.SUBIRA UVUTA KHERI.
HANCY KUMBILO
0715364116.
Sehem ya 19.
Safali ilianza kwa wazazi kuenda kuandaa mazingila ya kumpokea kijana wao akitoka mahabusu huku wakiwa awaamini.
Basi napo upande wa pili afande kambona nae alafata na mganga na moja kwa moja walienda kwa mr sanadi tajiri wa kijiji hiko.
Huku mkononi wakiwa na counter lenye kessi ya Hassan . Mzee sanadi alitoka kisha akatoka chemba na mganga.
Enheee nambie mganga wa dunia vipi mbona na maafande kwangu.
Usiofie sana boss wangu lengo ni kwamba nataka nikamilishe utaratibu wa ndoa ya aisha na hassani.
Ivyo ni lazima kessi uifute kwanza ndo mengine yaenderee.
Daaah mbona kama itakua kazi ya kanisa mganga atoke tena kule wakati ukweli upo wazi kama ajaua.
Mimi si niko amna kinacho alibika sanadi boss kweni akitoka tu kule aichukui siku tatu lazima amtake bint yetu we niamini.
Sawa kwahiyo nini kifanyike sasa.
Basi walitoka chemba nakuonana na mr kambona afande wa kituo kidogo hapo chanika na kusaini mafaili ya kessi kwamba kijana hassani awe huru na izini imetoka upande wa mshitaki.
Afande alifurahia sana baada ya mda mganga na afande waliomba waondoke.
Ila mzee sanadi alimkata jicho mganga na kumuambia kwa ishara kama ya kumtisha *Kuamakini mganga*
Upande wa asma ilhamu alimuuliza sana maswali mwenzie asma nakushangaa majibu ila alitamani sana kujua nini kisa cha mzee tope kumuacha mam ake .
Asma alicheka sana nakusema tatizo mama yuko upande mmoja na mmbakaji adi ana msahau baba .
Alafu uwez amini ilhamu nna uakika mama anatembea na hassani kimapenz sasa baba kajua.
Astakafilu llah asma maneno gani hayo wewe utapata lana.
Eehe ilhamu aya tuache kama utaki ukweri ila mimi nimekuambia tu.
Upande mwengine wa wazazi wawili mama hassani na mama asma.
Wakiwa wanaenda kwenye makazi na njia ili ufike kwa mama hassani lazima upite kwa kina asma.
Mama Hassan alisimamisha piki piki ili wapite kasi kweni nnje kuna wamama wana chambua mchere sasa anafikili mama asma akipita watu watajua.
Lakin mama asma alikataa pikipiki nakumuambia mwenzie asante kwa unacho fikilia ila tupite tu pale twende kwetu.
Nntajificha adi lini.
Mama asma alipiga moyo konde nakuanza kukatiza kwenye uwanja wa mzee tope huku watu wakimuangalia.
Na wengi kujiuliza ni nini kinaenderea kwenye familia ya mzee tope.
Ila baadhi ya watu walianza kusema yule mama hassani ni mchawi kamla nyama mmewe. Na mama asma kaachika maana alikua anatembea na hassani mkwewe wa dhamani .
Story ikawa hiyo kwenye halusi . Wakati wanamaliza tu kumaliza uwanja huo . Walioma pickup imebeba mziki na mzee tope alitoka dirishani na kuwatemea mate.
...nini kitajili sehm ijayo...
HANCY KUMBILO.