*SITO ISAHAU*
HANCY KUMBILO
WHTSP 0715364116.
SEHEMU YA TANO.
ILIPOISHIA..
KUNA MTU ALIPIGA SIMU NAKUSEMA KUA YEYE NI MPENZ WA AZIZI HIVYO WASIMTAFUTE.
endereaa ..
Alivyo maliza kuongea akakata simu na kuacha sinto fahamu kati ya azizi malia na ummy.
Ummy alikimbilia ndani huku akiwa analia sana.
Malia alibaki na kaka ake nakumuuliza hiki nnacho kisikia ni kweri au kuna mchezo.
Mimi sijui mdogo yangu na pia sijawai kuona na nnacho shangaa ni kwamba huyu dada ananijua lakini simjui .
Embu mpigie tena.
Walivyo mpigia waliambiwa namba unayo piga haipo tafadhali chunguza kwa makini na uludie tena.
Walistaajabu lakini ilibidi waludi wapumzike malia alimuacha ummy bila kumuuliza chochote.
Asubuhi ilivyo fika alvin aliwalipa watu wakuchimba makabuli na Kabuli lilichimbwa .
Mdogo wa marehemu alifika na kuamulu wazike saa nne .
Basi talatibu zilienderea na ilifika wakati wa kuaga maiti.
Kila alie pita aliona maiti kweri ya mzee robbat lakini wachawi wote waliona ni mgomba tu umo ndani ya jeneza.
Ummy akuenda kwa imani yake kuaga mwili ila alikua akiangaza tu mumewe yuko wapi ba hata kama kudanga ndo adi asahau kuzika kweri mke mwenzangu fundii.
Upande wa kijana azizi alishamaliza kulima na alikua hoi .
Wale wachawi walio muomba wakaanza kujiuliza watamtupa wapi ili itimie kama walivyo ambiwa na mama alvin kwamba watu washangae.
Kila mmoja alitoa wazo wengine walisema kwake mlangoni . Wapo waliosema msikitini ila mmoja tu alisema niachie mimi iyo kazi na kama nikikosea nnta adhibiwa mimi.
Watu walibeba jeneza nakuingia kwenye gali . Bibie ummy alipanda piki piki tu kweni imani yake inaa mkataza.
Walivyo fika makabuli walitoa jeneza mala watu wa mwanzo kukalibia na shimo walianza kukimbia nakusema maajabu jamani majabu.
Tahamaki kila mtu alijiuliza nikitu gani mbona watu wanakimbia nakusema maajabu.
Alvin na wanaume kadha ilibidi washuke nakuenda kutazama ni majabu gani.
Walivyo fika walimuina mtu akiwa na boksa na singlend tu akiwa yumo ndani mwa shimo la kabuli.
Akuna aliemjua na alvin aliingia na baba ake mdogo kisha kumgeuza walivyo mgeuza tu walimuona ni azizi tena akiwa anatokwa na damu kichwani na mdomoni.
Waliokua juu waligundua na wao kama ni azizi nakutamka msikimbie ni azizi huyu.
Alivyo sikia jina mume wake bibie khadija (ummy) akasema kimoyoni huyu mwanaume hapa hapa msibani namuanzishia kumpenda kote lakini ana nisaliti.
Alisogea kalibu na shimo na yeye lakini maria alikua akimzuia .
Maria ni ache awezekani mshenzi huyu mwanaume tangia jana...
Kabla ajamaliza kauli yake ndipo alifanikiwa kumuona mumewe katika hali iliyo kua mbaya.
Alianguka chini kwa kuishiwa na nguvu . Azizi alimuangalia mkewe na kisha kumuoneshea kidole mama alvin.
*itaenderea*
By: Hancy kumbilo 0715364116