Story :CITY LIGHT
BY: mogy shine
Mahali: dar
No.;0659746098
///////////////
Fundi alizidi kumsogelea latifa wakati latifa nae akimwogopa fundi ,alianza kuwaza niko uchi hata gauni bado sijalivaa ,alikumbuka maumivu alyoyapata wakati anaingiliwa kimwili na akina rama ,latifa alijikuta anafika hadi ukutani ,latifa hakuwa tena na ujanja ,aliwaza akipiga kelele ili kama kuna watu basi waweze kumsaidia ,lakini alipoangalia mazingira ya mle kwenye chumba wala sauti yake isinge fika mbali kutokana na yeye kuwa na njaa .pia madirisha yalikuwa yakioo
Alijikuta akidondosha machozi na kusema "mungu sina namna ni wewe pekee utakae nisaidia kuepukana na hili jambo ambalo huyu fundi anatarajia kulitenda bila uhiyari wangu ,latifa alibubujikwa na machozi huku akilia kwa kwi kwii ,fundi wala hakuwa na huruma alikua akiangalia mapaja ya latifa ambayo hajayafunika vizuri na gauni lake ndio kwanza alizidi kupata hamu ya kumwingilia kimwili ,kutokana na mwili wake kujazia vilivyo aliamini akimubananisha latifa kwenye ukuta kamwe hawezi banduka lazima atende jambo ambalo alikuwa amelikusudia .
Fundi alishika ,lile gauni ambalo latifa alikuwa kalishikilia maeneo ya kifuani ili kuficha maziwa yake yasionekanike ,fundi alitabasamu na kuonge kauli iliyomfanya latifa kuzidi kutokwa na machozi " we binti hapa dar hamnaga kushona nguo bure we usitake nitumie nguvu kubali mwenyewe dakika mbili tunamalizana " latifa alibaki na msimsmo wake "fundi nilikuomba unishonee na mimi sikuwa na hela ,hivyo siko tayari kufanya hilo jambo unalotaka kunifanyia .
Kabla latifa hajamaliza kuongea ,fundi alivuta lile gauni na kulitupa chini ,masikini latifa alibaki mtupu huku akifumba macho asiweze kuona jambo lolote linalotaka kutendeka mahali pale ,fundi aliangalia kifua cha latita na kujikuta akijilamba midomo na kusema "mtu ukiwa fundi wa kushona nguo lazima ufaidi ona hizi saa sita za binti " ha ha ha ,fundi alicheka huku akichana pakiti moja ya kinga(komdomu)
Latifa bado alijipa imani kuwa hatoruhusu kirahisi aingiliwe ki mwili alimsukuma fundi wakati yupo kwenye maandalizi ,kisha akalikamata gauni lake ambalo lilikuwa limetupwa chini ,kabla latifa hajajifunika lile gauni lake ,fundi alilikamata chapu lile gauni na mkono wa kulia ,huku akionesha sura ya ubabe .
Mara sauti ya mshangao ilisikika kwa fundi "aiiii "nini hichi kimening'ata? Fundi alitupa tena gauni la bibie latifa baada ya kung'atwa na mdudu kwenye nguo ya latifa .
Baada ya kulitupa hilo gauni ndipo aliamua kuliangalia ni kubaini ni kitu gani kimemng'ata ,huku fundi akisikia maumivu makali kwenye kidole chake
Gumba ,fundi alianza kulalamika kwa maumivu na kusitisha suala la kumwingilia kimwili latifa
,mkono wa fundi haukuchukua dakika mbili ulianza kuvimba ,na kuonesha bila shaka ameng'atwa na NG'E
Kweli alichokiwaza ndicho hicho kilichomng'ata ,alitoka ng'e mkubwa kwenye gauni la latifa na kukimbia kujificha ,fundi akiwa na maumivu makali alinyosha mguu wake wakulia na kumkanyaga yule ng'e na kiatu chake kikubwa kisha akamsagasaga pale pale chini ya sakafu.
Huku fundi maumivu yalizidi kumkolea na mkono ulizidi kuvimba hata ile hamu ya kumwingilia kimwili ,latifa iliisha kabisa ,alitoka kwenye kile chumba huku machozi yakimlenga lenga na kuongea kwa ukali " we binti vaa gauni lako na upotee hapa kabla sijakuzibua vibao mpuuzi wewe ,sijui mchawii "daah!!! Fundi mkono ulijaa mishipa na kuzidi kuvimba ,wakati huo latifa alilikung'uta gauni lake upesi upesi alilivaa na kujisemea kimoyo moyo " asante mungu kwa kusikia kilio changu"
Latifa ndio ilikuwa pona pona yake aliondoka upesi chumba hicho na kumkuta fundi kakaa chini huku akilia kama mtoto na kujutia mawazo yake yamemsababisha kung'atwa na ng'e huku mkono wake ukizidi kuvimba ,latifa wakati anatoka aligundua kuwa fundi anadamu mbaya "yaani kung'atwa na ng'e mkono ukavimba haraka ,fundi nae hakuweza tena kukaa hapo alifunga ofisi yake ili aende hospitali kwa ajili ya matibabu ,walau akapewe hata dawa za kutuliza maumivu
Latifa aliondoka na kuingia tena mitaani ,amenusurika kubakwa alianza kuwaza jinsi mungu alivyomfanyia muujiza ,kwanza fundi alivyotupa gauni lake ,kumbe pale pale chini palikuwa na ng'e ndio maana ng'e alipanda kwenye nguo upesi ,latifa aliendelea kupasua mitaa huku akiwaza ,hivi mimi natembea naenda wapi ,latifa alisimama huku akijisikia kiu na kuhisi kizungu zungu ,kutokana na kutembea peku alihisi miguu kama inawaka moto aliufuata mti flani kisha akaenda kukaa
"Latifa alikumbuka wosia wa mama yake angali yu hai alishawahi kumwambia "mwanangu ukiona shida ama tabu zimekuzidia ujue unakaribia kufaulu mitihani ya maisha ,pia ukiona kuna jambo linakutesa sana rohoni usijizuie hata kidogo ,lia kwa nguvu utoe sumu yote ya hilo jambo na ukimaliza kulia utahisi kama mwili wako umekuwa mwepesi " yote hayo latifa aliyakumbuka ndipo alijikuta machozi yanamdondoka kwa fujo ,latifa alilia na kuzidi kulaani jiji la dar huku akisema mjini asilimia kubwa ya watu wapo kwa ajili ya kuharibu ndoto za watu ,aliwaza kwanza ameshatolewa usichana wake ambae aliimani atautunza hadi pale mungu atakapo mtunuku mwanaume wa kumwoa ,pia alilaani sana mama aliyemchukua kijijini na kwenda kumfanyisha kazi za ndani kama punda hasa kwa kupigwa na waya za umeme ,kulala bila kula ,kushindia maji ,
Yote aliyawaza na kujikuta analia kwa nguvu ,latifa aliamua kulia ili kuupa moyo wake nafasi ya kubeba mambo yanayomkabili ,
Wakati latifa analia kwa mbali alimwona kijana kavua shati huku akihangaika kusukuma mkokoteni ulio jaaa mataka taka mengi ,kijana yule ambae hakumfuhamu ni nani alikuwa amesukuma mkokoteni kwa tabu sana ila hakupenda umushide alipambana nao hivyo hivyo huku jua likizidi kumchoma ,
Latita aliangalia suruali aliyoivaa yule kijana ilikuwa imefubaa kama gauni lake na kuonekanika chafu ,ndipo latifa aligundua hapa mjini ukisema "mimi nateseka maisha magumu napitia mateso ,lahasha kumbe wapo wanao henyeka na kuhakikisha wanapambana na changamoto ,
Latifa alizidi kuvutiwa na yule kijana ambae alikuwa anatumia nguvu nyingi kulisukuma limkokoteni lake na kuonekanika akitokwa na jasho kama katoka kuoga ,latita alitabasamu na kusema nami naanza hata kuokota chuma chakavu au hata makopo maana nasikia makopo ya maji ni dili sana dar ,ukiokota utaenda kuuza na kupata pesa
Lakini latifa alipowaza kwa undani zaidi na kugundua yeye ni mgeni hata akiokota makopo hajui sehemu ya kuuzia ,
Latifa aliendelea kumwangalia yule kijana jinsi anavyohangaika kuusukuma mkokoteni wake na eneo ambalo alipita palikuwa na tope mno yote kutokana na mvua kubwa kunyesha hivyo mkokoteni ulikwama na kushidwa kupita
Yule kijana alihangaika alivyoona kashidwa kulivuta aliamua kwenda kutafuta msaada kwa marafiki zake ili waje wamsaidie kuutoa ule mkokoteni mahali ulipo kwama
Latifa aliwaza kwanini nisiende kumsaidia yule kijana anae jituma na anapata pesa kwa jasho ?
Latifa aliinuka na kuanza kuelekea mahali yule kijana mkokoteni wake umezama , hapakuwa na umbali aliweza kufika eneo hilo kabla hajamsalimia yule kijana
Alikuwa kainama chini ana weka ubao ili akisukuma mkokoteni usizame kwenye tope ,mara yule kijana aliinuka alivyogeuza macho ,kwanza alishusha pumzi ndefu fyuuuh!!!!!
Yule kijana alikuwa ni mogy ,na leo kwa mara nyingine wameonana uso kwa uso ,mogy alihisi kama anaota ,alimkodolea macho latifa na kumuuliza
"Hivi wewe binti nimekufananisha ? Au ndio wewe ambae nishawahi kukuona madale darajani ulivyozama na maji ,latifa alivyosikia kuzama na maji kwanza alishituka na kusema " kaka ni mimi nilizolewaga na maji na kuzamishwa kwenye daraja ,ila sijui kilichoendelea kwani nawe ulikuwepo? Latifa alimuuliza mogy
Mogy alipangusa jasho lake na kusema "ndio nilikuwepo na mimi ndio niliyokuokoa ulikuwa umeingia kwenye tundu la daraja " latifa kusikia hivyo aliuliza kwa mshangao mkubwa
"Kweli wewe ndio uliyeniokoa? Maana mie sikujua kilichoendelea maana nilikunywa maji nikashangaa mwili ukalegea wote na kupoteza fahamu
Mogy aliegemea mkokoteni wake na kusema "ukweli mimi nilikuokoa na ulikuwa umepoteza fahamu na tulivyokupuliza mdomoni ulitapika maji na ulivyopata ahueni kuna mzee mmoja tajiri alikupakia kwenye gari kisha akakupeleka hospitalini .
Latifa alivyopewa yale maelezo alipiga magoti kwa nia ya kumshukuru mogy alakini mogy alimshika mkono na kumwambia ,usijali ni vitu vya kusaidiana ,
Yawezekana leo kwangu kesho ikawa kwako hivyo mimi kama binadamu ninapoona binadamu mwenzangu anapata shida nami nauwezo wa kumsaidia lazima nimsaidie ".
Latifa alishusha pumzi kisha akamwambia "kaka samahani lakini kwani waitwa nani walau tufahamiane kwa majina maana twafahamiana kwa sura tu."mogy alitabasamu na kumwambi mie naitwa mogy " .latifa alimwangalia mogy kisha akatikisa kichwa na kusema asante lakini hata mimi naitwa latifa ila watu wengi wanapenda kuniita kifupi tifaa
Mogy alitabasamu na kumwambia "haaaa waitwa tiffa dangote " ama mwingine ,latifa alipenda utani wa mogy alijikuta anatabasamu na kumwambia "hapana si tiffa dangote mie ni latifa tu.
Mogy aliitikia sawa wacha mie nilikuwa naenda kutafuta masela wangu pale kijiweni waje kunisaidia kusukuma mzigo wangu wa haya mataka taka yamekwama hapa kwenye tope ,latifa nae alifikiria "nitafanya nini kama huyu mkaka aliokoa maisha yangu nilivyosobwa na maji acha nami nimsaidie kusukuma mkokoteni wake ili autoe hapa kwenye matope .
Latifa alimwangalia mogy na kumwambia "mogy usiwasumbue marafiki zako acha wapige story mimi nipo hapa nakusaidia kuusukuma huu mkokoteni wako.kabla mogy hajamjibu alimtizama vizuri latifa na kugundua kumbe latifa anaishi maisha ya mtaani ,kwanza hakuwa na viatu pia nguo zake zilionesha dhahiri zimefubaa ,mogy aliingiza mikono yake kwenye mifuko yake ya suruali ya nyuma .alitoa ndala mbili nyekundu
Zilionekana zimetumika ila zilikuwa bado nzuri
Mogy alizishika zile ndala kisha akamwambia "latifa najua tumekutana juu juu shika hizi ndala nadhani zitakutosha katika mguu wako ,niliziokota kwenye jalala kwa tajiri mmoja nilivyokuwa natoa mauchafu haya ,kwakuwa niliona bado ziko fiti nilisema nitazivaa hata mie kwakuwa wewe naona huna viatu ,basi zichukue zitakusaidia .
Latita hakuamini kwanza alimwangalia mogy mwenyewe alivyo na maneno anayomwambia ni tofauti ,kwanza mogy mwonekano wake ukiambia huyu ni teja wala huwezi bisha kwanza nywele zake ndefu zilizo jisokota kisha anatembea bila shati ,halafu suruali ilikuwa imechanika chanika mno huku ameifunga na kamba kiunoni
Latifa alizipokea zile ndala na kuzivaa "alisema mogy asante na mungu akubariki sasa njoo nikusaidie tusukume huu mkokoteni,mogy alimtizama tena latita ambae alionekanika ni dhaifu pia zile taka taka zilikuwa zinatema sana harufu mbaya ,hakupenda latifa ashughulike nazo
Lakini latifa alisogea kwenye mkokoteni na kusimama mbele alikamata mkokoteni na kuanza kuvuta kisha alimwambia "mogy wewe ulinisaidia nilivyozama kwenye maji sasa na wewe mkokoteni umetitia kwenye matope nakusaidia haya sukuma twende
Kabla mogy hajasukuma ule mkokoteni ,kuna gari ilikuja kwa kasi maeneo yale,huku ikionesha dhahiri yawezekana anae endesha kalewa au yupo kwenye mawazo ,gari ilikuwa inaenda upande amesimama mogy na latita na ilikuwa spidi mno........
Kabla mogy hajaanza kusukuma mkokoteni ili kusaidiana na latifa ,kuna gari ilikuwa inakuja kwa spidi kubwa ,kwa haraka mogy aliwaza yawezekana anae endesha amelewa ama yupo kwenye msongo wa mawazo kutokana na mwendo ambao alikuwa akiendesha gari
.kutokana na eneo hilo lilivyo kwanza kulikuwa na matope halafu barabara ina makorongo ,
Wakati mogy anahaha baada ya kuona like gari likija upande wao mogy aliita kwa nguvu "we latifa sogea gari linakuja wakati huo ashamshika mkono ,wakikimbia na kusimama pembeni ,ile wanasimama tu kumbe magari yalikuwa mawili yakifukuziana ,
Mogy aliangalia na kusema ,daa jamani watoto wa matajiri wanafaidi hawa si watoto tu rika langu halafu wanachezea magari ya baba zao ndio maana wanaturushia matope tu,
Wakati mogy anaongea vile latifa alikuwa akimwangalia mogy usoni jinsi anavyoongea ,alitabasamu kisha akamwambia
"Haya njoo nikusaidie tuutoe huu mkokoteni wako maana nilijua lile gari lingeugonga mkokoteni wako sijui ungefanyeje kazi ,ila bahati nzuri walikwepa ,
Mogy alivaa shati lake huku akiwaza mambo kadhaa wa kadhaa katika akili yake "hivi huyu binti anafikiri huu mzigo wa mataka taka ni mwepesii ee ngoja aone jinsi ulivyokuwa mzito "mogy alikamata na yeye mkokoteni kwa nyuma kisha akaanza kusukuma huku latifa akivuta kwa mbele .
Walichukua dakika kadhaa hatimae walifanikiwa kuutoa ule mkokoteni,mogy ilibidi ageuke na kuangalia mahali uliko zama ,na kujikuta akimwangalia tena latifa na kusema " katika maisha yangu toka na zaliwa sijawahi kupata msaada kama nilivyopata leo yaani msichana kunisaidia kubebe mataka taka ,mogy aliguna na kuona kwake kama ni ndoto .
Mogy alimshukuru latifa kisha aliukamata mkokoteni wake na kuanza kuu kokota taratibu kuelekea mahali anakoendaga kutupa mataka taka ,lakini waliagana vyema mogy akaendelea na shughuli zake huku latifa akirudi tena kwenye kivuli cha mti ili kuendelea kupunga upepo kwakuwa hapakuwa na uzoefu na jiji la dar.
Wakati mogy ashafikisha mataka taka yake aliyatupa na kuanza kurudi mdogo mdogo masikani alianza kuwaza jinsi alivyosaidiwa kusukuma mkokoteni na latifa lakini mogy alijikuta akiuachia mkokoteni na kusema daaah asa nini nimefanya " kwanini sijamuuliza yule dada wapi anakaa huenda siku moja nikipiga piga kazi zangu freshi nikapata vijiehela naenda kumtembelea ,mogy alijilaumu na kuchukua mkokoteni wake hadi masikani na kukutana na akina hamisi na rafiki yake juma .
Walianza kupiga mastori yao kama kawaida .
"Oya hamisi mwamba si nilikuwa nasukuma zigo langu naelekea bondeni kutupa taka 'nilipita bara bara flani asa si nikakwama kwenye tope nikawa nahangaika kuvuta mkokoteni wangu kuja kustuka mtoto wa kike kasimama pemneni yangu kwanza nikastuka ."mogy alianza kuwapa story akina hamisi aliendelea " kwanza sikuamini kama ndio yule manzi halafu mzuri kinoma sema nini maboy .
Yule sijamwelewa mbona anaongea fresh halafu kanisaidia kuvuta mkokoteni lakini ukimtizama mavazi kama vile chizi kwanza nguo chafu halafu anatembea peku sema nini mtoto kifua kina vichuguu viwili vimesimama dede hadi nimedata mazee .mogy aliongea huku akicheka cheka ,juma alidakia na kusema "oya mwamba unazingua unashidwa kutafuta mademu wakali unamendea machizi na vichaa wanao okota makopo asa huyu wakazi gani " yaani we mogy nakuonaga mjanja kumbe boya tu "yaani wewe ndio moja ya watu wanaowarubuni vichaa na kuwapa mimba halafu mnasepa zenu mwisho wasiku kichaa anakuja kuteseka na mimba ,
Hebu uwe unajielewa kama vipi baadae ntakupeleka pale maeneo ya kona baa kuna mademu kibao wanajiuza ni wewe tu na pesa yako .juma aliongea huku akimalizia kipisi cha sigara kuvuta .
Ki ukweli maneno ya juma yalimwingia mogy na kuona kweli amekosea . Si vizuri kufanya mapenzi na mtu ambae akili zake si timamu au kama hali yake si njema kiuchumi.mogy aliwambia akina hamisi "oya mie sijasema nilikuwa namtaka kimapenzi tumeonana tu kama zari .
Hamisi alimwambia we unazingua sasa mimi napita mitaa ya kati baadae tutakutana magetoni ,hamisi aliongea na kunyanyuka zake wakati huo jua lishaanza kuzama .
,tukija upande wa kinondoni tunamwona latifa akiwa anatembea tembea pasina kujua wapi anaenda aliifuata bara bara tu .kichwa chake kilitawaliwa na mawazo aliwaza endapo atapata nauli basi apate kurudi nyumbani
Tayari jua lilizama na giza kuingia taa za majumbani ziliwsha na mwanga ukawa mkubwa ,latifa akiwa anakatisha katika baa moja ya makuti maeneo ya bi afra ,kuna bajaji ilikuja na kupaki mbele yake ,walishuka wadada watano wakiwa wamevalia nguo za nusu uchi ,latifa kwake ndio ilikuwa mara ya kwanza kuona wasichane wenzake wakitembea katika hayo mavazi tena katika eneo la baa ,latifa alisimama kuangalia ili kujiaminisha maana alikuwa anasikia dar wanawake wanajiuza alitaka athibitishe je ni kweli huo usemi .
Katika hio baa kulikuwa na magari mengi mno yamepaki huku mziki ukipigwa katika hio baa kuna wakaka watatu waliwaendea wale wasichana waliovalia nguo za kuonesha maumbile yao ,vigauni vinavyoishia kati kati ya mapaja
Oya we dada mwenye chura vipi ushalipiwa ama uko free jamaa mmoja aliuliza akiwa kavalia tisheti nyeupe ,yule mdada kusikia vile alimsogezea makalio yake makubwa kisha akayatingisha na kusema " bos hapa unaongea na pesa yako sijalipiwa halafu kisima changu kisafiii kitu ukigusa unalegea kwa utamu "yule dada mwenye makalio makubwa aliongea huku akipandisha juu kinguo alicho kivaa na kumtaka yule mkaka ambae anataka kumchukua aingize mkono wake katika sehemu zake nyeti ili kukagua kama kweli kisima chake ni kisafi .
Kweli yule jamaa alipeleka mkono na kugusa kisha akasema yaa nimekubali twende chemba tumalizane mara mdada mwingine alidakia kaka njoo kwangu ukutane na kitu kinataiti balaa njoo gusa ...
Latifa alijikuta akifumba macho baada ya kushuhudia kwa macho yake mawili yule mdada na yule kijana hawakwenda mbali walisimama nyuma ya gari kisha alinyanyua tu kigauni .pale pale walimaliza haja zao na kumpa kiasi cha pesa elfu mbili ,.
Latifa alijikuta machozi yanamtoka na kusema " ee mungu nisaidie mimi jamani nisiingie katika hio biashara naomba unifanyie muujiza niweze kurudi kijijini ,hakika huku mjini pamelaaniwa jamani .
Latifa akiwa anaangalia kile kitendo alihisi kama ndio yeye anakitendewa aliamua kuondoka eneo hilo ,wakati anaondoka alikatiza bara bara na kuingia sehemu flani ambo palikuwa na kauchochoro alienda kutokeza kwenye nyumba flani ,
Latifa alikutana na mama mmoja akipika wali nje kwenye jiko la mkaa , yule mama alikuwa akipika taratibu huku akichati ,latifa aliwaza hana pa kulala kwakuwa hajui wapi ataenda na alipata wazo awese kumwomba yule mama ili kama ataweza kumpatia hifadhi alale katika huu usiku ili kesho pakikucha aweze kuondoka na kuendelea kuzunguka.
Latifa alisalimia "mama shikamoo"
Yule mama alimwangalia latifa juu mpaka chini kisha akasema "ehe nikusaidie nini wewe binti"
Latifa akiwa na wasi wasi aliamua kujikaza kisabuni na kusema "mama samahani mimi hapa mgeni sina mahali pa kwenda naomba unihifadhi kama unasehemu ya kulala niweze kulala kwa usiku huuu
"YULE mama alikuwa yuko bize na simu akichati na mtu kupitia wasapu alituma text kisha akainua kichwa na kumjibu " we binti mwenda wazimu ama kichaa ama chizi ,kwanza nani kakuambia nyumba yangu ni gesti ya machokoraa wa mitaani nani kakuambia mimi napokea mayatima hapa ,sina sehemu ya kulala chapa lapa sepa hebu nitokee ...mama aliongea kwa ukali mno.
Mijitu mingine sijui ikoje hivi mtu sikujui nikuhifadhi tu kirahisi ulale nenda zako huko..1
Latifa alivyojibiwa hivyo alimwambia "mama samahani kama nimekukosea nisamehe kisha latifa akapiga hatua na kuanza kuondoka ili akatafute hifadhi sehemu nyingine
Lakini latifa baada ya kuipata harufu ya wali utumbo wake ulianza kunguruma yote sababu ya njaa aliyokuwa nayo .
Kabla latifa hajafika mbali ,kuna mwanaume alifaka na kumkumbatia yule mama " waooo baby nilikumisss mwaa mwaaa!!! Yalikuwa mabusu ya yule mwanaume akimchumu yule mwanamke nae alisimama na kumkumbatia ,latifa aliangalia na kujisemea kimoyoni "yule mama alikuwa anahaki kunifukuza maana anamme halafu na mimi angeniweka wapi halafu wanatumia chumba kimoja.
Latifa hakuendelea kuangalia aliondoka na kunyoosha bara bara huku akimwomba mungu asiweze kupatwa na jambo lolote baya ,alitembea umbali kidogo ndipo alipoona binti mmoja mwenye umri kama wake akichota maji kwenye bomba la uani ,latifa aliamua amwendee ili amuulize kama kuna sehemu ya kulala aweze kulala
Latifa alisalimia baada ya kumfikia yule binti "habari yako dada "
Yule dada aliangalia nani anamsalimia ndipo alipogeuka nyuma alimwona bibie latifa kasimama " salama vipi nawe aliitikia yule dada .
Latifa alimsogelea na kumwambia "dada samahani mimi mgeni maeneo haya nimetoroka maeneo ya mbezi niliko kuwa nafanya kazi sina mahali pa kulala wala sina pesa naomba unisaidie kama una sehemu ya kulala naomba unisitiri dada ".
Latifa aliongea huku machozi yakimdondoka " yule binti alimwangalia latifaa kwa muda bila ya kumjibu chochote kisha aliweka mikono kifuani mwake akaguna .
"Mmmmmmmh" asa we dada unaomba mahali pa kulala ndio ulie heee kwanza unaitwa nani nijue japo jina japo sina mahali pa kukuhifadhi " daaa maneno ya yule binti yalimkata moyo latifa na kumzidishia machozi yazidi kububujika "
Latif hakupenda kupoteza muda alimwangalia yule binti
Alifuta machozi yake huku kwikwi zikimwandama alimjibu na na - - naitwa latifa
Baada ya latifa kumtajia jina yule binti ambae latifa alimwomba kama atampatia hifadhi ya kulala ,latifa aligeka ili aendelee na safari yake ya kutembea mitaani na kuamini atapata mtu ambae ni msamaria atamsitiri tu ,
Latifa taratibu alianza kutembea ili kuondoka eneo hilo lakini yule binti alimwita " latifaa "
Latifa aligeuka na kuitika "bee " kwa sauti iliyoambatana na kilio " hio njia unayokwenda sio hata kidogo kuna vijana wanakaaga pale ni vibaka wezi wataweza kukufanyia jambo lolote baya hasa nyakati hizi za usiku
Latifa alisikia ushauri wa yule dada basi alimjibu asante dada kisha akapita njia nyingine " latifa alitembea hatua kumi tu alivyotizama mbele aliona vijana watatu wakiwa wamevalia makoti marefu wakiwa wanatembea kuelekea aliko
Latifa aligeuka nyuma aliona vijana wengine wawili tena mmoja akimwambia mwenzake
"Oya chilo huyu demu nimemsikia na masikio yangu akimwomba peni sehemu ya kulala kama vipi tumubebe hadi magetoni tukajilie vitu mzee baba
Wakati huo latifa baada ya kuona hayo makundi ya vijana na aliambiwa maeneo yale ni hatari tena nyakati za usiku " latifa alitetemeka kwa uwoga kisha akahisi tumbo likimuuma kwa nguvu latifa alizidisha kilio cha kwikwi akijua maisha yake yatakuwa yamateso kila siku
Tukirudi upande wa pili yule binti ambae alikuwa anachota maji ,kuna kauli moja ambayo mama yake alikuwa anaitumia "usimwache mtu akaenda ambae anahitaji msaada wako,msaidie pale utakapo hisi yupo salama basi mwache aende " yale maneno yalimfanya yule binti apate wazo la kumsaidia hasa ukizingatia yale maeneo waliko si salama kuna vibaka wengi mno nyakati za usiku
Yule binti aliita latifaaaaaaaaa!!!!
Wakati huo wale njemba zilizovalia makoti marefu tayari washamfikia latifa
Jamaa mmoja aliuliza kwa sauti yake iliyojaa ubabe " wee dem unafanya nini hapa katika anga zetu ? Kisha akamshika mkono .wakati huo peni ambae alikuwa akichota maji aliacha na kukimbia kwenda kutoa msaada kwa latifa..
Je nini kitaendelea?
BY: mogy shine
Mahali: dar
No.;0659746098
///////////////
EPISOD YA 7 | CITY LIGHT

EPISOD YA 8 | CITY LIGHT
Tulipoishia jana ,baada ya latifa kushika mkokoteni ili kumpa msaada mogy kuuvuta kwenye matope mahali aliko titia ,latifa aliukamata mkokoteni na kumwambia mogy" wewe ulinisaidia nilipo zama kwenye maji ,sasa na wewe mkokoteni wako umezama kwenye matope nataka nikusaidie haya sukuma twende ," .Kabla mogy hajaanza kusukuma mkokoteni ili kusaidiana na latifa ,kuna gari ilikuwa inakuja kwa spidi kubwa ,kwa haraka mogy aliwaza yawezekana anae endesha amelewa ama yupo kwenye msongo wa mawazo kutokana na mwendo ambao alikuwa akiendesha gari