Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA KUMI NA MOJA (11)

SAFARI
SEHEMU YA 11
whatsApp 0655585220
Basi walipokuwa wakiendelea kuwapa huduma huku waliendelea wakishanga, nini kinacho wamaliza wale PAPA, wote walitazama macho kuangalia nini kitatokea pale wanapoona mapambano, lakini hawakujua ni ya baina ya upande upi na upi, basi YOROBI alingoja na kukaa akionyesha umakini mkubwa, kwa hali aliyoiona ndani ya maji, huku akihisi kuna tukio litatokea, ambalo siyo lakawaida,Naam wote wakiwa wanatazama baharini mala wakaona, bahari ikiwa ime tulia na mizoga ya PAPA ikiwa ina elea juu ya uso wa bahari, kisha wakaanza kuona kiumbe kikiibuka toka ndani ya maji, kadri alivyo zidi kuibu ndivyo walivyo zidi kumwona izuri, alikuwa ni binadamu, tena ni wakike, huku akiwa ameshika siraha, mfano wa kisu kilicho jikunja mbele inaitwa mundu, (kuna makabila wanaita chikwakwa) uso wa mwana mke huyu ulionesha kuwa bado ni mwingi wa hasira, walipo mwangalia vizuri ndipo walipo gunduwa kuwa yule wanae mwona hakuwa bina damu ila ni samaki mtu, kwa kiswahili anaitwa NGUVA, kwa ENGLISH anaitwa MAILRMAID, hakuna ambae hakutambua kuwa yule ndie aliekuwa akipambana na wale PAPA, nakuwaokoa wakina BERALITA, binti Nguva alikuwa amesimama akiwatazama nakuwaonyesha ishala flani, ambazo wao hawakuzifahamu, kiukweli nnguva yule alikuwa na nia nzuri kwao na lengo lake ni kuwajulisha kuwa wasi pite kule wanako elekea, Ndipo alipoonekana akinyoosha mkono wake na kuwaonesha kuwa bado kazi ikiendelea, kwani PAPA walikuwa wengi, na alipokwisha kuwaonesha mara gafra PAPA.nao waliongezeka haraka sana, na kuwafanya vijana waliokuwa kwenye JAHAZI wakiongozwa na YOROBI, huku wakihofia sana juu ya kupoteza, uhai wao hapo kila mmoja akajipanga tayari kwa mapambano, pasipo kuogopa kufa au kuliwa na PAPA, hapo bkila mmoja akitumia silaha za jadi, wote walitumia zana zao mpaka zikawaishia. kasolo YOROBI ambae hakutumia bastola yake,
NGUVA huyo kumbe alikuwa akilinda haki za wanyonge, ambao hawakuwa na msaada baharini, sababu iliompelekea mpaka awasaidie watu awa hakutaka kuonakuona wakimwaga damu zao bila hatia yoyote, aliamua kutoa msahada huo, ukweli alifanya kazi kubwa sana, pindi alipokuwa akijitolea kuokoa umati huo.
Basi binti NGUVA alianza kupambana mno, akijitahidi kuwazuia PAPA wale wasiingie kwenye chombo, na kufanya mahafa, kwa watu waliokuwemo ndani ya chombo hicho. kweli tuna fanana nywele, lakini siyo hakili, wakati hayo yakiendelea, YOROBI alikuwa ametulia, akitafakari jambo juu ya yule Binti Nguva, uwezi amini alichokuwa akiwaza YOROBI, mawazo ya ke yalikuwa ni kumzibiti haraka sana BINTI NGUVA, akiamini kuwa atakapo maliza, kuwa angamiza wale PAPA ataamia kwao,...... unazani itakuwaje? nini kitatokea endapo YOROBI atafanya kitendo hicho cha kipuuzi, nijulishe kama umesoma tuendelee, hapa hapa kwa
Ahmad Mdowe

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.