Notification texts go here Contact Us Buy Now!

KUNA UKWELI KWAMBA WANAUME WANAONGOZA KWA UONGO KATIKA NDOA

Mada inahusu uongo wa wanaume katika mahusiano. Je ni kweli wanaume wanaongoza kuongopea katika mapenzi
Inasemekana baadhi ya wanaume wanaongoza kwa  uongo ktk ndoa/mahusiano
je kuna ukweli juu ya hili??

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Maoni 12

  1. Ni kweli tena sana.ss wanawake mara nyingi huwa wawazi ktk mambo mengi lkn wao mengi wanasema uongo na ushahidi ni huyu wangu muongo kupindukia mipaka maana nimemshika na mwanamke bado pia anidanganya na ushahid upo wazi dah wanaume waongo tena wanafik na hata ujitahid vip na mapenz kwao bas bado washenz
  2. Tena nawaomba wanawake wenzangu tusiwapende wanaume asilimia 100 wallah watatutoa roho hivi twajiona hasa ikiwa twawasaidia huduma ndo kabisaaa
  3. Mhhhh jamanii hawawatu hawapendeki ukiwasaidia ndo kabisa wanajisahau weeh mungu tusaidie ss wanawake
  4. Mwanaume mpe haki yake kutwa mara 3 Kama dawa ya homa na akitoka. Hapo anakuchit
    1. Kweli halaf et pepo zpo chini yao dah
    2. Hhhahh tufanye kwa ajil ya allah ila hakuna mwanaume mkwel cjui kwa nn wako HV lzm watuongopee tu
  5. Mie wng haongop������
  6. Na kumbuka nlipoolewa nliambiwa hvi Ndugu yangu mwanaume mnyime kila kitu icpokuwa kimoja tu k Lakn naona kinyume chake mana kwa usemi huu mwisho watatubomoa ofyeee
  7. Wallah wanaume bwana mtihani me wangu ukimuona shehe vo lkn ofisini videmu ingia toka apagawa maskin anasahau kwamba wa ndoa ndie wa maana na mwisho ana save majina ya kiume kumbe wanawake dahh ni msiba mzito na pepo katu kupitia mume siipati������
  8. Waombeeeni dua sanaaa waume kwan tyr ndio tunao kikubwa tuwaombeee waokoke
  9. HUWEZI AMINI KUNA VITU SAA HII HII VINAFANYIKA ����✊✊.
    1. Kuna mrembo��anapewa mimba saa hii��.
    2. Kuna mtu anapewa ugonjwa��saa hii in the name of kusikia utamu��.
    3. Kuna mtu anavunja nyumba��ya wenyewe saa hii��. Huyu tunamjua wote humu.
    4. Kuna mtu ana lewa saa hii��.
    5. Kuna mtu amenyimwa��unyumba saa hii na amefura kama mandazi����.
    6. Kuna mtu anavuta bangi��saa hii huyu hata mimi namjua����.
    7. Kuna mtu anapigiwa����kelele saa hii na kelele zinatoka chumba jirani������ na lishazoea dk 3 tu.
    8. Kuna mtu anapigwa na demu wake ����saa hii kwa sababu amepatikana na mrembo mwingine����.
    9. Kuna demu mmoja anadungwa sindano saa hii����.
    9. Kuna mtu anafikiri leo usiku atapewa ila hajui demu yuko kwa washikaji ����.
    11. Kuna mtu ameomba mchezo��saa hii,ila amekataliwa hadi wiki ijayo ☺☺.
    12. Kuna jamaa anapigwa na bibi saa hii kwa sababu amelewa����.
    13.kuna jitu liko peke yake lina angalia porno saa hii��������.
    14.Kuna mjinga yuko bize anasoma kwa makini kweli andiko hili alivyoshupaza macho sas…
  10. Kwa mfano mwanamme anakuendea kinyume (anakucheat) ufanyeje
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.