*UJI WA NGANO*
*mahitaji*
NGANO NZIMA
HILIKI
TUI LA NAZI
UNGANGANO
SUKARI
*method*
🍉chemsha ngano zako ziive
🍉weka maji moto jikoni tia hiliki,,wacha yachemke
🍉tia ungangano ktk maji yaliyochemka,,utakadiria kuasi unataka ujiwako uwe mzito
🍉tia ngano
🍉tia tui la nazi au maziwa
🍉tia sukari
*enjoy*