1. Wazo la biashara ya Kutengeneza Vikapu.
2. Wazo la biashara ya kutengeneza taulo za kike.
3.Wazo la biashara ya kutengeneza Herbal deodorant.
4. Wazo la biashara ya kutengeneza Matofali kwa kutumia plastick.
5. Wazo la biashara ya kutengeneza Maziwa ya Unga
6. Wazo la biashara ya Kutengeneza power Inverters.
7. Wazo la biashara ya kutengeneza sandals za lather.
8.Wazo la biashara ya kutengeneza mabegi ya shule .
9. Wazo la biashara ya kutengeneza toothpick.
10. Wazo la biashara ya chaki
11. Wazo la biashara ya Yard ya kulaza magari usiku.
12. Wazo la biashara ya kutengeneza Mafuta ya ngozi.
13.Wazo la biashara ya kutengeneza Tishu za kujifutia (Serviettes).
14. Wazo la biashara ya kutengeneza Mayonaise Cream.
15. Wazo la biashara ya kutengeneza magodoro.
16. Wazo la biashara ya Kutengeneza Cement based Products.
17. Wazo la biashara ya kutengeneza bangili za plastik.
18.Wazo la biashara ya kutengeneza rangi za wachoraji.
19. Wazo la biashara ya kutengeneza rangi ya kucha.
20. Wazo la biashara ya kutengeneza Chakula cha mifugo.
21. Wazo la biashara ya kusafisha na kukarabati mapaa ya nyumba.
22. Wazo la biashara ya kutengeneza kiwanda cha kukamulia mbegu za Mafuta.
23.Wazo la biashara ya kutengeneza Ndoano za uvuvi.
24. Wazo la biashara ya kutengeneza Green tea powder.(Majani ya chai)
25. Wazo la biashara ya kutengeneza Bahasha.
26. Wazo la biashara ya kutengeneza mishumaa.
27. Wazo la biashara ya kutengeneza sukari.
28.Wazo la biashara ya kupuliza madawa ya kuua wadudu (Fumigation).
29. Wazo la biashara ya kutengeneza tui la nazi.
30. Wazo la biashara ya kutengeneza Tomato sauce.
31. Wazo la biashara ya ball pen refills.
32. Wazo la biashara ya kutengeneza bidhaa za kuokwa (bakery).
33.Wazo la biashara ya kutengeneza Essential oil.
34. Wazo la biashara ya kutengeneza Mosquito repellant cream.
35. Wazo la biashara ya kutengeneza kahawa iliyosagwa.
36. Wazo la biashara ya kutengeneza Chill sauce.
37. Wazo la biashara ya kutengeneza Yoghurt.
38.Wazo la biashara ya kiwanda cha Maziwa ya Ng'ombe,Mbuzi n.k.
39. Wazo la biashara ya kutengeneza mifuko ya karatasi.
40. Wazo la biashara ya kutengeneza Gundi.
41. Wazo la biashara ya kutengeneza penseli.
42. Wazo la biashara ya kutengeneza kamba za plastick.
43.Wazo la biashara ya kutengeneza Unga wa soya.
44. Wazo la biashara ya kutengeneza Sabuni za unga - kufulia.
45. Wazo la biashara ya kutengeneza Fruit Cheese.
46. Wazo la biashara ya kutengeneza mabegi la Leather.
47. Wazo la biashara ya kutengeneza dawa ya mbu ya kuchoma.
48.Wazo la biashara ya kutengeneza mihuri.
49. Wazo la biashara ya kutengeneza Shoe polish.
50. Wazo la biashara ya Kutengeneza sabuni za maji.
Tafuta wazo la biashara unayoipenda. Ukipata nicheki nikupe mbinu za kufikia malengo yako. Na nikuunganishe na watu wa kukusaidia.