Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 20

.SUBIRA ÚVÙŤÀ KHERI. 
 HANCY KUMBILO 
   0715364116
  Sehemu ya 20.

Aliwatemea mate.

Enderea..

Ilo tukio watu wote walishangaa na ndipo wengine wakiamini ilo jambo linalosemwa.

Na baadhi yao waliongea kwa sauti *LETA MZIKI HUO ACHANA NAO HAO MTU NA MKWEWE MAMA MZIMA ANATEMBEA NA WATOTO MZEE TIPE LETA*

Kwa sifa ya mzee tope nae alijibu mbona mnamsahau na huyu mchawi.?

*TUNAJUA KAMLANYAMA MMEWE*

Ilikua ni kashfa na aibu ya hali ya juu ila kwa moyo mdogo wa bibie ILHAMU alitoka chumbani nakuwafata wazee wenzake wawili walio kuwa wakizomewa na watu.

Basi aliwatoa wazee hao nakuwa aidi kwamba atakuja jioni kwao.

Afande na mganga walifika kwa HASSANI nakumtoa kisha kumuambia nini kinaitajika.

Mganga alisema kwanza kabisa hassani jua wazi kwamba unatoka pia kuna vitu muhimu vitatu uvijue.
1.Baba ako amefarik
2.asma kakuacha
3.kisasi anachotaka marehemu umfanyie.

Kwa mambo haya matatu unatakiwa uwe kidume hasa na kitu nnacho kujuza leo hii na afande ajue ni kwamba zile mali za mzee sanadi ni halali ya mkewe alie kufa.

Sasa hiyo MEMORY CARD naisi ina kila kitu .

Na lapili ni swala la mzee sanadi juu ya wewe kutoka maana amekuachia utoke ili uwe na mwanae.

Aisha....?

Afande na hassani waliuliza kwa pamoja.

Mganga akajibu ndio kweni ili tupate MEMORY CARD lazima tuingie kwa sanadi na ili tuingie chumbani kwa marehem lazima tu tuwe wenyeji mule ivyo ukiwa na AISHA utafanikiwa.

Lakini kweli Hassan fanya hivyo mwanangu afande alikubali swala hilo nakumshahuli hassani. 

Hassani aliwatoa hofu na kuwaambia nyie nnao waona hapa ndio wazazi wangu wakiume. Ivyo nntakua na nyie tu kwa kila jambo.

Walikumbatiana na hassani alianza safali ya kwenda kwao kwa amani tere.

Asma alimkemea sana ilhamu kwa ushenzi alio ufanya juu ya kuwa karimu wazee wake.

Huku akimtukana sana ILHAMU alikua ni bint wa pekee ambae alikuja mala moja tu kwa ajili ya sherehe hiyo kweni ali soma nae.

Samahani asma lakini si unajua kabla sijaondoka mama ako ndie aliekua akinilea kweni iliniladhimu anione tu .

Hata kama ila umenikosea sana ILHAMU tena sana.

Nisamehe wangu.

Hassani alichukua pikipiki nakupita kwa kasi sehem ile ya harusi huku akilia na kuwa na mawazo tere juu ya asma wake.

Alifika nyumbani salama lakini alikuta wazazi wake kama awana furaha na amna maandalizi yoyote ya kumpokea wala chakula.

Alishaangaa sana na baada ya mda alimuona bint mmoja akija huku akiita mama zangu maamaa eheee.

Basi ilibidi Hassan aingie ndani na fikila zake alikua anadhani ni asma ana kuja.


  ...je ni asma kweri...

Itaenderea ....

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.