Notification texts go here Contact Us Buy Now!

DADA ZETU KUWENI MAKINI NA MFANYAYO SOMA HII KWA FAIDA YAKO


miaka 3 iliopita nimekuwa ktk matatizo makubwa sana ....nawashwa sana ukeni...hosp wanasema ni fungus ..natumia dawa baada ya wiki tatizo linarudi pale pale...nimekuwa mtu wa kujikuna muda wote ..uchi unawaka moto.kwa kujikuna...nimeendelea na tiba mpk likaibuka tatizo lingine...kila ninapofanya tendo ndoa napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpk naanza kubleed.kurudi tena hosp wakasema nipime vipimo vya kansa...ikabidi watoe kinyama ndani na kufanya vipimo...majibu yalipotoka wakasema hakuna kansa.lkn tatizo linazidi kuongezeka siwezi tena kufanya tendo la ndoa...lkn madaktari ktk vipimo vyao wakagundua ndani ya uke kwenye mlango wa kizazi kuna wekundu mwingi sana,badala ya rangi ya pink.kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo inashambuliwa sana na bacterial wasiosikia dawa...wakajaribu kupeleka dawa hapo kwenye hilo eneo lililoathirika bado ilishindikana kuwaua walikuwa bado wanaonekana wanashambulia.ikabidi madatari muhimbili waniulize jinsi ninavyofanya usafi ktk uke wangu..nikawaeleza ukweli nilichokuwa nafanya...NASAFISHA KWA KUINGIZA VIDOLE NDANI,NAJIINGIZA ASALI NA PAMBA NDANI ILI UKE UWE UMEBANA NA VINGINE VINGI TU TUNAVYOSHAURIANA WASICHANA.(VIUNGA KUMA) madaktari wakaniambia sababu ya matatizo yangu ni ..nimeua bakteria wote ambao ni walinzi...ndani ya uke....ndio maana uke wangu umeshambuliwa sana sana na bacteria ambao hawasikii dawa...NDUGU ZANGU MAKUNGWI WENZANGU....LEO HII NALIA PEKE YANGU NILIKUWA NIKIUNGA SANA UKE WANGU KWA VIUNGIO NA NAINGIZA VIDOLE VYENYE KUCHA NDEFU NAINGIZA MPAKA SABUNI .ILI KUOKOA MAISHA YANGU MADKTARI WAMESEMA NI LZM WANITOE KIZAZI CHANGU...SABABU NIKIACHA ITAGEUKA NA KUWA KANSA...HALI YANGU NI MBAYA ...BADO BINTI MDOGO NATOLEWA KIZAZI MIAKA 29 TU.......SIKU YA JUMATATU NDIO NAFANYIWA OPERATION YA KUTOLEWA KIZAZI.....NAOMBA MNIWEKE KTK SALA ZENU....OPERATION IENDE SALAMA.........NAWAPENDA WOTE....

TUMA UJUMBE HUU NA KWA WENGINE KAMA MIMI NILIVYOUPOKEA NA KUUTUMA KWAKO!!!! Hata kama we ni mwanaume mfundishe mkeo au bintiyooo😳😳😳😭😭😭😭😭😭😭😭

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.