Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 07

.SUBIRA UVUTA KHERI.
  HANCY KUMBILO
    0715364116.
       SEHEM 7.

Walisikia kikombe kimeanguka alipo lala mgonjwa.

Enderea.

Walishtuka nakujua kwamba yote waliyo yaongea muhusika kasikia.

Waliingia kwa hofu ya hali ya juu lakini walikuta mgonjwa bado ajaamka.

Basi walicheka nakusema uenda panya.

Kituoni mzee tope kwa mala ya pili alikuja kumuona kijana HASSANI mahabusu.

Mkwe huyo ujambo.
Hassani alishangaa lakini ilimlazimu aitikie tu.
Mzima baba ujambo.

Kwa kweri mimi sijambo ila sio sana kama ilivyo mwanzoni.

Kuna nini tena baba.?

We acha yaani unanisumbua upendo wenu na mwanangu kweni leo asma alitaka kunywa sumu eti kisa akuoni ulaiani.

Daaah baba mwambie asiwe hivyo pia baba mimi nntatoka tu humu najua huenda kuna vitu avipati.

Sawa ila leo nilipita kwa yule mzee sanadi nikakuta hali ya mzee sio nnzuli bila kusahau mama ako mzazi nae wa leo wa kesho.

Ehee mungu wangu nisaidie mimi mja wako watu wajue ukweli wa kesii hiii.

Sasa mimi naondoka hassani ila sasa nnacho ona mimi ukubaliane na mzee sanadi ili utoke humu ndani.

Nikubaliane nae nini baba?

Inabidi umuoe AISHA bint wa sanadi ili mambo yawe kimya kabisa bila hivyo kutakua amna jipya juu ya wewe kutoka.

Mmh baba mimi na asma tunapendana sana na siwezi bola kufia jela kuliko kumuoa AISHA.

Sawa mimi nimekupa mtihani huo ambao lahisi kufaulu kama uwezi kazi kwako kusuka au kunyoa.

Aliondoka mr tope.

Walivyo ondoka katika chumba cha mgonjwa. Mzee sanadi na familia yake.

Mama aliekua anaumwa alilia sana kisha akashika simu yake nakuanza kujirecord video inayo zungumzia swala la ugonjwa wake pia plan zake juu ya mmewe na mke mwenzake kutaka kumuua.

Alivyo maliza alishika peni kisha akaandika neno moja tu *tafuta memory ya ushahidi ndani mwangu*. 

Mzee sanadi aliwambia familia yake kwamba kipindi hiki cha ugonjwa ili napate vizuli mali za mke wangu wa pili ni lazima afe.

Mala aliingia mzee tope kuleta majibu.

Kalibu mzee mwanzangu mtaalamu wa plan leta mpya.

Mpya mbaya tu kaka maana kijana bado anakazania msimamo wake uleule.

Sasa mimi nna wazo mzee sanadi.

Wazo gani ilo mzee tope.

Wewe si unataka mali pia unataka mwanao aolewe na kijana hassani.

Ndio kitu nnacho kiwaza vipi kitawezekana vipi mzee tope .?

Ili ayo mambo yatimie lazima mkeo ambae bi mdogo afe.

Maaana akifa yeye mali zao zote ni zako pia mtoa ushahidi wa kesi ya hassani ikiwa ameshakufa atakua ana jipya lazima amuoe kijana wetu aisha.

Duuuh mzeee tope wewe kweli mzee wa plani kwa hilo mimi niko tayali kazi kwako tu.

Haaaa haaaaa mimi mzee wa mjini bhana sasa inabidi twende kwa yule mganga kwanza sawa mzee.
Sawa.

Polisi kituoni hassani alijaribu kuwaereza afande maku na kambona juu ya tukio zima la yule mama mgonjwa na pia juu ya mzee sanadi anachokitaka.

Askali kwel walikili kwamba kijana hassani anamakosa ila ushahidi wote atakua nao mgonjwa tuombe du apone haraka.

Amiin.

Itaenderea

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.