Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SITO ISAHAU SEHEMU YA 06

*SITO SIHAU*
HANCY KUMBILO
 0715364116
SEHEMU YA SITA.

ILIPOISHIA.. azizi alimuangalia mke wake kisha aka muoneshea kidole mama alvin.

Enderea..

Amna alie amini tukio ilo walimtoa nakuanza kumpepea ili kujalibu kumludisha katika hali yake.

Ummy baada kuona mumewe yuko katika hali ngumu alilia sana nakutamka maneno ambayo ni magumu na watu walikua wakishangaa

Nasema hivi kama mume wangu ata kufa wallah mama alvini sito kubali kwa ulicho mfanyia .

Bila shaka ni wewe sasa kama umemtoa kafala mume wako tafadhali na mume wangu.

Watu baadhi walishangaa maneno yao na wapo waliamini na wasio amini.

Lakini maneno hayo yalileta ugomvi mkubwa maana alvin alishindwa kuvumilia maneno hayo kwan alikua akiamini kinacho toka mdomoni mwa ummy.

Alitoa mkono wake na kumpiga kofi la kulia ummy shemeji yake .

Ilhamu alimuomba alvini ampige na kushoto. Kisha akasema kumuambia alvini .

Umenikosea sana shemeji asante ila iko siku mtakumbuka nisemalo pia mtaniomba mimi msaada kweni amujui tabia ya mama enu kweni ni mchawi huyo.

Mala paap la pili kushoto kofi. Msibani kulikua na vibweka na alvin alisema jaman mimi naona tuzike maana huyo dada ni kichaa kweni bwana ake jana alikua amedanga amejifanya kuja hapa.

Azizi alikua anasikia ila tu alikua awezi kuongea .

Ummy aliomba msaada wa kumnyanyua mumewe. Ila alvin aliwaamulu watu wazike na akuna kutoa msaada kweni lengo wamekuja kuzika na sio kuja kutoa msaada kwa wazinifu.

Ummy aliumia sana kusikia mumewe akiitwa jina la mzinifu.

Basi alijitaidi nakumtia mumewe mgongoni na tala tibu alianza safali.

Mzee mmoja maalufu kama mzee mnyako alishika sikio lake na hapo hapo msibani mama alvini alishika na yeye sikio na walianza kuongea.

Uyu bint umefanya kazi gani mbona kama kajua siri zetu kwa ufasihi. Kwanza juu ya mmeo na pia mumewe.

Mwenzangu ata mimi sierewi ila huyu ni mtoto mdogo sana kwangu leo kazi anayo.

Sawa na mimi nntashilikiana na wewe juu ya jambo hilo mama alvin.

Nntashukulu sana.

Msiba ulizikwa na kila mtu kuludi kwao.

Upande wa ummy kila hospital wakimuangali mumewe wanampa majibu kua yuko mzima tu hana tatizo.

Ndipo ummy alikua akiumia sana kwani kwa macho yakawaida anamuona mumewe ni mgonjwa sasa majibu ya madaktali yalikua magumu kwa upande wake.

Aliludi nae nyumbani na kwa hofuu juu ya mama alvin alikua mwingi wa uoga.

Baba yao mdogo na alvini aliita kikao cha familia ya mzee robbat na kuanza kuwapa maneno. 

Jamani kuna kitu ambacho amkijui na marehemu alisema ikitokea amefariki ni waambie.

Wote waliuliza ni kitu gani..??

Ni kwamba mzee robbat ana mtoto wa kiume ni mkubwa kuliko alvini.

Unasemaje....!!

*ITAENDEREA*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.