Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KUPIKA MZINGA WA NYUKI / BEE COMB BREAD

Mapishi ya upikaji wa MZINGA WA NYUKI au kwajina lingine BEE COMB BREAD

MZINGA WA NYUKI / BEE COMB BREAD

BONGOLIVES: JINSI YA KUPIKA MZINGA WA NYUKI / BEE COMB BREAD

MAHITAJI YA KUPIKA MZINGA WA NYUKI / BEE COMB BREAD:


  • 🍰Unga - Vikombe 3 ½ visivyojaa
  • 🍰Maziwa ya maji - Vikombe 1
  • 🍰Maji - Kikombe ½
  • 🍰Yai - 1
  • 🍰Sukari - Vijiko 2 ½ vya supu
  • 🍰Mafuta - Kikombe ½
  • 🍰Hamira - Kijiko ½ cha chai
  • 🍰Chumvi - robo kijiko cha chai
  • 🍰Cheese ya Cream - Kiasi utakavyotumia kujaza

MAHITAJI YA SHIRA


  • 🍕Sukari - Vikombe 2
  • 🍕Maji - Kikombe 1 ½
  • 🍕Zaafarani - nusu kijiko cha chai (iroweke)
  • 🍕Ipikie shira lakini isiwe nzito.

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA MZINGA WA NYUKI / BEE COMB BREAD


  1. 🍬Changanya vitu vyote hivyo isipokuwa cream cheese.
  2. 🍬Kanda kidogo tu kulainisha unga uwe mlaini kama mfano unga wa maandazi.
  3. 🍬Pakaza siagi katika sinia ya round utakayopikia
  4. 🍬Fanya viduara vidogo vidogo na tia ndani yake cheese ya cream kwa kutumia kijiko cha chai, na vifunge viduwara vizuri na kuvipanga katika sinia bila ya kuwacha nafasi.
  5. 🍬Iwache ifure
  6. 🍬Ipikie katika oven moto wa chini kwanza katika 350 Deg, kwa muda wa baina dakika 20 na 25 .Kisha washa moto wa juu kidogo tu uwive kwa juu.
  7. 🍬Toa katika oven na mwagia shira kama ifuatavyo.
  8. 📌Kama ni shira iliyopowa basi mwagia juu ya mkate uliomoto
  9. 📌Kama ni shira imoto basi subiri mkate upowe.Yaani mojawapo iwe moto au baridi.

Maoni 1

  1. This is one of the most delicious Arabic breads ever! Khaliat al Nahal (known by many as Khaliat Nahal) simply means Bee’s Hive. This is due to the bread’s resemblance to a honeycomb and for the sweet, honey-flavored topping it’s glazed with.

    It’s a ‘softer_than_cotton’ type of bread, with some cheese filling in every bun, and a sweet glaze on top. I did a lot of experimenting with various different recipes to finally come up with my own master, no-fail recipe.

    Ingredients for Glaze/Syrup
    1 cup sugar
    3/4 cup water
    1 tbsp. honey
    pinch of saffron
    Ingredients for Bread
    3 1/2 cups all-purpose flour
    1 cup milk
    2 tbsp. milk powder
    1/2 cup water (might use less)
    1 egg
    3 tbsp. sugar
    4 tbsp. oil
    4 tbsp. melted butter
    1 1/2 tsp. instant yeast
    1/2 tsp. salt
    6-8 portions/triangles of cheese spread (I used The Laughing Cow, but you can use any available to you, like Kiri or Al-Marai, etc.)
    1 egg for egg wash before baking (for egg wash before baking)
    Instructions
    First prepare the glaze/syrup.

    Boil the sugar, water and…
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.