Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 05

.SUBIRA UVUTA KHERI.
    0715364116
  SEHEM 5.

MARHABA MMBAKAJI.

ENDEREA.

yaani wewe kijana ni wa hovyo sana sasa mwanangu akulizishi mpaka uende kumbaka yule mama wa watu.

Hapana baba mimi nilienda kumsaidia kweni amfahamu kua yule mama ana ugonjwa wa kuangukaga . Alishawai kuanguka kisimani na tulimpeleka kwao.

Haaa haaaa sawa tunajua shida inakuja hapa kwa mr sanadi ulifata nini?
Pia lile shoka lilikua la kazi gani.
Na kwanini umvue nguo zote.

Babaa mimi sijafanya hata kimoja katika hivyo vyote.

Mimi kila siku adui yako nadhani unajua hilo sasa basi nikuambie kitu ambacho kinaweza kukusaidia.

Na kabla sijakuambia ni kitu gani nakupa taarifa kua baba ako asahivi tuna subili swala ya adhuhuli tu .

Tukamzike ameshafariki.

Hassani alisimama nakuanza kumpiga makofi mzee tope kwa kujua uenda anasema uongo.

Kwenye msiba watu walio kua wakimpa huduma ya kwanza ASMA walifanikisha na asma aliludi katika fahamu zake kisha kumkumbatia mama ake na hassani huku wakiwa kwenye majozi ya hali ya juu.

Ghafla walisikia sauti ya mzee tope ikiongea kwa hasila ikisema.

*MME ONA SASA ALICHONIFANYIA KIJANA WENU MNAE MPENDA ONENI NILIVYO VIMBA PIA ONA JINSI NINAVYO TOKA DAMU.* *HASSANI SIKU HIZI AMEKUA KAMA MNYAMA ASANTENI KWA KUNIPA MAKOFI MLIO MTUMA MWANENU ANIPIGE*Alimaliza kuongea kisha kuondoka.

Watu wakawa kimya na kushangaa kinacho enderea asma alisimama na kusema kuwaambia watu .

Samahani wazee wangu mimi naomba muenderee na shuhuli zote za mazishi baba angu ni mtu wa act sana hivyo msimsikilize sana na mimi naenda kuwa letea HASSANI aje azike.

Asma alijikaza nakuerekea kituo kidogo cha kijijini hapo.

Alifika salama nakuomba kuonana na mpenzi wake HASSANI.

walivyo onana kila mtu alishindwa kuongea na kujikuta wakipeana romance nakila mtu akitokwa na machozi.

Asma mamy mimi sijabaka na wala sierewi kitu.

Najua HASSANI uwez fanya hivyo pia najua toka ukatae kumuoa aisha . Tumeongeza maadui.

Samahani asma baba ako alikuja hapa lakini nilimpiga kwa kunipa habali mbaya kwangu.

Hizo habali ni za kweli mpenzi wangu nimeongea na kamanda KAMBONA na amekuomba uzike kisha uludi hapa.

Alilia sana HASSANI alijua tu mzee kafa kutokana na presha .

Alitoka nakunyoosha mikono kwa afande kambona ili afungwe pingu.

Afande alishusha mikono ya HASSANI nakumuaidi awezi fanya hivyo.

Ila alimuomba sana akimaliza msiba ajisalimishe mwenyewe kweni ana muamini sana na ana kili kwamba awezi fanya kitendo ambacho kina mueka jera.

Alimshike asma wake nakuanza kuelekea kwenye msiba kwao.

Walifika salama na watu walivyo muona walifurahika sana ingawa kuna tatizo .

Asma alienda upande wa kikeni na HASANI akabaki barazani akiwa anatokwa na machozi ya uchungu.

  Itaenderea

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.