Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SITO ISAHAU SEHEMU YA 02

*SITO ISAHAU*
Whtsp 0715364116
 HﹰﹰANCY KUMBILO 
  SEHEMU YA PILI.

ILIPOISHIA... 

Azizi alipiga kelele baada yakuguswa na kijani nakupiga kerere ambazo ziliwaamsha watu na watu walisikia akisema mchukue huyo huyo baba alvini.

Enderea..

Watu walishtuka na walio kua na mioyo ya uoga walishaanza kujikojolea na kuamini kwamba uenda marehemu kafufuka kweni mtaa wao ndo habali zao kweni wachawi ni wengi sana.

Wanaume waliemuinua azizi huku akiwa anatokwa kwa hasho.
Alvin alimshangaa sana mwenzake kwanza kwanini alienda kwa kina mama kule na mida ya usiku.

Azizi aliomba ruhusa akapumzike kwake na alvini alimuomba pia ummy aende na mkewe ili akamtulize maan usikute anaanza kudata.

Wakiwa njiani azizi alijisikia baridi sana huku nywere zikimsisimua sana na alijikumbatisha pembeni mwa mkewe na mkewe alikua akisoma dua kwa imani ya kiislamu *aadhu bi lahi mina shaitwani rajimu allahuma inni audhubika mina shaitwan*

Khadija alikua akisoma huku akiamini dalili anazo ziona kwa mumewe ni kwamba wachawi labda wanamjalibu walifika kwao salama salimini.

Asubuhi na mapema azizi alikua ummy kashamuandalia maji na chai ilikua tayali.
Hakika ummy na azizi walikua wameshiba katika maswala ya dini katika imani yao.

Walivyo anza break fast ndipo khadija ambae ni ummy alianza kumjaji mumewe.

Hivi wahuba jana ilikuaje maana ni jambo kubwa ambalo alijawai kukutokea .

Mke wangu sio sili mimi naona kama live ila mtu akifa unawezaje kumuona na hata ivyo nilimuona mama alvini amevaa nguo nyeupe na alikua anapigwa kwa makosa ambayo siyajui.

Basi bhana mda ulienda na walichukua mtu na mumewe waende msibani .

Walifika na azizi aliomba sana msamaha kwa tukio la jana lakini azizi aliona kuna mzee anamuangalia kwa jina la ukali sana mpaka akawa muoga .

Alivyo ingia kwa rafiki yake malia mke wa azizi aliwapa pole pia alimuombea mumewe msamaha kwa makosa aliyo yafanya jana usiku na kusema ndo alivyo ana wewesekaga usiku.

Alivyo sogea kalibu na mama alvini ajabu aliona alama za vidole katika mashavu ya mama alvini na ummy akawa ameanza kua na wasi wasi na mama alvini pia uenda mumewe alikua aoti.

Alivyo muuliza muhusika alisema jana salome alinipiga baada ya kupandiaha mashetani.

Alivyo ulizwa salome alikubali kama kafanya hivyo.
Basi bhna watu walisahau mambo ya jana ila mama alvini alimuomba ummy akamuitie alvini nnje.

Shemeji mama anakuita ndani.

Alvin alifika nakusikia wito.
Kweni alvini mwanangu ratiba ikoje hapa ndo bado baba enu mdogo mpaka afike yeye.
 
Ndio salamu zake hizo na kasema tukiwa nyuma ya yeye na udugu akuna.
.mimi nasema hivi nataka mume wangu azikwe kalibuni .

Kweni baba ako mdogo akija baba ako anafufuka au usiwe kama shoga wewe kama vipi nikupe kanga .

Alvini alitoka nnje nakuwa mwingi wa mawazo juu ya mama ake .

Ujue alvini nakushangaa sana kuona kila mama akikuita ndani unaludi na mawazo tele kuna tatizo kweni?

Amna kaka salama tu ila si unajua kamzoea mumewe ivyo mda ote ananifananisha na mumewe kaka. Aliongopa alvini . Moyoni alimuomba msamaha rafiki yake kwa kumuongopea.

Mala alikuja ummy na baadhi ya majirani kuomba pesa ya kuni.

Azizi alicheka sana nakuwauliza jamani mnachemsha mawe nini mbona mara ya nne hii toka asubuhi maarage aya hivi tu.

Sisi tunashangaa yaani kuni zinaisha lakini maharage aya hivi.

Wewe salome njoo . Abee mama ujue mimi uyu ummy na mumewe azizi siwaelewi .

Kweri mama kweni jana alikuona ulivyo kua na mkuu.

Mimi sijui ila leo kama ata lala hapa kazi anayo yule mwana haramu.

      *itaenderea*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.