Notification texts go here Contact Us Buy Now!

NASAHA YANGU YA LEO

Estimated read time: 1 min

_Sio kila akwambiae anakupenda huwa anakupenda._

      💞💞

_Ujue kuwa kuna kupendwa na kuna kutamaniwa usije ukatamaniwa ukadhani wapendwa  kumbe watamaniwa tu._

        💞💞                                               _Na hakuna mtu aliye na ulimi mtamu kama asali, kama anayekutamani na ni vigumu sana kumtambua maana ataficha ubaya wake wote na akudhihirishie uzuri wake tu._

      💞💞

_Kwa hivyo dada zangu, kaka zangu,wanangu zingatia huu wangu wasia_

     💞💞

_Penda unapopendwa, utakujapenda unapotamaniwa._

     💞💞

_Na mwisho hakuna mapenzi ya dhati ya mitandaoni bali ni kutamaniana tu na kupotezeana wakati._        


*Kuwa makini*

 

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.