.SUBIRA UVUTA KHERI.
0715364116
MTUNZ HANCY
SEHEM 12.
Asma mwanangu yuko ndani.
Enderea..
Jamani mwanangu yuko ndani msaidieni . Ni kauli ambayo kila mtu ilimuumiza sana juu ya kusikia kwamba asma yuko ndani.
Moto ulikua mkubwa na akuna ata mmoja alie jalibu kuweza kuingia ndani ili kuenda kutoa msaada.
Watu walimwaga mchanga pia maji lakini moto ulipamba sana.
Mara watu waliona kijana mmoja akiingia katika nyumba ile huku akiwaacha watu mdomo wazi wasimjue ni nani.
Jamaa mmoja aliita we maliki una akili kweri toka uta ungua humo.
Walikaaa kimya nakusubili kuona kina jili nini.
Kijana alimkuta asma akiwa anafoka baada kutandwa na moshi kwa mda mwingi.
Asma alimuona maliki nakutoa neno moja tu nitoe nikiwa mzima wangu.
Msibani watu walijiandaa na kuanza kuerekea makabulini.
Watu walichukua jeneza nakufika malaloni mr sanadi alijifanya mwenye kulia sana juu ya kupoteza mkewe.
Wakati mazishi yamekamalika na talatibu zote kuisha na watu kuanza kuludi nyumbani .
Alionekana kijana mmoja akiwa anakimbia uku akisema *mzee tope nyumba yako inawaka na mwanao yuko ndani*
Jamani moto kwa mzeee topeee moto.
Baadhi ya wanao mjua mzee tope na mwenyewe walitokwa na akili kabisa ya msiba nakuanza kukimbilia nyumbani kwa mzee tope.
Wanaume waliotoka makabulini wakati wanakimbia walipita msibani na wakina mama waliona wanaume wakikimbia na waliinuka nakuanza kuamaki ni nini kina enderea.
Mganga na yeye alikua mmoja ya watu walio kua wakikimbia lakini ajabu alivutwa shati na mama ake hassani.
Alitolewa na kisha mama hassani alimuuliza we ni nani mbona sura yako ni ngeni.?
Mama bila shaka una wasi wasi ila mimi ni mtu sahihi wa msaada kwa mwanao twende huku pia jaribu kujificha watu wasijue kama mimi na wewe tunafahamiana.
Mganga alienderea kukimbia na kumuacha mama akiwa ameduwaa mdomo wazi asijue nini afanye.
Watu walio msibani nao walibidi wafate mkumbo.
Kituoni kijana hassani nae aliletewa taarifa na afande kambona kinacho jili katika kijiji cha chanika.
Hassani ndugu uko nnje mambo mabaya sana rafiki yangu.
Ubaya wake ni nini kaka.
Ujue yule mama tunae mtegemea ameshafariki pia ameshazikwa na kwa mkweo mzee tope nyumba inawaka moto na asma yuko ndani ya nyumba.
Hassani aliishiwa nguvu nakuanguka chini.
Wakati mganga anakalibia kufika kwa mzee tope simu yake iliita na alikua akipiga mzee sanadi alivyo poke alisikia saut ya sanadi ikisema.
*njoo halaka nyumbani nikupe kazi umfanyie kijana HASSANI*
ITAENDEREA...