Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MWALIMU MKUU SEHEMU YA 07

MWALIMU MKUU
SEHEMU YA 7
WHATSAPP 0655585220
ZANZIBAR
Mama rameki aliacha alichokuwa anafanya alimsogelea mwanae kisha akimtingisha
“”Mungu Wang rameki mwanangu nn kimekupata (uku akimtingisha) amka baba usife mwanangu jamani”
Mama rameki alilia sana kuona mwanae kazimia
“”Mama loly! Mama loly mwanangu jamani ramekiiiiiiiiiiiiiii(akimkumbatia kwa nguvu)””
Mama loly alitoka mbio mbio alishangaa kumuona rameki amelala nchini ajitambui
“”Mungu wangu nn kimempa rameki maskini??””aliuliza mama loly bila ya kujibiwa zaidi ya kusikia kilio tu
“Mama loly mwanangu anakufa nisaidie jamani””
***
Hatimae rameki alifikishwa hospital alipatiwa huduma na daktari wa zamu aligundua rameki anao uwezo wa kuduu na mwanamke kutwa Mara tatu ndoo maana amekoswa nguvu siku iyo, alimwambia nesi amuwekee rameki dripu ili apatwe na fahamu kisha yeye akatoka.
Yule nesi alimtundukia rameki dripu uku arameki ajapata fahamu ile ana angaika kumuwekea dripu alistuka kaguswa na kitu kama msukumio wa chapati
“”Mmmh nn tena hiii”aliwaza yule nesi uku akimuwekea rameki dripu vizuri
***
Mama rameki yeye alikuwa analia tuu
“””Mama rameki unalia nn unachopaswa kumuombea mtoto apone tu jamani”
“””Mama loly mwanangu jamani, Eeee mungu (akinua mikono juu) mponye mwanangu kwani bado namuhitajii”
****
Hatimae rameki alipata nafuu alizinduka Mama ake alifurahi kumuona mwanae akiwa amepata fahamu
“””Eeeee mungu kweli umesikia kilio changu asante sana(uku alifurahi)pole mwanangu””
“”Asante mama”alijibu rameki
Mama rameki na mama loly walirudi nyumbani kumchukulia rameki chakula kwani tangu asubui akupata mlo.
***
Upande wa bi sani alifurahi kupata tunda kwa rameki.
“”Mmmh rameki njoo usiku tulale wote my nitafaidi vp””aliwaza bi sani uku akichezea maziwa take mala gafla simu ilikuwa inaita aliipokea
“””Eeee VP shoga kafara umepata??”
“”Shoga nimeshindwa Hugo mtoto ana himani ya kiroho ile nataka kumchoma ikavuka upepo mkali kisu kikaniponyoka shoga nilikimbia uchi uchi uchi adi njee shoga mambo ya kafala siyaitaji tena”alibwata bi sani
“”Eeeeeee shoga uyo mtoto si atakutangazia kwamba ulitaka kumuua eee???””aliuliza shoga ake bi sani
“Ndo ivoo sitakii tena utajiri wa biashala naomba niache nipumzike sawa”” alizungumza bi sani kisha akakata simu
“”Wee uyo mtoto unajua kanipa nn adi nimtoe kafara mwache adifaidi bibi wee”aliwaza bi sani
****
Upande wa mwalimu mkuu akuwa na raha Sikh iyo kwa kutomuona rameki ilikuwa anawaza rameki anamsaliti
“Subiri jioni napitia kwao nikamuone””
Mwalimu mkuu alitoka kisha akapanda boda boda adi kwa kina rameki alimkuta Mama rameki akitaka kwenda hospital kumperekea rameki chakula
“”Hodii wenyewe”
“”Kalibuuu”””
“””Asante rameki yupo””
Mama rameki alimwambia yule mwalimu mkuu kwamba rameki kadondoka kisha yuko hospital
“Ndo maana sijamuona while jamani rameki Pole eee twende basis na Mimi nikamuone mi mwalimu wake”””
“”Aina shida twende””alijibu mama rameki
Mama rameki na mwalimu mkuu waliongozana adi hospital walimkuta rameki amekaa
“”Jamani rameki Pole eee”
“Asante mwalimu mkuuasubui **
Mama rameki alimpaxmwanae chakula alikula kisha muda wakuona wagonjwa ukapita mama rameki alimuaga mwanae kwamba atarudi kesho asubui alitoka kisha mwalimu mkuu alienda kwa nesi wa zamu
“””Eti wee ndo nesi wa zamu????””aliuliza mwalimu mkuu
“”Ndo Mim””” alijibu yule nesi
“”Ole wako ule Mali yangu pale (akionesha kwa kidole alipo rameki) utanitambua kama Mimi ni nani fyuuuu”” alizungumza mwalimu mkuu
“Mmmmmh huyu Dada VP kachanganyikiwa eee””
Upande wa bi sani ilipofika jioni alipika pilau kwa ajiri ya rameki, alipika kisha akatenga mezani pilau na juisi alimsubili rameki adi SAA NNE usiku akumuona, bi sani alikata tamaa.
****†
Upande wa rameki mama ake arimuacha hospital kwa ajiri ya kumalizia sindano ili kesho jioni aruhusiwe nyumbani.
Hatimae mama ake na rameki alimuaga mwalimu mkuu kisha wakaondoka kila MTU kwake
***
Rameki alibanwa na haja ndogo alienda choni kujisaidia, yule nesi alikuwa anamtafuta alimkosa pale kwenye kitanda chake “”mmmh huyu mtoto kaenda wapi muda wake wa kuchoma sindano umekaribia??”alijiuliza yule nesi
Rameki alimariza kujisaidia kumbe Luna mdada alikuwa ana mchungulia
“””Hee wee mtoto samahani”alita yule Dada
“””Naaam”alitika rameki
“”Mi naitwa sauna we jee”
“”Rameki”
“”Jina nzuri unaelekea wapi uko??”aliuliza sauna
Rameki akumjibu alimdanganya anaenda kumuona mgonjwa wodini basi samahani naomba tuongee tukakae pale Mimi in mwanafuzi wa kitengo hapa hospital nimekuja kufanya field.
Sauna ni binti wa kimakonde akuwai kushiriki tendon LA ndoa kwani alikuwa anasimuliwa na wenzie kwaamba mapenzi matamu, alivyoliona jogoo wa rameki uchu ukamuingia.
Rameki bila kinyongo alikubari kisha akaongozana na sauna adi kwenye korido LA pale hospital kulikuwa na kigiza kidogo walienda kukaa kule kwani hospital ile inaruhusu MTU kupunga upepo adi majogoo kwaiyo ilikuwa inhivyogwe kwa watu.
Hatimae sauna na rameki walifika pale kwenye kigiza walikaa sauna alimuangalia rameki kwa macho ya matamanio
“VP Dada mbona unaniangalia hivyo??”aliuliza rameki
“”Amna rameki we mzuri sana”
ITAENDELEA…………

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.