Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KUPIKA MAKARONI YA NYAMA YA KUSAGA

MAKARONI YA NYAMA YA KUSAGA

MAKARONI YA NYAMA YA KUSAGA

VIPIMO 
Makaroni - 500 gm
Nyama ya Kusaga - 450 gm
Vitunguu - 2
Nyanya - 3
Nyanya kopo (Tomato Paste) - Vijiko vya supu 3
Kitunguu Thomu (Garlic) kilosagwa - Kijiko cha chai 1
Pilipili manga - Kijiko cha chai 1
Bizari ya oregano [Italian spice] - Kijiko cha chai 1
Parsely (aina ya kotmiri) - Misongo (bunches) 2
Sosi ya soya - Vijiko cha supu 2
Mafuta - Kikombe cha chai ¼

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA 
1. Chemsha makaroni kama inavyoashiria paketi au hadi yaive lakini yasivurugike Chuja maji weka kando.

2.  Katakata vitunguu, nyanya vipande vidogo vidogo weka kando. 
4.  Katakata parsley ndogo ndogo (Chopped) weka kando. 
5.  Weka mafuta katika sufuria, kaanga vitunguu hadi vigeuke rangi kidogo tu. 
6.  Tia nyama, kitunguu thomu, bizari zote endelea kukaanga hadi nyama iwive. 
7.  Tia nyanya pamoja na nyanya kopo, parsely, sosi ya soya  endela kukaanga kidogo tu. 
8.  Tia makoroni changanya vizuri. 
9.  Pakuwa katika bakuli ikiwa tayari.

Maoni 1

  1. JINSI YA KUPIKA MAKARONI YA NYAMA YA KUSAGA

    Source : https://www.bongolives.com/2020/01/jinsi-ya-kupika-makaroni-ya-nyama-ya.html
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.