Notification texts go here Contact Us Buy Now!

USO WA FEDHA | FACE OF MONEY # 15

USO WA FEDHA | FACE OF MONEY.

USO WA FEDHA | FACE OF MONEY # 15 - BONGOLIFE.

USO WA FEDHA # 15 [SWAHILI].

MTUNZI : Sunday Joaquim
Contact : 0658 593 797

Walikuwa warefu weusi waliovalia miwani nyeusi,jeans nyeusi na fulana za kubana nyeusi,walikuja kwenyegari yangu huku wakinielekezea silaha zao,mmoja alifungua mlango na kunivuta nje,nilishikwa na bumbuwazi kwa kutoamini ninachokiona,walinipekeka kwenye gari yao Volkswagen Transporter yenye vioo vyeusi,ilikuwa na watu wengine wawili waliovaa kama wale walionikamata,walnipokea na kunifunga kitambaa usoni na mdomoni,gari ilianza kuondoka,sikuweza kujuwa ninapo pelekwa,sikuweza kuhoji kwa kuwa nilifungwa kitambaa mdomoni,niliona faida ya ujambazi ndio nailipa kwenye utu uzima,nilinyamaza kimya huku niisali kimoyomyo.

Gari ilizunguka mitaa mingi ya mji,nilijuwa wazi walifanya hivyo ili nisijue wanapo nipeleka baada ya kama saa tatu za kuzunguka mwisho nilipelekwa kwenye chumba kimoja kilichokuwa na giza nene,waliniweka katikati ya kile chumba alafu walinifungua kitambaa cha usoni na kile cha mdomoni,kulikuwa na taamoja kali iliyokuwa na joto kali,ilikuwa ikinimulika kichwani "Uso wa Fedha...wewe mjanja sana eeh" sauti ya kiume ilisikika toka kwenye lile giza,nilishtuka na kujaribu kukodoa machoili nimuone aliyekuwa anaongea lakini macho yangu yalizidiwa nguvu na giza sikuona mtu "yaani wewe umefanya ujambazi alafu unajidai kuacha kumbe unatumiwa na polisi kutuchoma sasa utuambie ukweli au tutakuonyesha" daah maneno yale yalinichanganya sana,niliwauliza kwani ninyi kina nani? "haaa haaaa sisi ni wale wale uliotusaliti" "mbona mimi sijawahi kusaliti hata siku moja?" "mwongo wewe... usitufanye wajinga"

Nilianza kuona haikuwa mzaha walikuwa wakimaanisha,mara alitokea mtu mmoja mrefu toka gizani aliyejifunika uso wake,alikuwa na mkia wa taa,alinivua shati na kuanza kunitembezea mkia wa taa mgongoni,alichapa kwa nguvu nilihisi maumivu yaliyo changanyika na muwasho,nilitamani hata kujikuna lakini sikuweza mikono yangu ilifungwa kwa kamba ya katani "sema ukweli tutakuacha" nilisikia sauti ikiniambia,"jamani mimi sijui lolote mnalosema" nilijitetea bila kuhurumiwa,nilianza kuhisi damu ikichirizika mgongoni,jamaa aliyenichapa wala hakuona huruma alinichapa humo humo kwenye vidonda,aliniacha vipoe alafua alianza upya kunichapa,nilijuta kuzaliwa,nimeishi kwa tabu sana utotoni naanza kupata ahueni napewa mateso bila hata kujuwa kosa langu.

Chumba nilichotesewa hakikuwa na dirisha,hata nilivyokuwa nikilia kwa sauti haikusikika,joto liliongezeka mule ndani,waliniacha kwa muda,waliwasha kiyoyozi na wao walitoka nje,waliporudi waliniambia "mpuuzi wewe ujambazi huwa hatuachi kwasabau umeshajuwa siri nyingi na wahusika wakuu lazima uendelee,ukishakuwa mtu mzima wewe nawe unakuwa unatuma vijana wadogo kufanya kazi tumeelewana?" niliitikia kwa kutikisa kichwa tu,taa ziliwashwa,macho yalinitoka nilimuona Chosta na mukubwa pamoja na watu wengine watatu ambao sikuwafahamu, Chosta alikuwa na jicho moja nilishangaa sana nilimuuliza mbona umenitesa hivi? "nilikamatwa na polisi walisema kuwa wewe ndiye uliyenichoma hivyo nalipa kisasi unaona walivyonifanya" alionge na kunionyesha hilo kovu la jicho lake.

Chosta mimi naanzaje kukufanyia hivyo? " kama umeweza kumwozesha mkeo kwa mzungu huo ni zaidi ya usaliti unashndwaje kunisaliti mimi?" nilimuuliza mbona sikuelewi "utanielewa vipi na wewe jana ulikunja dola za mzungu yaani we jamaa kiboko sana ulichofanya kimezua gumzo mji mzima" niliona iabu kiasi niliinamisha kichwa,walinimwagia maji ya chumvi kisha walinifunga kitambaa usoni ili nisione eneo walilo nipeleka kunitesa,walinitoa nje na kuniingiza kwenye gari,walinipeka mpaka karibu na nyumbani kwangu walifungua mlango wa gari na kunitupa nje "ole wako ujaribu kulipa kisasi" aliongea mmoja wa vijana walioenda kunitupa huku akinisukuma kwa mguu,niliumia mwili,akili na roho pia,niliapa rohoni kulipa kisasi,yaani Chosta ananifanyia hivi? amesahau kuwa na mimi ninja vilevile?,ilikuwa usiku wa manane walipo nitupa,niligalagala bila msaada,mara kuna gari ya kampuni moja ya ulinzi ilipita na waliona,walikuja kunisaidia,walinifungua kamba na kunihoji.

"umepatwa na nini ?" "atakuwa alitekwa huyu si naona wamemfunga" wale walinzi waliongea maneno mengi haraka,niliwaambia ni kweli nilitekwa na watu nisio wajuwa lakini nashukuru nyumbani kwangu ni hapo tu "hapana tumpeleke polisi kwanza" aliongea mmoja wa wale walinzi,nilikataa katakata,waliniacha na kuondoka,nilijikokota na kuinga ndani,Rahabu alikuja kunifungulia mlango "baba umepatwa na nini? maaamaaa" Rahabu aliniuliza na kuanza kulia,nilimtuliza kwa kumkemea "wewe nyamaza ssssshhhhh utajaza watu" Rahabu alishtuka na kunyamaza akiwa bado anaogopa,shati langu lilikuwa limelowa damu ndizo zilizo mtisha,nilimwambia anichemshie maji ya moto,alichemsha na kuja kunikanda,nilikuwa hoi hata kujigeuza sikuweza kwa maumivu,Rahabu alikuwa na mikono laini sana,alinipaka dawa ya vidonda kwa taratibu sana ili nisihisi maumivu.

Baada ya kama mwezi mmoja nilikuwa nimepona vidonda vyote,magamba ya vidonda yalikuwa yakibaduka yenyewe,nilianza kujipanga kulipa kisasi,nilipepeleza sana kuhusu Chosta ili nimfanyie shambulizi ambalo hatosahau maishani,bila kutegemea nilipata taarifa nzito kuhusu Chosta...................ENDELEA KUSOMA SEHEMU YA 16 YA SIMULIZI YA USO WA FEDHA.

FACE OF MONEY #15 [ENGLISH VERSION].

They were tall black dressed in black glasses, black jeans and black pin, they came to my car while they accompanied me, one opened the door and pulled me out, I was caught with a stuns for not believing what I see, they put me into a volkswagen car with their glass, it was was Two others dressed like those who caught me, they received me and closed a cloth on my face and in my mouth, the car started leaving, I couldn't know when I was taken, I couldn't question since I was closed in my mouth, I saw the benefit of an animal that I pay in life, I kept quiet while I was silent.

The car went around many streets of the city, I knew clearly they did so that I didn't know when they took me after three hours around I was taken to the same room that was dark, they put me in the middle of the room and then opened me on the face and the mouth of the mouth, and there was together A hot hot heat, it was covered in the head " face of money... you are so clever huh " the male voice heard from the darkness, I was shocked and tried to spot tears to see who was talking but my eyes were overwhelmed by darkness I didn't see anyone " I mean you You have done a crime and then you pretend to stop so you are being used by the police to burn us now tell us the truth or we will show you " Daah those words lied to me so much, I asked who are you? " haaa haaaa we are the ones who betrayed us " " why have I never betrayed you even one day?" " you are a liar... don't make us fools "

I started seeing it wasn't ridiculous they were meant, immediately one tall man came out of darkness who covered his face, he had a lamp tail, he opened me the shirt and started to visit me the tail tail on the back, he beat it strongly I felt the pain mixed with intensity, I wanted to even lay hands on myself but I couldn't even have hands Mine was tied to a linen rope " say the truth we will leave you " I heard a voice telling me," I don't know anything you say " I defended myself without being hurt, I started to feel blood falling on the back, the guy who beat me and did not see mercy he beat me in the video, he began to kill me. I regret being born, I have lived in a lot of trouble in my childhood I am starting to get recovery and suffering without even knowing my mistake.

The room that I was moved didn't have a window, even when I cried out loud it was not heard, the heat grew up in, they left me for a while, they turned out the air and they went out, when they came back they told me " the foolish you do not leave or have a great characters, you must not know the whole of the great characters, you had to continue. You and you become sending young boys to work we understand each other?" I responded by shaking my head, the lights were turned out, the eyes came out I saw chosta and the size and three other people I didn't know, chosta had one eye so surprised I asked him why you tortured me like this? "I was arrested by the police they said that you are the one who burned me so I pay revenge you see what they made me" he spoke and showed me that scar of his eye.

Chosta, how do I start doing that? " if you have been able to bring your wife to a white man that is more than betrayal how are you going to betray me?" I asked him why I didn't understand you " how will you understand me yesterday you fold the white dollars I mean you guys are very cane what you did have raised the whole city " I saw a little bit of water, I poured my head. Of salt then they closed me cloth on their face so that I didn't see the place where they took me to torture me, they took me out and took me to the car, they took me to close to my house they opened the door of the car and threw me out "Woe to you try to pay revenge" spoke one of the young people who went to push me to push me , I was hurt my body, mind and spirit, I swore in the spirit to pay vengeance, is that what is the thing to do to me? He has forgotten that with me ninja as well?, it was midnight when they threw me, I fell without help, immediately there was a company of one defense company passed and saw, they came to help me, they opened the rope and questioned me.

" what have you got?" " he will be captured this one not I see they have closed him " those guards spoke a lot of words quickly, I told them it's true that I was captured by people I didn't know but I thank my home it's just there " no let's take him to the police first " spoke one of those guards, I refused She refused, they left me and left, I drag and entered in, Rachel came to open the door for me " Father what happened to you? Maaamaaa " Rahab asked me and started crying, I calm her by rebuked her " you shut up ssssshhhhh you will fill people " Rahab was shocked and kept quiet while she was still afraid, my shirt was wet with blood, I told her to water me water, she even came to turn me out of the region. I couldn't be in pain, Rahab had very soft hands, she gave me the medicine of ulcers very slowly so that I don't feel pain.

After like one month I had healed all ulcers, the ulcers were yakibaduka itself, I started planning myself to pay revenge, I explained a lot about chosta so that I can make him an attack that he will not forget in life, without depending on I got a heavy information about chosta.............CONTINUE TO READ PART 16 OF FACE OF MONEY.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.