MWALIMU MKUU
SEHEMU YA 10
WHATSAPP 0655585220
ZANZIBAR
Hatimae matokeo ya rameki yalitoka ya darasa LA saba
*ENDELEA*
Rameki alisikia kutoka kwa matokeo alisali sala zake “Eee mungu niwekee jina langu baba (uku kainua mikono)””
Rameki alimwambia mama make kuhusu kutoka kwa matokeo yake mama
“” kwaiyo mwanangu una huwa kika utafauru??””
“” ndiyo mama””
“” sawa mwanangu””alitamka mama rameki uku akimkumbatia mwanae kwa furaha
****
Upande wa bi sani alimnunulia rameki nyumba nzuri kila kitu ndani kisha akampigia rameki simu kwamba wakutane usiku ule, rameki alitii wito ule alimdanganya mama akee mwamba anaenda kuangalia nyumba ya mwalimu mkuu.
“Aya mwanangu kuwa makini sawa””
“Usijari mama”
Rameki alienda adi mbezi beach alipo bi sani, alifika kisha bi sani alichukua kitambaa alimfunga rameki machoni ili kumfanyi supprazz rameki alishangaa anafugwa kitamba usoni
“” mbona unanifunga kitambaa usoni?!?”
“” nataka kukufanyia paty ya kukupa zawadi yako mpenzi””
Rameki bila kinyongo alikubari ila akujua ni zawadi gani anaitaji kupewa.
Bi sani alimshika rameki mkono uku kamfunga kitambaa machoni akampitisha kisha akamfungua rameki kitambaa rameki aliangaza macho yake kila pembe ya hile nyumba Kauliza
“” mbona sielewi kuna mini??”aliuliza rameki
“” Leo nimeamua kukupa zawadi mpenzi wangu kwasababu nakunimeo”alitamka bi sani uku akimpiga mabusu rameki
“” daaa siamini kama nyumba hii yangu kudadekii mjengo huu wanguu??!!”aliuliza rameki kwa mshangao uku akikagua ile nyumba
“” ndio yako,”alijibu bi sani
“” nishakuwa dangote au bashite nimeongwa nyumba kupitia dudu washaaa nishakuwa kigogo was serikali Mimi ndie rameki bhana””rameki alitamka kimoyo moyo
“Sasa mume wangu ata Leo amia””
“” daaa siamini ujue”alitamka rameki
“”” amini baba mwaaaaaa I love you”
“” I love too””alijibu rameki kisha wakaingia ndani ilikukagua vizuri, rameki akuamini kama atakuja kupata nyumba nzuri vile.
Rameki alimshukuru bi sani kwa kumpatia nyumba, kisha akaaidi Sikh yoyote ataamia yeye na mama akee.
***
Upande wa mwalimu mkuu alipata zarula kijijini kwao kwaiyo aliacha maagizo kwa msaidizi wake pale shuleni kwamba watahiniwa wa darasa LA saba wapewe fom za kuaza kidato cha kwanza.
****
Kwa upande wa rameki alikwenda shuleni kuangalia matokeo yake alifaulu yule ya ruhowiko jwtz sekondari iko songea mjini INA mchanganyiko wa wafulana na sichana.
***
Hatimae rameki alimuaga bi sani kwamba anaelekea shuleni bi sani aliuzunika sana kukaa mbari na rameki aliahidi atakuja kumtembelea ili amtibu kiu yake.
Hatimae rameki aliondoka kuaza masomo yake ya kidato cha kwanza alifika kisha akaandikishwa na kuperekwa bwenini kwa kuaza mazingira ya shuleni.
Upande wa mwalimu mkuu alirudi kutoka kwao alimmisi sana rameki alihaidi aka muombe msamaha kwani yeye ndie mwenye makosa.
“” jamani rameki wangu Mimi nisamehe kesho lazima nikitoka job nipitie kwao” aliwaza mwalimu mkuu kisha aka lala uku akimuwaza rameki.
**
Upande wa rameki pale Ruhuwiko alipata rafiki mmoja tu aitaye mussa urafiki wao
Ulianza kunawili hatimae waliaza masomo yao ya kidato cha kwanza walikuwa darasani wakisoma somo LA historia, rameki alikuwa makini ktk masomo yake alihaidi atasoma ili aje kumsaidia mama akee.
Hatimae muda wa kunywa chain ukawadia walipewa chain kisha wakaanza kunywa, rameki alikuwa ajawajua vizuri wanafunzi wenzake vizuri zaidi ya musa tuu.
“” MUSSA””iliita sauti nzuri na nyo lolo iliyo,mfanya adi rameki amtazame uyo muitaji.
“Naaam Irene” mussa aliitika
“” mbona ututamburishi kwa uyo mkaka”
“” samahani Irene uyu anaitwa rameki”
“” ooooh jina zuri karibu rameki”
“” asante sana” aliitika rameki uku akimkonyeza jicho Irene
Irene alivyo konyezwa jicho aliishia kucheka tuu.
***
Walimaliza kunywa chai walirudi darasani mwalimu alingia kufundisha solo LA kiswahili rameki alibanwa na haja ndogo aliomba ruhusa na kutoka alielekea chooni kisha akakutana na mdada nzuri uyo kama hamisa mobeto wa kidato cha NNE pale ruhuwiko jwtz, rameki alivyomuona macho yalimtoka uku akiuma uma mdomo.
“Wee mbona unaniangaliaa VP?””
“” sorry Dada unaitwa nani?”aliuliza rameki
“Jina langu wa lann” alitamka yule Dada kwa zarau
“” acha kiburi mrembo ukilina ili (akionesha kwa kidole dudu lake) autabanduka fyuu we linga tuu”alitamka rameki kisha akaingia choo cha kiume.
Yule Dada alimshangaa rameki mwishowe aka Sonya “” fyuuu” na kuondoka zake.
**
Mwalimu mkuu alifika shuleni kwake alionana na msaidizi wake kisha akamuulizia kuhusu kuwapa fom wanafunzi wa darasani LA saba aliangalia oroza ya majina ya wanafunzi walio faulu aliliona jina la rameki “” hee rameki kafaulu shule gani? Haa kumbe shule aipo mbari na APA ngoja niende kwao”” alitamka mwalimu mkuu uku akiweka vitu sawa kisha akatoka na kuwelekea kwa kina rameki.
***
Rameki alitoka chooni kisha akaelekea darasani kwake alisikia akiitwa kwa nyuma “” ramekiiiiii” aligeuka alitakana na sura ya Irene
“” umetoka wapi?”aliuliza Irene
“” chooni,”alijibu rameki kwa mkato
Irene ni binti wa mzee nyamwela alikuwa akishi palepale mitaa ya ruhuwiko yeye alikuwa bweni kwani baba akee alikuwa na pesa ndo maana alimwacha bweni ili asome asicheze mbali na masomo baba Irene mzee nyamwela aliiyamini sana shule ya ruhuwiko, aliamini binti yake anaweza akafaulu.
Irene alishaaza kuwatamani wanaume alikuwa na hisia za kuwa na mwanaume uku anasoma sasa rameki ndo kamvutia zaidi.
“” sawa rameki tutaonana baadae”alitamka Irene kisha akamuaga rameki na kuondoka
Kengele iligongwa kisha wanafunzi walielekea mabwenini kubadiri nguo ili wakapate mlo rameki na musa waliongozanaa kuchukua chakula ugari na maharage walikula kisha wakapiga stori nyingi.
*
Mwalimu mkuu alienda adi kwenye nyumba ya kina rameki Kule kijijini ashangaa kukuta Amna nyumba
“” MUNGU WANGU NYUMBA IKO WAPI?!!?
Mwalimu mkuu akuamnini kama nyumba ya kina rameki aipo alienda kuulizia kwa jilani was mama rameki ambae in mama loly.
“” hodi! hodi!”alibisha mwalimu mkuu
“” nani unaenipigia makelele SAA izi APA?!”aliuliza mama loly kwa ukalii uku akitoka ndani
“”SAMAHANI DADA KAMA NIMEKUKWAZA JAMANI” aliomba msamaha mwalimu mkuu baada ya kuona mama loly akifoka kwa hasira.
“” shida akoo,?”aliuliza mama loly kwa mkato
“” samahani Dada eti mama rameki na mwanae wako WAPI maana nyumba siiyoni?!”aliuliza mwalimu mkuu
“” MAMA RAMEKI AMEFARIKI NA MWANAE “”alilopoka mama loly
“” MUNGU WANGU UNASEMAKWELI??”
“” mama rameki amekufa na mwanae wamechomewa nyumba yao MTU na mwanae wamefariki wiki ilee”
Mwalimu mkuu alivyopewa taalifa ile aliishiwa nguvu nusu adondoke ila alijikaza kisabuni.
“” mmmh we mama ya kweli hayo mbona rameki alikuja kuchukua matokeo yake”alizungumza mwalimu mkuu uku akijifuta machozi yanayo mtililika.
“”” amini usiamini mama rameki amefariki maswala ya remeki kuja kuchukua matokeo yake Mimi ayaniusu mi najua wamefariki kwaheri””alizungumza Mama loly kisha akaingia ndani na kufunga mlango wake uku akimuacha mwalimu mkuu njee kachanganyikiwa.
ITAENDELEA…………