika sana,nilijuwa nimeshapata mke,tulirudi kwenye meza yetu,Selina aliniomba aagize wine,nilimruhusu kwasababu nilijuwa kuku anajipaka viungo kujilainisha mwenyewe,alianza kunywa wine taratibu ikaanza kumpanda kichwani,niliona ninywe bia zangu haraka ili tuondoke,muda huo ilikuwa yapata saa saba za usiku,George na Geofrey walirudi tukaondoka kurudi nyumbani,tulipofika nyumbani Selina alikuwa hajiwezi hata kushuka kwenye gari alishindwa "Selina mpenzi shuka tumefika" nilimwita mpenzi kwa mara ya kwanza ili kuona kama atashtuka "sishuki nipeleke nyumbani" ilikuwa kazi kubwa "kwani hapa wapi mpenzi wangu?" "sijui mimi we nipeleke nyumbani" aliongea kwa lafudhi ya kulevi sana,mdomo ulikuwa mzito kama mlango wa pantoni,nilikuwa nikicheka tu.
Nilishuka na kuelekea upande aliokuwa ameketi Selina,nilifungua mlango na kumshika taratibu,nilimbeba na kumwingiza moja kwa moja chumbani kwangu,nilirudi kufunga gari,akili yangu yote ilikuwa imewehuka kwa Selina,sikuwaza jambo lolote zaidi ya kijimegea penzi jipya,nilirudi ndani kwa kasi ya rocket,nilipofika chumbani kwangu nilimwona Selina bado amelala kihasara hasara,nilianza kusaula nikabaki kama nilivyozaliwa,nilimsogelea Selina,nilimweka sawa na kuanza kumvua kigauni chake cha kimtego,niligeuza geuza ili kufanukisha kuta kale kagauni,nilimtoa sidiria nikajuwa nakaribia ikulu,nilisismka na kuweweseka sana Selina alikuwa mweupe sana jamani mwenye umbo tamu sana,hakika alinitia wazimu wa muda,nilishika ch*** nakuanza kuivua,nilipoifikisha kwenye magoti ghafla Selina alishtuka "baba unataka kufanya nini?" mh hapo nilistuka na kuishiwa pozi...................ENDELEA KUSOMA SEHEMU YA 22 YA USO WA FEDHA.
FACE OF MONEY #21 [ENGLISH VERSION].
Selina failed to look at me on her face directly, I felt so happy because the woman without shame is not attractive, I caught her on her left hand, she felt the sweet heat of my hand since we were on the shore the weather had so cold so she needed heat, she got excited and shaking her head immediately Several, she got a severe feeling, she moved his eyes I felt she got a romantic stress, I saw it's a very good time to throw poetry " Selina you have such beautiful eyes " I told her so to make her feel more ashamed " haaa haa thank you " " what age do you have?" " hmm Twenty-six " " well... listen to Selina you are a beautiful and very beautiful girl " I told her again to wash her more, she turned her eyes with shame as she avoiding my face " thank you guys why am I just normal " " MH normal where?.... in your room There is a mirror?" I just asked him kimtego, I know there is a deep mirror in the glass." hmm is there... why did you ask me that?" " because I see you haven't known yourself well " he was shocked, he tried to look at my eyes so that he can't " I don't know how?" " it is not important to know that you will know later.." I thought I don't want to tell him anything for a time. The one in order to pull her attention " please tell me " " ok it's like this i have examined you for a long time.... I have seen that you have a very good character.... Mhhh I see it better be my wife " she was shocked she gave eyes and frozen while looking at me, her hands tied her mouth to Great surprise, I was scared a little but I smiled male and looked at him smiling and naamaanisha what I told him, silence ruled for two minutes like this, I didn't add a word more than taking my beer and cooling my throat with a tear.
Selina seemed like she wants to say something but failed despite trying several times, she was smoking very strong, I got up from my chair, I swimming and hated her on the side, she was shocked again and excited like the man who entered the chicken's chicken in the ear, she started being drunk, I was called tears. A Very merciful man, I doubted his hand and raised him up without hesitation, I moved him close to me and he fell on my chest and I knew that the work was finished, I took him a little minute and started walking with him to the beach, I walked with him in a little pain, I moved my life in my chest. I did it intentionally and I didn't want to be oppressed, he cried a lot because my life was very sad, I caught him on his shoulders and turned him, and we were looking at each other face to face, I started licking his tears there the man I killed the elephant in kill.
I used birth mind, Selina slept on my chest and calm down static, I was so comforted, I knew that I had already got a wife, we went back to our table, Selina asked me to swallow wine, I allowed him because I knew the chicken is putting ingredients to install himself, she started to drink wine and began to drink him. Mine quickly so that we can leave, that time was about seven pm, George and Geoffrey came back and left back home, when we got home Selina was unable to even get down in the car she failed " Selina Lover Sheet We arrived " I called a lover for the first time to see if she will be shocked " Sishuki Take me home " it was a great job " so where is this my love?" " I don't know what I am going to take me home " he spoke in a lot of kulevi, the mouth was as heavy as the door of bench, I was just laughing.
I went down and towards the side where she was sitting selina, I opened the door and held her gradually, I carried her and entered her directly into my room, I came back to close the car, all my mind was dropped on Selina, I didn't think of anything other than kijimegea new love, I got back in the rocket , when I got to my room, I saw selina still lying in loss, I started kissing and left as I was born, I swimming Selina, I put her ok and started taking off her kimtego gown, I turned it to form the wall, I rated her and I knew it I was close to the palace, I was so close to the palace. Very White guys with a very sweet shape, surely he made me mad of time, I caught ch *** I started opening it, when I reached it on my knees suddenly selina was shocked " Father what do you want to do?" mh there I was shocked and threatened the pose.................CONTINUE TO READ PART 22 OF FACE OF MONEY.
