Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 13

.SUBIRA UVUTA KHERI.
MTUNZ HANCY KUMBILO.
 0715364116.
SEHEMU 13.

Njoo haraka nikupe kazi umfanyie kijana hassani.

Enderea .

Hassani ndio nani tena.?
Mganga aliuliza .

Na mzee sanadi alimwambia we njoo ujionee huku huku.

Ikabidi agaili mganga nakuja kusikiliza habali za hassani.

Kijana maliki alimbeba asma nakutoka nae mlango wa uwani palipo kua kuna waka sana .

Alifanikisha kutoka nae salama na akuna ata mtu alio waona kweni wote walikua byze na barazani maana uwani moto ulikua mwingi na walijua awataweza kutoka uwani.

Alijikaza kijana maliki nakufika kwake kisha kumlaza kitandani asma na yeye alitoka nnje kisha kuanza kuugulia madonda aliyo yapata kutokana na moto.

Watu walikaa nakuona kimya ndipo vilio vikaanza vikiashilia uenda walio ndani wamesha kufa .

Mama asma alilia sana . Aliinuka alipo kua analia kisha kumfata mumewe nakuanza kumpiga kifuani kwamba mkosa ni yeye aliesababishwa .

Watu nao walianza kufata umbea nakutaka kujua chanzo ni mzee tope kwa nini.

Mganga alivyo fika kwa mzee sanadi alikuja kumchukua mganga na mama hassani alikua akiona.

Na alijiaminisha kwamba yule mzee anae jifanya msaada kwa mwanae pia wako sawa na sanadi.

Hivyo alimuona ni adui kwa pande wake nakujisemea kimoyoni nntapambana na wote nyie wabaya wa wanangu.

Aliondoka.

Kituoni kamanda kambona alimuomba tu kijana hassani ajikaze.

Hassani akiwa katika hali ya sinto fahamu alianza kuona vitu ambavyo akuvielewa.

Alimuona yule mama aliekufa katika mawazo yake akimuita.

Hassani mwanangu usijali utakua tajili na msaada utakujia acha kulia.

Mbona nimesikia umekufa na hapa nakuona.

Kamanda kambona alisikia hassani akiongea lakini vitu anavyo ongea ni tofauti kabisa na wanavyo ongea wao.

Akajua wazi Hassani kalukwa na akili.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.