*SITO ISAHAU*
HANCY KUMBILO
0715364116.
SEHEMU YA SABA
ILIPO ISHIA..
Unasemaje..!! .
Enderea...
Familia nnzima ya mzee robbat iliuliza kwa mshangao hasa mama alvin.
Alvin alimuuluza baba ake mdogo ni nani na yuko wapi..?
Mimi pia sifahamu ila ukweri ndo huo tena huyo mtoto ndo anaishi na mama yenu mzazi.
Mama mzazi...!!!
Ummy kila baada ya mda kusogea ndipo na yeye alikua akiwa mwingi wa uoga juu ya maneno aliyo yaongea.
Kidogo alisikia maneno kutoka kwenye mdomo wa mumewe kwa mbali sana akisema *ummy baba ako ummy baba ako*
*Mama alvin atatuua.*.
Watu wa maeneo hayo gumzo na story kwa siku hiyo ilikua ni juu ya msiba wa mzee robbat.
Na visa vilivyo tokea kubwa ni kukutwa AziZi kwenye kabuli la mr robbat.
Ndio mama enu mzazi ni hili swala ata mama salome analijua.
Mama alvin alisimama nakuanza kua mkali .
Hata kama najua kuhusu huyo mtoto lakini mali hizi mimi ndo msimamizi na ndie nntakae panga lolote.
Kisha akanaondoka.
Nakuacha sinto fahamu kwa watoto pia baba mdogo wa hao watoto .
Alvini alimuomba maria na salome wapishe waongee na mzee.
Sasa baba niambie vizuli juu ya hilo swala.
Iko hivi alvin baba ennu alioa mwanamke ambae ni muislamu. Na wakati huo alikua anafosiwa na ndugu ili amuoe uyu mama enu alie ondoka hapa.
Ndoa na mama huyo wa kiislamu ilikua kama siri.
Na familia nnzima ni mimi tu na shangaz yenu wa dar ndo tulikua twajua.
Sasa alifanikia kuzaa watoto watatu ambao ni kaka ako wewe na dada enu.
Siku moja mama enu mzazi aligombana na robbat kweni huku kwetu ilisha pangwa amuoe mama salome na siku ya harusi ndio mama enu mzazi alikuja kujua na kushuhudia iyo harusi.
Wakati kafika kwenye harusi wewe na maria mlikua hospital lakini uyo kaka enu atukujua yuko wapi.
Sasa mama enu alifanya sana fujo ila kwa ajabu alianguka chini na akaanza kudata kiakili. Na ilisemekana pale pale kanisani alilogwa ila atujui na nani ivyo ndo kiufupi cha stori.
Daah sasa baba mdogo mbona kama mama yetu huyu tuna fahamu kama ni mama mzazi ilikuaje?. Tutaongea kesho ngoja tupumzike.
Ilivyo fika mida ya usiku sana tena ni mida ya wanga. Mama salome aliitwa na mmzee mnyako na walikutana kwenye mmbuyu mkubwa na kuongea.
Mkuu bila shaka leo ndo siku ya kula nyama ya mume wangu na mimi niko tayali.
Sawa ila leo ni ijumaa tungojee kesho ili iwe siku moja ya kula na mtoto wa yule mama jeuri.
Sawa sasa mbona umeniita huku peke yangu.
.
Umesahau nimekuambia mchana kwamba inabidi tumuoneshe cha mtema kuni yule bint emmy.
Oooh nilisahau maana nna mambo mawili sasa nilieka akilini moja nataka nimfanyie vibweka na mdogo wa mume wangu.
Sasa kule tuna watuma watu wakamfanyie hivyo vibweka.
Sisi tuna enda kwa emmy tena mda huu mimi kanikera pale msibani.
Basi safari wala aikua ndefu sana walifanya kupaka unga kisha kuyayuka na walivyo futa unga walikua tayali wapo chumbani kwa ummy na azizi na waliwaona wamelala.
Sasa mama alvin toa ile sindano . Alitoa mama alvin mchome kwenye nyayo kwanza azizi.
Sawa mkuu alitoa sindano nakumuingizi azizi unyayoni iliingia ila ajabu ilio kubwa maumivu alikua akisikia yeye mama alvin chini ya nyayo zake aliitoa haraka.
Mkuu naumia mimi baada kumchoma azizi alivyo inua mguu aliona damu chini ya mguu wake.
Sinto fahamu ikatanda.
Basi achana na maliki unaumia kwa kua tume weka nia juu ya ummy na sie azizi.
Embu mkabe shingo uyo mwana haramu ummy.
Alianza fanya kama alivyo ambiwa ila baada ya kukalibia kumshika tu shingo alikushwa kama kapigwa na shoti na mkono wake aliona una toa moshi.
Usikose SEHEMU 08.