Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 18

.SUBIRA UVUTA KHERI.
 HANCY KUMBILO
   SEHEM YA 18.
      0715364116.
KESSI ITAFUTWA .
ENDEREA.

kila mmoja kati ya hao wanaosikia habali hizo walitamani wajue haraka.

Mganga alisema mimi najua kwamba hassani alikua ana lengo la kumsaidia marehemu. Na wakati anafanya hivyo aisha na mama ake walikua wakiona.

Ila Hassan akuwaona sasa basi kama mtani amini viko vitu vingi kubwa ni hii barua.

Ilitolewa barua na hassani alisoma kwa sauti wote wakisikia iliandikwa hivi *KWAKO HASSANI SIJUI HATIMA YA AFYA YANGU ILA KAMA NIKIFA BASII HII BARUA ITAKUA KAMA SHUKRAN KWAKO KWA MSAADA PIA ITAKUFANYA IKUSAIDIE KWA MATATIZO YAKO* 
   *KIKUBWA FANYA KILA LINALO WEZEKANA UINGIE NDANI YA ILE NYUMBA NA UTAFUTE MEMORY CARD NIMEIDONDOSHA MULE INA KILA USHAHIDI PIA ITAKUPA UTAJIRI*
  *USIPUUZIE NA USIONE UPUMBAVU AHSANTE MAEREZO MENGI TAFUTA MEMORY* AHSANTE""

Kila mtu alibaki na question mark?

.. mipango ha harusi nayo ilipamba moto na baada ya kutoka kwa wazee wenzake mzee tope alienda mjini kutafuta mziki mkubwa (lusha roho) ili aoneshe mbwe mbwe kijijini kwa kupata mkwe mwenye pessa.

Asma alikaa ndani na mashoga zake wakipeana story. Hivi asma ni kweri unavunja uhusiano na hassani na kuorewa na maliki.?

Ndio shoga kweni kuna ubaya wowote lakini.

Amna ubaya ila ajabu jinsi mlivyo shibana leo hii kila hisi tu.

Ujue nnacho amini kwenye akili yangu amna tena jina la HASSANI pia ilhamu jua kwamba mapenzi si pesa lakini ikikosekana yana pungua.
Unajua hassani ajawai ata kuninunulia chupi mimi.

Basi itoshe na kumbuka maneno haya unaniambia kipind mnetengana tu. Masikini hassani.

Mbona unamuulumia sana una mtaka nini .?

Wala ila umemuacha katika wakati mgumu sana.
 Achana nae now ongelea habali za handsome boy wangu mariki ujue ilham najiona na bahati kumpata maliki.

Ongela aya mbona mda wote huo tumekaa na mama shughuli atumuoni?

Munamuulizia mtaraka wa Baba.

Mtaraka...!!!.

Hassani baada kusoma akasema niko tayali kwa lolote mkuu nini kifanyike.

Sawa usiwe na haraka sana wazazi nyie kaandaeni mapokezi nyumbani mimi naenda niendako na afande huyu kambona sehem .

Tukiludi kuja nyumbani twaja na hassani na kessi inakua akuna kabisa..

Mama wote wawili walitokwa na machozi na mama hassani akusita kuomba msamaha juu ya kumuhisi vibaya mganga.

Mganga alimsamehe na kusema ata mimi nimkosa ila kwa kauli ya marehem nikiya fanyikisha haya nntakua ni mwenye kusamewa na yeye.
     ...itaenderea..

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.