*SITO ISAHAU*
*HANCY KUMBILO*
0715364116.
SEHEMU YA TATU.
ILIPO ISHIA MAMA NA MWANAE WAKISEMA LEO AZIZI KAZI ANAYO.
ENDEREA...
wapishi walipiga mda mwingi mnoo lakini mahalage yalikua aya hivi.
Ikatoka ela ya kuni na alvin aliagiza vocha ili ampigie baba ake mdogo ajue yuko wapi.
Mqma alvin alitoka nakuingia chooni kisha akatoa ungo na ndani ya ungo alimwaga unga na kuanza kuongea lugha ya kichawi.
Mala katikati ya ungo ikatokea sura ya mkuu wake.
Mama alvini watu wana kiuu na hamu ha nyama ya mumeo adi sasa hivi tunae tunakusubili wewe tu kweni umesahau.?
Nakumbuka mkuu kama ukitoa mumeo lazima umchome kisu na ue wa kwanza kumla nyama.
Sasa kama unajua unasubili nini ..?
Mkuu si unajua ukitoa pia sheria ukae huko siku mbili sasa nnacho ofia macho ya majirani zangu kuto niona siku mbili ingali mume wangu ajazikwa.
Wanasema wanamsubili mdogo yake tukizika tu nyama tamu tamu yetu mkuu.
Sawa kwa heri .
Azizi mda huo alishikwa na haja ndogo nakuamua kwenda chooni .
Aliona mlango uko wazi wala akubisha hodii kwa bahati alipishana na mama alvini akitoka chooni lakini akiwa kaficha kitu kwapani.
Azizi aliangalia na akujua nini kilicho bebwa.
Usiku ulifika ma watu walikula na taratibu mida ya kulala ilifika.
Mama alvin alimuita salome nakumuuliza kweni uyo mdudu mtu nnje bado yuko?
Mdudu mtu ndo nani mama.
Wewe nawe kichwa panzi kweri si uyo kaka yenu wa hiyali azizi.
Yuko mbona sasa ngoja tuandae kitu mwanangu.
Alitengeza mfano wa unga unga kisha akaweka katika glass za pombe na akiamini azizi anywi pombe hivyo ata kua macho wenzie watalala na hapo ndo ataona kazi yake.
Azizi alikua na alvin wanaongea ujue kaka mimi naona kama jana nimezingua ivyo leo naomba nikalale nyumbani.
Kaka utaondokaje wakati hiyo hiyo jana kwangu usiku ulikua mkubwa sana mimi nakuomba tu na leo lala.
Si umemsikia baba mdogo kasema kesho anaweza kufika asubuhi sasa akiwai wewe aupo itakua picha nnzuli kweri.
Daah sawa alvin ila mke wangu itabidi aende nyumbani.
Aina tabu hiyo.
Mala zilipitishwa glass za pombe na wanaume wote walikunywa kasoro azizi kweni alikua peke yake ni muislamu pia ni mtu wa dini sana.
Baada ya kunywa watu walianza kulala .
Usiku wa saa nane azizi aliona kama maji yana muangukia usoni.
Alishtuka kutoka usingizini nakuamka lakini baada kupitisha mikono yake vizuli usoni aliona kweri maji yako usoni mwake.
Akaanza kuchanganyikiwa . Mala akaona watu wanne wanakuja kwake wakiwa na mavazi yaliyo wafunika kote ya langi nyeupe na kuna matundu mawili tu ya kwenye macho.
Aliogopa sana aliinua nakuanza kutaka kukimbia lakini alivyo taka kuinua mguu alianguka na alivyo angalia aliona joka kubwa limemzunguka katika miguu yake.
Alianza kumuamsha rafiki yake alvini.
*alvin kaka alvin amka nakufa mwenzio alvn we*
Alvin alishakunywa pombe na ukichanganya na ule unga ndo kabisa.
Azizi alikua na wakati mgumu sana na mwishoe alimuona mama alvin akiwa na salome wanakuja na nyuma ya mama alvini yuko mzee robbat ambae ndo malehemu.
Na akiwa kafungwa kamba misiri ya mbuzi .
Mke wa azizi usingizi aujaja kabisa na yeye akiamini kwamba uenda mumewe ana pata tabu mda huu mbona akili aimkai sawa.
Na akikumbuka alivyo adisiwa asubuhi na mumewe kwamba alimuona mama alvin anapigwa makofi.
Na vile alivyo ona alama za vidole kwenye mashavu ya mama alvin.
Alisema ata ngoja nikamfate mume wangu yule mama uenda si mtu mzuri maana kafiwa na mumewe ata kulia alii.
Azizi alipiga kelele sana lakini akuna alieweza kusikia .
Na salome na mama ake walianza kumchapa azizi huku azizi akiomba msaada.
Ila wakati azizi anachapwa ajabu azizi aliona mr robbat akimuombea msamaha kwamba azizi ausiki na lolote na wala si mwana familia kwanini munamtesa kweni mimi sitoshi tu.
Azizi alikua aelewi anachokiona ghafla aliona wale watu wenye shuka nyeupe wakitokwa na damu midomoni.
*ITAENDEREA*