Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 22

.SUBIRA YA VUTA KHERI.
  HANCY KUMBILO 
   0715364116.
    SEHEM YA 22.
ZEZETA TENA.?

ENDEREA.....

kwa hapo siko pamoja na wewe mganga kwanini awe zezeta wakati ana mambo mengi yakufanya pia kuwa saidia wazee wake.

Mmh afande kambona wewe ujajua ata nataka kumalizia nini tayali ushanihukumu. Sina maana ya uzezeta unao fikilia wewe.

Ujue mzee sanadi ni mtu mmoja katili sana sasa mimi nntamuambia kwamba nntamfanyia dawa kijana hassani na ata kua kama zezeta juu ya aisha.  

Lakini Hassan na yeye inabidi aigize kama kweri zezeta kumbe yuko timamu ili afanikishe kupata hiyo MEMORY CARD. 

Oooh good idea mganga wewe umesoma kweri kweri hapo tuko sawa inshu inayo kuja hapo je MAMA ake Hassan atakubali kweri..?

Wazazi walivyo toka sasa nnje kila mtu alijiuliza na kutopata majibu juu ya swala ambalo linatokea ndani.

ILHAMU alipiga sana kelele lakini baada ya mda kelele zilitulia na kufanya walio nnje kuamini kwambq ilhamu alisha kwisha.

Ndani ILHAMU alishanga sana baada kuona mtu aliemvuta ndani akimpapasa na kumshika shika sehem ambazo zilikua zina mpa hamu ya tendo.

Ilibidi atulie na kusikilizia utamu bila kujua ni nani pia kutojali uenda ukawa uchawi.

Kwa kua akuwai kulala na mwanaume ata siku moja ili bidi asikilizie tu utamu.

Basi bhna mipapaso ilienderea na mpapasaji nae alikua Hassan ila lengo lake lilikua ni kumtania ILHAMU ili baadae amcheke.

Ajabu wakati ana mpapasa alijihisi yuko na asma wake na kuanza kuingia na yeye katika matamanio hayo.

Mmmhh mautamu yalizidi na hassani alikua akijua ufundi wa kumuaanda msichana hali hiyo ilimperekea bibie ILHAMU na yeye kutoa ushirikiano wa kimahaba kwa mtu asie mjua.

Asikuambie mtu amna utani kwenye tendo la mapenzi kweni baada ya kushikana kwa mda mrefu walijikuta kila mtu kamshika mwenzie katika maungo ya ndani kabisa.

ILHAMU kwakua alikua mtu wa mjini alikua akisikia mengi kuhusu tendo kwa wenzake ilibidi leo afanye na hatimae alishika sehemu ya siri ya hassani bila kumjua na kuanza kuingiza mdomoni mwake.

Kitendo hiko kilimtoa akili kabisa kijana hassani nakuona kama yuko peponi huku na yeye kumshika shika ILHAMU. 

We ILHAMU ILHAMU weee wazee walianza kuita ndipo ilhamu akashituka na kutoka katika ulimwengu wa raha na kujitambua kisha kupandisha nguo zake na kutoka nnje.

Wazee walimpokea na kumuuliza kuna nini humu ndani.?

Mmmh mimi ata sijui ila bila shaka kuna mmbakaji..  
Wakasikia sauti ya oddi ikipigwa nnje kalibuni wakawakalibisha.

Alikua ni mganga na afande kambona. 

Afadhali mmekuja wanaume jamani humu ndani atuerewi kuna nini maana mala kuna toka ugali mala samaki.

Ghafla uyu bint nae akavutwa humu ndani sasa ingieni muangalie maana atuelewi etii.

Haaaa haaaa walicheka kwa dharau mganga na afande kisha wakasema uyo ni hassani bhana alisema atawafanyia surprise .

Hasssani...!! Kila mtu alishangaa.


Mziki ulifungwa na kila mtu alikua akicheza . Asma alishangaa kutomuona rafiki yake ILHAMU nakuanza kumuulizia kwa watu kama huko nnje anaonekana.

Akapewa jibu kwamba nnje ayuko na awajamuona mda tu sijui kaerekea wapi .
 
Mzee sanadi na familia yake pia walikua wako kwenye uo mziki .
Mzee sanadi akapokea meseji kutoka kwa mganga kwamba adi jumaa tatu hassani atakua na aisha mamboa yako kama alivyo panga.

Upande wa pili. Baada ya kutoa siri kwamba ni hassani ndipo akajionesha wazazi walichoka baada ya kumuona pia walimsema asiludie tena.

Ila Hassan alikua akimtazama sana ILHAMU. 

Na ILHAMU baada kujua alikua akimpapasa kukalibia ata kufanya mapenzi ni hassani alichoka sana ila alipenda kiupande fulani.

     Itaenderea...

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.