Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SITO ISAHAU SEHEMU YA 08

*SITO SAHAU*
HANCY KUMBILO.
   0715364116.
SEHEM YA NANE.

MAMA alvin aliona mkono wake unatoka moshi..

Enderea.

Mkuu leo nna nini mbona kwa huyo pia naumia mimi mimi naona leo sio siku yao.

Haaa haaaa we kweri ujakomaa ngoja nipe ile fimbo.

Alipewa fimbo akaongea maneno ya kichawi kisha akaanza kumtandika ummy.

Ila kupigwa ana pigwa ummy lakini maumivu anapata mama alvin. 

Mkuu unaniumiza mimi huku leo tuondoke kesho tutawajia .

Upande wa mama baba mdogo sasa akiwa amelala akanza ota yuko kwenye shuhuli ya harusi tena kuna watu maalufu tele .

Ila cha ajabu kwenye hiyo harusi vyakula watu wanakula juu ya tumbo la mwenzake.

Kisha akaja mtu nakumuomba yeye alale ili tu uyo mtu na yeye ale chakula juu ya tumbo lake.

Alikubali baada kuona hapo wote wanakula hivyo. Alilala na yule mtu aliweka sahani kwenye tumbo lake nakuanza kula.

Kila jamaa akikata tonge ndipo baba mdogo alikua akisikia tumbo lina mkata. Na akainuka haraka kutoka usingizini.

Jasho likiwa linamtoka hoffu juu juu. Mala umeme ukawa una katika na kuwaka.

Alianza kuita kweni yeye alilala kwenye chumba cha wageni ambacho kiko nnje .

ALVIN alvin mwanangu aliona mlango unafunguliwa na aliemfungulia alikua ni salome. 

Afadhali salome naomba nichukulie dawa za tumbo maana linanikata sana.

Hizi hapa baba nimekusikia ukilalamika tumbo sasa ni hizi hapa.

Alichukua uyo mzee nakuanza kumeza mala kimoja kilodondoka na alivyo kiokota alishangaa kuona mende.

Hee salome hiki nini sasa.
Baba bhana unashangaa mende wakati mwengine umemeza haaa haaa na hapo angalia glass yako ndani.

Mzee baada kuangali aliona ni usaa ulio kua na damu ndani yake.

Alimwaga chini kisha kuita upya alvin . Malia ila kimya kilitawala na akupata kusikia mtu anajibu uito wake.

Kidogo mbere alikutana na mama salome. Ooh shemeji afadhali ila huyu mwanao ana akili kweri maana mimi naumwa na tumbo yeye kanipa vitu nisivyo vierewa.

Sasa mimi nikusaidie nini baba alvin mdogo ahh nisaidie dawa tu.

Mala mama salome alimuita mumewe na kumuacha baba mdogo kuto erewa.

Mme wangu embu niletee dawa nimpe mdogo yako.

Alishangaa alicho kiona kweni alikua akimuona kaka ake akija na akiwa katika hali ya kama zuzu na alikuja huku amesheka fimbo.

Alimpa mama mkewe fimbo na mama alvini alianza mchapa baba mdogo.

Alichapwa sana kisha akaambiwa ingia ndani kalale tumbo litakua limepowa.

Alikimbia nakuingia ndani ajabu aliona tumbo limepowa kabisa akavuta shuka na kuanza kutetemeka huku akiwa ana hoffu ya hali ya juu.

Asubuhi ilivyo ingia mlango wa chumba cha baba mdogo uligongwa aliinuka nakuja kumuangalia ni nani.

Alivyo fungua alimuona kijan mmoja ambae alimuona jana kwenye ndoto na ndiye alie kula chakula juu ya tumbo lake.

Na kijana alimpa karatasi kisha kuyayuka mbere ya baba mdogo.

Baba mdogo alianguka chini na kishindo cha getti kilifanya alvin na malia kuja kuangalia.

Baba vipi tena mbona peke yako una anguka.

Wanangu haya ni majabu nnaya ona katika nyumba hii kwanza embu nisomee hii karatasi. 

Alvin alifungua na akuona kitu kilicho andikwa. Baba hii iko tupu na aijaandikwa.

Baba baada kuichukua yeye aliona karatasi mda huo huo ikijiandika kwa damu na neno liliandikwa.

Ukitaka kumfata kaka ako enderea kubaki hapa.
     *usikose sehem ijayo*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.