Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 16

.SUBIRA UVUTA KHERI.
   HANCY KUMBILO
      0715364116
       SEHEM 16.

MIMI NAENDA HUKO HUKO.

ENDEREEA...

mimi naenda huko huko kituoni.

Hassani alisema kuwaambia mama zake huku akiwa shika usoni.

Mama zangu kila kitu kimesha isha kwangu kweni jumaa tatu naenda mahakamani amna shahidi wala wakili kwangu.

Na nilitamani nitoke ili nije kuowana na asma lakini mwenzangu ndo kama mnavyo niambia wacha tu nikakae zangu jela.

Kituo kizima kilipatwa na majozi juu ya maneno ya hassani maafande wote walilia na kishindwa kukaa afande kambona alimuhusia hassani kwamba mungu yuko anajua ukweli asijali na asiwe na maneno madhaifu.

Ghafla aliingia mzee tope na asma wakiwa na kifurushi kwenye rambo.

Hassani baada kumuona asama aligeuka nyuma na asama akaanza kuongea.

*haaa haaaa mmbakaji hassani unaona aibu kuniona au umegeuka huko kuwaza nini ufanye enhe au unataka kumbaka na mama angu*

Hassani aligeuka na kumuomba asama asiongee chochote na aondoke kweni anajua kila kitu kuhusu yeye.

Asma alicheka akiwa kavaa kimjini mjini kabisa alienderea *Hivi wewe kijana umenitukanisha kweri kila mtu anasema nilikua sikutimizii mpka umeenda kumfanyia yule mama wa watu aliefariki sasa hiki kifuko kina kila kitu kuhusu wewe na mimi*

*kuanzia zawadi nguo na ata pete yako naomba unisahau kijana enhee na sio wewe tu ata huyu mchawi mama ako aliemuweka baba ako msukule asini fatilie kabisa maisha yangu*

Mama asma alinyanyua mkono wake na kumpiga mwanae kibao.

Asma aliinama na kuanza kulia kisha akainuka nakumuita mama ake jina lake. Heee we hidaya unanipiga kisa bwana ako mpya HASSANI.

Watu walimshangaa sana asma kuhusu tabia anayo ionesha hapo.

Asma alimaliza nakumuomba mzee wake afanye kilicho waleta mahala hapo.

Mzee tope alitoa karatasi nyeupe na kumwambia mke wake mama asma kwamba kuanzia leo wewe na mimi si mke na mume na hii ni talaka tatu kwako.

Mama asma alipokea nakufarahia kisha akalia. Nakusema ipo siku mtanikumbuka mimi na mtamkumbuka hassani na asma utalia sana siku hiyo si umedanganyika na maneno ya baba ako sawa.

Ila tambua asie funzwa na mama ake atafunzwa na ulimwengu . Alafu ukitoa mguu wako maeneo haya usije niita tena mama ako .

Potelea pote byeee na chamwisho nawaalika harusi yangu siku ya jumaa mosi ambayo ni kesho.

Wakaondoka nakuancha watu walio kua hapo wakiwa kimya wasijue nini cha kufanya.

Hassani aliwaomba wazazi wake hasa mama asma kwa matatizo yote nakujua kwamba yeye ndo mkosa wa yote.

Wazazi walishikana na kusema kwa pamoja. Kwenye ukweli uongo utajitenga pembeni.

Eeh mola wangu tusaidie kwa hili na ukweri ujulikane.

Mala wakasikia sauti mkiniamini mimi ukweli utajulikana.

Wote walitoa macho nnje na kumuona mtu wasie mfahamu.
Ila pekee mama hassani ndo anaemfahamu tena kwa sura.

Alikua ni mganga.   

   *itaenderea*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.