Notification texts go here Contact Us Buy Now!

🍇USIKU WA KITANDA

KWENU WADADA*

*🍇USIKU WA KITANDA🍇*

🍇Kitanda cha mwanamke kinatakiwe kiwe vzuri muda wote sio muda wa Usiku ndo unaanza kutandika

🍇Shuka mnayolalia na mnayojifunika na vile vifaa vingine vyote viwe vinanukia so vumbi la kabati mpo

🍇Jitahidi mtoto wa kike kubadilisha mashuka so kila siku mashuka yale Yale haihusu

🍇Hata inapofika Usiku wa kitanda mmeo anavutiwa tyuu kwa shuka na harufu ya udi

🍇Wallah ni aibu sanaa kwa mtt wa kike kutokujua chini ya mto wako unatakiwa uweke nini hii ni bonge la aibu.....

🍇Siku zote kumbuka kulala na dhana kwenye mto jmn hii itamfanya mumeo aone jinsi gani unavyomthamini.

🍇So wewe tena baada ya shughuli unatafuta kanga au shuka mlolalia unamfutia mwenzio looh mnawaumiza...

🍇Mkimaliza kazi yenu si Mnaenda kuoga wahi kutoka uje uangalie uwanja unaruhusu so anarudi eti ngoja nitandike kitanda baadala ya kumfuta bhana

🍇Siku zote ushapu unahitajika mtoto wa kike tandika kitanda haraka kamrudie bhana 

🍇Unamrudia mumeo kwa kumuuliza tena kwa madaha utanihitaji tena au unapumzika na kama atapumzika

🍇Asubuhi na mapema muamshe mumeo, kuna style za kuamsha nishafundisha, so unaamsha km unadai nauli

🍇Mtaoga Mtaswali Ila usisahau Bao la asbh hapa kila mtu alivyojiwekea na mweza wake

🍇Ukishamaliza shughuli zote weka vzuri chumbani kwako na kumbuka kufua zile dhana zako anika juani na hata pasi ukiweza piga vile vina tabia ya kukakamaa

🍇Jioni na mapema fukiza udi zile dhana zako na tujitahidi tuwe navyo vingi.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.