Notification texts go here Contact Us Buy Now!

💟MAPISHI YAHITAJI USAFI - DARASA LA MAPENZI NA NDOA

💟Moja kati ya vitu vinavyowavutia wanaume kwa wake zao ni mapishi. Mke ukiweza kumteka mumeo katika suala la mapishi, mumeo hatokuwa na sababu ya kutokula chakula unachokipika

💟MAPISHI YAHITAJI USAFI💟


💟Moja kati ya vitu vinavyowavutia wanaume kwa wake zao ni mapishi. Mke ukiweza kumteka mumeo katika suala la mapishi, mumeo hatokuwa na sababu ya kutokula chakula unachokipika

💟💟Lakini pia atakauwa mwenye kujitahidi kurudi nyumbani mapema kuja kula chakula kitamu kilichopikwa na mkewe

💟💟💟Mke unapokuwa upo jikoni unaandaa chakula, ni lazima ujue kuwa atakaekula chakula hicho ni mumeo, hivyo ni vizuri ukatumia Ujuzi wako wote kuhakikisha mumeo anakula chakula kizuri.

💟💟💟Wanawake wengi wana kawaida ya kupika chakula kizuri siku za sikukuu, hapo ndio anajitahidi kutumia uelewa wake wote katika kupika ili tu aonekane na majirani na si mumewe, au siku akisikia mume anakuja na mgeni au rafiki yake ndio unataka upike vizuri, hilo si jambo jema.

💟💟💟Jitahidi kumpikia mumeo kila siku chakula kizuri, mvutie mumeo kwa chakula chako, mfanye kila anapopata muda wa mapumziko kazini arudi nyumbani kula.

💟UTUNDU WA MWANAMKE UNAANZIA JIKONI💟
.
💟DUMISHA NDOA YAKO💟

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.