JE WAJUA SUMU ZIKIZIDI MWILINI HUSABABISHA..
-Maumivu makali ya kichwa mara ķwa mara
-mvulugiko wa hormone(hormone imbalance)
-kukosa choo(constipation)
-uchovu wa mara ķwa mara (fatigue)
-Ngozi kuharibika
-kisukari,presha na kansa na matatızo ya moyo?
JE SUMU TUNAZIPATA WAPI?
Sumu tunazipata kwenye hewa tunayovuta, vyakula tunavyokula kìla siku...Mwili huwa una njia zake za kuondoa sumu mwilini lakini lakini kwasababu hatupati virutubisho sahihi unàkuta izo njia zinalemewa na kushindwa kuondosha sumu zote mwilini....