Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.
VYANZO VYA SUMU
Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;- Kutokulala mda unaotakiwa
- Kukaa kwenye kiti mda mrefu
- Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
- Ukosekanaji wa lishe sahihi na diet nzuri yenye kuongeza
- Matumiziya sigara Na pombe kali
- Uzito mkubwa uliopindukia
- Mitindo ya maisha
DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI
- Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi,vipele
- kuwa na uzito wa kupindukia
- kutokupata choo au choo kigumu
- kukosa usingizi Na kujihis kuchokachoka
- Kiichwa kuuma
- Kupata miwasho
- Maumivu ya viungo Kama vile mgongo,goti
- kuwa na hasira mara kwa mara.
- Tumbo kujaa gesi
MADHARA YAKE
- kuondoa hamu ya tendo la ndoa
- maumbikizi ya figo
- Maumbikizi ya Ini
- Hupelekea matatizo ya kutopata watoto.
- hupelekea uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke
- Hupelekea matatizo ya pressure
- Kifo
