(Mmarekani Mweusi)
MTUNZI:NELSON KIMOY
SIMU:0758638391
SIMU2:0625293917
{{ SEHEMU YA 2.1 }}
#Tuendelee==>>Laizer aliendelea kucheza na kompyuta yake mpaka pale alipoweza kuona message iliyoweza kusomeka kwa lugha ya kiingereza
"Notification of this person has broked try to make communicatio with adminstration call number
+123 55 88 9 for privet help"
Laizer aliinukuu namba ile pembeni ili aipigie......
Akaweka simu sikioni lakini majibu aliyopatiwa yalimchosha ni kwamba namba aliyokuwa akiipigia haikuwa ikipatikana......
Upande wa General Brown aliweza kuona utundu aliokuwa akiufanya Laizer kupitia tarakishi yake hivyo basi alichokifanya ni kublock taarifa za Rocky ili zisiwezwe kuonwa na mtu yoyote na kweli aliweza kumkomesha Laizer.........
Alichokifanya General Brown baada ya kublock taarifa za Rocky alianza na yeye kudukua mawasiliano ya upande wa mtu aliyekuwa akitafuta taarifa za Rocky...........
Laizer akiwa bado anafikiria jinsi ya kudukua taarifa za yule Black America aliweza kuona programme yake ikiwa inamuulika kimulimuli cha rangi nyekundu huku ikimletea message iliyosomeka
"close your programme"
Laizer alionyesha utii kwa kufunga programe yake hiyo...
General Brown alijikuta akitukana tusi la nguoni.......
Kwani ujumbe ulioingia kwenye komputa yake ulimuudhi ujumbe uliosomeka hivi
"you cant find this device for help call 0756459628"
Laizer alikuwa mjanja kweli aliitegesha programme yake pindi mtu atakopojaribu kumdukua aweze kuingilika na kweli ujumbe ulirudi kwa General Brown huku ukiwa na namba ya Laizer sasa ni kazi kwa Brown kupiga namba ile ama kutoipiga........
Laizer yeye alifanya makusudi kabisa kuweka ujumbe ule wa kumtega Brown....
Upande wa Brown bado alikuwa akifikiria aipige ile simu au la asipige.....
Baada ya kufikiria kwa mda kama wa dakika kumi aliamua kuchkua uamuzi wa kuipigia.....
Laizer alikuwa akisubiri ujio wa kupigiwa simu....
Na kweli simu yake iliita hakuipokea alitazama namba tu kisha akazinukuu pembeni tu halafu akakata simu na kuizima kabisaaaaa
ITAENDELEAAAAA
Sasa kwanini Laizer kazima simu mmmh hata mimi sijui wewe
Unataka kujuwa nini kiliendelea basi usikose Muendelezo wa riwaya hii...