.SUBIRA UVUTA KHERI.
HANCY KUMBILO
0715364117
SEHEM 17.
ALIKUA MGANGA.
ENDEREA.
Samahani naluhusiwa kuingia ndani ..?
Aliuliza mganga huyo wakienyeji .
Na watu walimuambia apite. Ila mama hassani alisita nakumuambia mganga ya kwamba yeye ni mtu wa kalibu na mr sanadi ambae ndie adui mkubwa wa mwanae hassani.
Mganga alicheka nakumuambia mama ya kwamba usilo lijua ni sawa na usiku wa giza.
Kisha akajitambulisha kwa watu wote yeye ni nani pia alikuja vipi hapo ila mwisho kabisa alisema kitu ambacho kila mtu kilimfanya ajue nini kitaenderea.
Wakati anajitambulisha akusita kusema kwamba yeye na marehemu ndio waliongea kabla ya kufa na akaniomba nionane na hassani.
Asma alitoka na baba ake huku akiwa ana wasi wasi wowote mwisho wa safali mzee tope alifika kijiweni na kualika wazee wenzake juu ya ndoa itakayo fungwa kwake.
Asma tangulia home mimi niache hapa ila usisahau kuwaambia rafiki zako.
Sawa baba..
Wazee wenzangu mimi sina stori nyingi nawaalika tu katika ndoa kesho ya asma mwanangu.
Mzee tope bhana kwahiyo hassani ndo umemkatalia na kumuwoza bint yako kwa kijana asie kua mwenyeji kwetu.
Kweni we mzee ni mchawi nini aliuliza mzee tope. Nakujigamba ya kwamba mimi ndo baba na kama mnataka umbea zaidi basi juweni na mama asma nimemuacha na lengine muje muone kesho kwaherini maskini wenzangu.
Kila mzee alisema asante pia tutakuja wala usijali tajili.
Kijiji kizima cha chanika habali kubwa ilikua ni asma kuorewa na kumuacha hassani walio pendana sana.
Kila mtu akupenda kinacho tokea maana waliamini kisa hassan yuko kwenye mtihani ndo asma anachukua uamuzi huo.
Kituoni afande kambona alisema kumuambia mganga . Ni kitu gani na kama unania nnzuli na hassani tufanye mapema maana jumaatatu atapanda mahakama ya kijiji na mwisho ataenda sehm mbaya.
Kama mtafata nisemacho basi nna uakika ata leo hassani ana toka humu na kessi inafutwa.
Kessi inafutwa...??
Itaenderea
..