Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA NORMAL HAIR

Tengeneza natural hair shampoo nzuri ya normal hair kwa urahisi

Jinsi ya kutengeneza shampoo

Jinsi ya kutengeneza shampoo

hi shapoo ni nzuri kwa ajili ya nywele za kawaida (normal hair), Au unaweza kuitumia kama base ya kuchanyia scents (harufu) nyingine uzipendazo.

Mahitaji ya kutengeneza shampoo yako ya normal hair:


1/4 cup distilled water
1/4 cup liquid Castile Soap - Nimetumie unscented (isoyo na harufu), lakini unaweza kutumia utakayopenda
1/2 kijiko cha chai mafuta ya jojoba, grapeseed, au vegetable oil yoyote ambayo ni mepesi

Steps za kutengeneza shapoo

changanya mahitaji yako yote kwa pamoja
Hifadhi mchanganyiko wako kwenye chupa.
Kabla ya kuitumia itikise ichanganyike vizuri ndio uitumie shampoo yako.

Hii shampoo sio nzito kama shampoo za kiwandani kwahiyo unapoitumia jaribu kukadiria kwa kuigeuza chupa yako ya shampoo ili iweze kutoka

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.