Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 21

.SUBIRA UVUTA KHERI.
 HANCY KUMBILO 
    0715364116.
SEHEM YA 21.

Alikua akidhania ni asma anakuja endereeaa.


Aliingia ndani wala hakua asma bali ni ilhamu alikuja kuwapa company wazee wale ambao kijjiji kama kimewatenga.

Aligonga hodii na kisha kuingia bila kujibiwa kama apite.
Ajabu aliwakuta wamama wote wako lakini kila mmoja alikua ameshika tama huku akiwa na mawazo ya hali ya juu.

Aliwashtua kwa pamoja mama zangu.

Ndiko kila mmoja alishtuka nakuanza kuona nini kinaenderea .

Mama asma ilibidi kwanza amtambulishe mama hassani bint aliekuja hapo kwake.

Huyu ni mtoto wa jirani yetu ambae alipata accident kama unakumbuka nilikua nae pale kwangu anaitwa ILHAMU. 

Mmh nishamjua na ameshakua bila shaka uyu ndie aliekua akigombana na asma juu ya HASSANI wangu.

Walicheka na kuadisiana mambo kidogo ya nyuma. Baada ya mda walianza sikia harufu ya samaki wakikaangwa.

Mama Hassan baada kusikia hivyo alikumbuka kwamba ina bidi waandae chakula na kuweka mambo sawa kweni leo ni siku ya hassani kuludi.

Ndipo mama asma nae alikumbuka swala hilo nakuanza pilika za kuandaa msosi.

Mala waliona sahani ya ugali ikitoka chumbani nakubuluzika mpaka walipo kaaa.

Kila mtu alishangaaa sana na kua na hoffu ya hali ya juu.
Huku ilhamu akianza kuamini uenda mama hassani ni mchawi kweri unatokaje ugali wa moto kama umepikwa mda huu na amna mpishi.

Kimya kilitanda na kila mtu kushindwa kunya nyua mdomo wake kwa tukio linalo onekana.

Baada ya sekunde kaza ililushwa bakuli ilio jaa samaki wakukaangwa. Na kalatasi ilio andikwa kwa marka peni nyekundu.
 Imeandwika hivi *Mama asma na mama hassani na wewe ilhamu kuleni bila ivyo HASSANI atoki jera*

Kila mtu alilukwa na akili hasa ilhamu kwanza story alizo zisikia pia anayo yaona kubwa ni karatasi ilio andwika kwa marakpen jina lake .

Aliinuka nakuanza kuongea kuwaambia wazee walio kua mbere yake .

Heee ina mana nnacho kiona na nilicho kisikia kina ukweri kwamba mama hassani ni mchawi na pia mama asma na wewe unatembea na Hassan mbona munanichanganya au nini kinaenderea mama.?

Akasikia sauti ikimuita ikitokea katika chumba cha jikoni. *ILHAMU UTAKULA AU AULI*

akashindwa kuvumilia nakuataka kukimbia ile ana anza safali ya kukimbia ghafla akashikwa mkono nakuvutwa katka chumba cha jikoni. Nakuwafanya wazazi nao kukimbia kutoka nnje uku wakiwa na wasi wasi kwa walicho kiona.

Upande wa mzee tope ulifungwa mziki mkubwa na watu walimaliza kuchambua mchere na kuenda kujianda kuja kulusha loho.

Wapo walio kua pamoja na harusi hio pia wasio penda kushuhudia ilo tukio wakiamini wanakosea sana kumtenda hassani kweni ana mapenzi ya dhati juu ya asma.

Kila ubanda wa pombe watu walijaa na mzee tope alilipa kila kibanda na kuwaacha watu wanywe tu .

Afande na mganga nao walikua wakipanga ni vipi aisha na hassani watakua pamoja na mgang alisema ina bidi Hassan awe zezeta kwa aisha.

Zezeta tena.....!!!


    Itaenderea..

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.