Jinsi ya kutengeneza stimulate shampoo
Itumie kwa ajili ya kuipa afya ngozi yako ya kichwa na kustimulate ukuaji wa nywele. shampoo hii inatumia mafuta ya tea tree na peppermint
Mahitaji ya kutengeneza Stimulate hair Shampoo:
- 1/4 cup distilled water
- 1/4 cup liquid Castile Soap - Nimetumie unscented (isoyo na harufu), lakini unaweza kutumia utakayopenda.
- 1/2 kijiko cha chai cha mafuta ya jojoba.
- 1/8 kijiko cha chakula cha mafuta ya peppermint ( peppermint essential oil)
- 1/8 kijiko cha chakula cha mauta ya tea tree (tea tree essential oil)
Steps za kutengeneza stimulate shampoo
- Changanya vizuri vitu vyote kwa pamoja
- Hifadhi mchnganyiko wako kwenye chupa
- Tumia kama shampoo nyingine yoyote.
