Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SITO ISAHAU SEHEMU YA 01

*SITO ISAHAU*

*HANCY KUMBILO*

 WHTSAP 0715364116.

SEHEMU YA KWANZA.


Jamani baba angu weee atanisomesha nani mimi leo baba weeee umeniacha na mama tu na wala atuna wakumtegemea baba weee jamani baba .


Alvin pole sana kaka kwa matatizo haya kweni mpangaji ni mungu najua ina uma sana rafiki yangu lakini tambua wewe ni mwanaume  .


Si unamsikia dada maria anavyo bwabwaja hayo maneno sasa wewe kama ulivyo tulia hapa na ulii kama mama na dada ako ndo inabidi pia ufunge mkanda wa kiume na uilinde familia yako.


Asnate sana rafiki yangu  nashukulu kwa kunifariji pia kwa kunitia moyo wa ujasili nakuadi ndugu zangu na mama lazima wasifikilie swala la baba.


Ndo udume sasa mimi wacha nikafate kwanza shuka nyumbani ili nije nilala nawewe muite shemeji yako amtulize malia kweni anavyo lia sana ndo mama nae anakumbuka kitu cha baba ana anza upya.


Kijana aliinuka ambae ni rafiki mkubwa wa alvini aitwae Azizi aliinuka nakuenda kwao kuchukua shuka ili aje alale msibani.


Akiwa njiani alisikia sauti za ajabu ajabu tu zikiwa zinaita *mama alvini mama alvin haaaahaaa embu njooo mama malia*


Azizi ilibidi ageuke nyuma kisha kupangusa masikio yake nakusikiliza tena. 

Kama atazisikia zile sauti lakini akusikia tena nakuenderea na safali.


Alvin alitoa simu nakumpigia mkewe na azizi aitwae khadija ila walikua wanapenda kumuita ummy. 


Shemeji nimekuita hapa nikuombe kitu kimoja umnyamazishe maria analia sana halafu huu msiba unasiku nyingi mpaka baba mdogo atoke kigoma ndo tujue nini kina fanyika sasa atakuja kuumwa bule.


Sawa shemeji nimekuerewa na nntafanya ivyo usijali ila si wajua mzee katukoka ghafla ivyo lazima awe na machungu maana maria alipendwa sana na baba.


Mimi pia nalijua.


Mara azizi alilejea tena kwenye msiba akiwa yuko fiti kwa kulala.


Basi ummy alienda kumtuliza malia na malia kidogo akapumzika kwenye miguu ya ummy.


Usiku saa nane kijana azizi alikua apati kabisa usingizi kweni alikua akisikia zile sauti zikijiludia.


Aliamka nakujiuliza ni nini kina msumbua.

Aliangaza huku na kule lakini alikua aoni mtu alie kua akiongea bali wapo watu ambao wamelala na wako fofofo na usingizi alitupa macho pia uwani kwa wamama nako poa kulikua swari .


Wakati anatoa tu macho yake kule uwani na aludi kulala aliona mtu kapita kwa kasi na alikua kavaa nguo nyeupe tupu.


Akajiuliza kichwani nnaota au ni kweri mbona sierewi mda ule nilisikia mama alvini anaitwa asaivi nnaona malue lue wacha niende nijue nini kina enderea.


Alinyata huku akiwa ana uoga wa hali ya juu maana kulikua shwari mda huo hapo .


Mala alivyo kua anakalibia kufika kule nyuma aliko ona mtu kaelekea na shuka ama vazi jeupe alisikia mtu akilia huku akisema

*nisamehe mkuu siludii na pia kama niliweza hili basi ilo nntajitaidi*


Sasa azizi ni nani huyo analia na inaonekana analia si kwa msiba bali kuna kosa kalifanya.


Mala akasikia sauti ya kofi akipigwa mtu. Alivyo jibana na kuchungulia alimuona ni mama alvini.

Alitaka kumuita lakini akasita nakuziba mdomo kweni alikua aelewi.


*basi mkuu nisamehe na wewe ondoka nae tu mimi nipe siku tatu* alipigwa kofi la pili nakuambiwa kimbia maeneo haya .


Wakati mama alvini anaondoka kijana alimuona baba alvina akiwa ana unga usoni huku akiwa anatokwa na udenda mdomoni.


Azizi alijiuliza naota ama kweri ghafla yule mtu asie onekana vizuri alipotea kwa miujiza na baba alvini wakimuacha kijana asijue nini kinaenderea.


Azizi alishangaa sana kwa kua akili yake yote ilikua ikiwaza alicho kiona na huku akijiuliza maswali bila majibu.


Kuna kitawi cha mti kilimgusa kwa uoga akanza kupiga kelele. 


*NIACHE MCHUKUE HUYO HUYO BABA ALVINI*


 Watu walishtuka na kuamka.


   *je nini kitajili *


About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.