Notification texts go here Contact Us Buy Now!

KAMA UNA TABIA HII BASI JUA ATAKUACHA HATA KAMA WEWE NDIYO ULIMFUMANIA

NARUDIA TENA 'KAMA UNA TABIA HII BASI JUA ATAKUACHA HATA KAMA WEWE NDIYO ULIMFUMANIA!'
Moja ya vitu mambavyo vitakuharibia ndoa yako ni kulalamika, wakati mwingine hata kama kile kitu ambacho unakilalamikia ni chakweli lakini kama kila siku unakizungumzia kitu kile kile basi jua kua haisaidii chochote na unaua ndoa yako. Kwa mfano mume wako anachepuka, umekuta meseji au picha na hata kuwakuta kabisa wakifanya yao. Baada ya kuongea sana ukaamua kumsamehe, lakini iwe ameachana naye au hajaachana naye kama umemua kubaki inamaana umemsamehe.

Kama umemaua kuvumilia na kupambana ni kosa kubwa kama kila siku huyo mwanamke wake atabaki mdomonni mwenu. Kwamba kila akichelewa kurudi kabla ya kuuliza “Ulikua kwa huyo mwanamke wako!” Umeona yule mwanamke kalike picha yake au kaweka status ya mafumbo unaanza “Naona bado mnawasiliana mbona ananiweke vijembe!” Kwakifupi kama kila kitu utamtaja huyo mwanamke mwingine basi jua hata kama alikua na mpango wa kumaucha hatamuacha.

Labda niwaambie kitu kimoja dada zangu, najua sio fea lakini ukweli nikua hakuna mwanaume ambaye anaweza kuvumilia kelele za mwanamke kuhusu kitu kile kile kila siku. Unatakiwa kujua kuwa, kama ukizidi kuwa na wasiwasi, kama hutaliondoa jina la huyo mwanamke mwingine mdomoni mwako mume wako atakua na machaguo mawili, chaguo la kwanza ni yeye kuendelea na yule mwanamke na la pili ni kumuacha na kutafuta mwanamke mwingine ambaye atampa amani.

Kama akirudi nyumbani anakutana na kelele zile zile kila siku basi anakuona kama kisirani, anakuona kama unampotezea muda wake na atachepuka zaidi. Kwamba wanaume wengi huwaza kuliko kurudi nyumbani kumsikiliza yule mwanamke kisirani ambaye hanyamazi basi ni bora kutafuta mchepuko kutuliza akili. Ndiyo maana nakuambia kama umeamua kumsemehe basi nyamaza na endelea na maisha na kama huwezi kunyamaza basi ondoka kabla hajakuacha!

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.