Notification texts go here Contact Us Buy Now!

KWA NINI MTU ATUMIE FOOD SUPPLEMENTS


KWA NINI MTU ATUMIE FOOD SUPPLEMENTS
*muhimu hii weka kichwani 👇🏿👇🏿* 👇🏿

*KWA NINI MTU ATUMIE FOOD SUPPLEMENTS* 

Kwa nini watu wana opt
 kwenye food supplements.Jibu halisi la swali lako linapatikana katika swali kwa nini tunakula chakula?

Tunakula ili miili yetu iweze kupata virutubisho, miili ivitumie hivyo virutubisho kuupa mwili nguvu uweze kufanya kazi yake vizuri. According to World Health Organization (WHO) *Tunapaswa kula kama ifuatavyo:* 

1. nafaka ambazo hazijakobolewa (lipids and sterols)
2. mboga na matunda (fruits and vegetables) 5 to 9 types a day
3. protein
4. mafuta yasiyoganda kwa urahisi (unsaturated fats)
5. carbohydrates (sukari)

Mpangilio huo hapo juu unaashiria umuhimu wa chakula, yaani sehemu kubwa ya chakula chetu inapaswa kuwa lipids, ikifuatiwa na fruits and veg, protein, unsaturated fats na sukari.

Lakini asilimia 99 ya watu hula kinyume: sehemu kubwa tunakula sukari na mafuta yanayoganda, protein, matunda na mboga kidogo sana, nafaka zisizokobolewa ndio hatuli kabisa.

 *Nini matokeo ya kula kinyume na maagizo ya WHO? MAGONJWA* :
1.Uchovu
2.Kisukari
3.Blood pressure
4.Cancer
5.Impotency
6.Heart attack
7.Stroke etc.


 *Kwa nini watu wasile fresh food?* 

Ukweli ni kwamba ni vigumu mno kupata virutubisho vyote vinavyotakiwa mwilini kwenye vyakula vya siku hizi. 
 *Kwa nini?*
 Sababu ni nyingi sana mfano *uharibifu wa mazingira* umechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza uwezo wa ardhi. 
Pili muda wa kuvuna vyakula shambani mpaka kumfikia mlaji unachangia kwa kiasi kikubwa sana upotevu wa virutubisho. Chukulia chungwa ambalo lina vitamin c nyingi sana, dakika 15 tu baada ya kuchumwa vitamini c yote inakuwa imeondoka na kubaki fructose tu! Sasa piga hesabu wewe mwenyewe uone chungwa linalotoka Tanga kuja Dar es Salaam litakuwa katika hali gani? Na hii ni hivyo hivyo katika vyakula vyote.

 *Suluhisho ninini?* 

Solution ni kupata vyakula mbadala (food supplements )! Kwa nini? Kwa sababu ni vyakula halisi vimetengenezwa kwa technologia ya hali ya juu kuhakikisha mwili unapata exactly unachotakiwa kupata (natural, hakuna chemical hata moja). 

Kuna mis conception kuwa supplements ni dawa, sio dawa! Bali watu wanapoumwa wakizitumia wakapona wanaamini wamekula dawa, ukweli ni kwamba mwili unapopata unachohitaji sio rahisi kuumwa.
Pia watu ufikri kuna chemicals, katika products hakuna chemikali hata chembe moja, kwa sababu supplements hizo hutengenezwa kwa *mimea halisi. ASANTENI SHARE NA WENZAKO*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.