Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 04

.SUBIRA UVUTA KHERI.
    HANCY KUMBILO
  0715364116
  SEHEMU 4.

BABA alikufa kwa mshituko wa taarifa za mwanae kijijini hapo .

Endereaa...

Kijiji kizima habali zilizo tapakaa ni mbili tu juu ya kubakwa mama wa kambo wa AISHA .

Pia kifo cha mzee wake HASSANI.

Kila mtu alipokea hizo taarifa kwa mtazamo wake. Wapo walio kua wakimuonea huruma hasani.

Na wapo waliona bola tu yamkute yakumkuta kwa tabia mbaya alizo nazo.

Ila watu wengi walikua wakimuulumia hassani kutokana na tabia zake pia kesi inayo mkabili wengi waliisi kama kaonewa .

Mzee tope yeye alikua ni mpambe mkubwa wa mzee sanadi na alikua akijitaidi kumshauli mambo kadhaa tajili huyo.

Hivi mr tope ile kazi ujaimaliza kweri.?

Bado boss sanadi maana HASSAN anaonekana kweri anampenda mwanangu visa vyote nnavyo mfanyia lakini ajali juu ya kumpenda ASMA.

Jitaidi sana nataka aisha aolewe na hassani ili mipango yangu iwe sawa kabisa.

Usijali boss ila mimi naisi tufanye kitu katika kesi inayo mkabili hassani ili tu amkubali aisha.

Mmmh kitu gani mr tope.?

Ngoja niende home nikija keshoo nntakujuza wacha niende kule msibani.

Mama yake na asma alifika nakukuta mwanae na mzazi wa kike wa HASSANI wakiwa wanalia sana.

Mama alijikaza huku akilia kimoyoni nakujua ni shida anapata mwanae juu ya upendo wake.

Asma alilia sana mpaka kuperekea kuzimia kabisa .

Watu walimchukua nakumpa huduma ya kwanza.

Swali lililo kuwepo je taarifa ya msiba wa mzee *kumbilo* nani atapeleka kumuambia hassani mahabusu.

Hassani alikaa zake mahabusu uku akiwa anasikia ile sauti kama inajiludia katika ngoma za masikio yake.
 
Ikiita nisaidie jamanii msaada huku.

Maaskali wanaomjua hassani walikua wakimtazama sana kijana huyo mpole nakujiuliza maswali ambayo ayana majibu.

Ukweli wa hassani juu ya kubaka au kutobaka anae jua ni mama alieanguka chooni na muhisika wa kessi.

Wazee walio kua upande wa hassani wakiwa msibani walianza kuchagua ni nani aende kumpa taarifa kijana hassani .

Kula zikaenda kwa mzee TOPE .

na mzee tope akukataaa na moyoni alifurahi kwa kua anajua plani zake zita faulu.

Akiwa maabusu alitolewa nnje hassani nakuambiwa kuna mgeni na atoke kidogo nnje amsikilize.

Alitolewa na kumuona aloe kuja kuongea nae ni mzee tope.

Shikamoo baba.

Marhabaaa mbakaji.,,!


Itaenderea

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.