Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 03

.SUBIRA UVUTA KHERI.
  HANCY KUMBILO
     0715364116
       SEHEM 3.

HASSANI UMEUA. ....

ENDEREA...

aliganda bila kujibu kijana hassani .
Mama na kijana wake AISHA walikimbilia chooni na kumfunika mama yao.

Mzee SANADI alimkunja kijana hassani nakuanza kumpiga sana kijana hassani.

Alimpiga sana huku akiita kelele za wizi watu walikusanyika nakuanza kumpiga.baada ya muda watu waligundua ni kijana HASSANI. 

Maaskali walifika nakuanza kumchukua hassani nakumuambia mzee sanadi afike kituoni kwa maujiano.

Akiwa pembeni bibie asma akiwa analia alisikia sauti za watu zikitaja jina la mpenzi wake.

Alishtuka nakufuta machozi kisha akaanza kufatilia zile sauti ili ajue nini kinaongeleka juu ya jina la mpenzi wake.

Alipo fika akuamini masikio yake anacho sikia.

""Sijui kama kweli hassani alikua akimfosi mama AISHA juu ya kumbaka uenda ana singiziwa.
     Utajuaje bhna uenda kweli mmbakaji sasa alifata nini kwa mzee sanadi na kwanini ampige yule mama .
   Mmmh jamani acheni umbea twendeni kisimani kesi iko kituoni tusije tukajuta bure kama kabaka ajabaka mimi na nyie atujui""

Asma aliumia sana juu taarifa hiyo nakuanza kukimbia kuerekea nyumbani kwa kina HASSANI kujua kama ni kweli.

Mzee tope alivyo sikia hizo taarifa alimuita mkewe na amuambie nini kilichotokea.

Mama asma mkweo umesikia sifa zake za ubakaji mkewangu haaaa haaaaa.

Mimi nilishasikiaga mda tu kuhusu hilo na wala siamini.

Uamini wakati kakutwa na panga pia mama aisha mdogo alikua uchi kabisa na mwanao umpendae ndo katoka humo chooni na panga.

Kwahiyo ndo unataka niamini hilo mzee mzima ovyo embu nipishe.

Mama asma katika akili yake alijiuliza maswali haya mawili.
*HIVI NI KWELI?*
*NA KAMAKWERI MWANANGU YUKOJE ALIKO*.

 Kama mzazi alifikilia mengi juu ya mwanae kisha akapata wazo aende kwa wazazi wa hassani ili wajue kama ni kweri au laaa.

Kituoni HASSANI alikua analia tu nakushindwa kujibu anacho hojiwa uku akiwa akijiuliza kichwani mwake *ASMA UKO WAPI*

Asma alilia sana alivyo fika kwa kina hassani nakukuta baba yake na HASSANI amefaliki dunia kwa mshtuko wa taarifa ya mwanae kijijini hapo.

 ....itaenderea...

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.