Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MWANACHUO SEHEMU YA TANO (05)

MWANACHUO SEHEMU YA TANO (05)


'CHOMBEZO YA MAPENZI'

         'INAITWA'

   --MWANACHUO?.--

MTUNZI;Isaack Kanyankole
NO;0625915000
KUTOKA;DSM TZ
EPISODE;05

      ...ILIPOISHIA...

Lakini sikuweza kufanya hivyo ndo kwanza niliongeza spidi ya kupampu..Sabrina alianza kulalamika huku akiwa ananyongonyea na hatimae safari hii alianza kuhema kwa juujuu!?..

     ...ENDELEA...

  Na baada ya kuona   Sabrina akiwa anahema kwa kasi ilinibidi nimuachie huku nikichomoa mtarimbo wangu,,nilibaki nikiwa namtazama Sabrina kwa jinsi alivyokuwa akipumua kwa kasi ya juu huku akiwa ananitazama kana kwamba anataka kuzimia kwa jinsi alivyokuwa amenyongonyea.

"Itakuwa siku nyingine nimechoka yaani hadi kitumbua changu nasikia kinawaka moto yaani duh sijui ulikuwa umeniamulia". Sabrina aliongea akiwa anashika kitumbua chake na kukitazama.

"Mh,,sawa ila sijalizika bwana si unaona rungu bado imesimama". Nilizungumza nikiwa namshika kiuno Sabrina.

"David nimechoka itakuwa siku nyingine na pia si unajua hapa nipo kazini".

"Sawa ila jumamosi sijui utakuwa na muda".

"Mh!,sizani labda jumapili ndo uwa nafunga mapema hapo nafikiri naweza kuja".

"Basi fanya kuja nyumbani siku ya jumapili ila ukitaka kuja unambie ili nitazame kwanza upepo wa mazingira ya nyumbani si unajua tena mwenye nyumba jinsi alivyo".

"Sawa nitafanya hivyo ila kumbuka siku ya jumapili usitoke".

"Poa". Niliitikia nikiwa navaa suruali na baada ya kumaliza kuvaa suruali nilitoka na Sabrina kwenye chumba hicho na kuelekea nje na baada ya kufika nje tuliagana.

"Dah!,,naona unaweza kuniua bila kunambia ona sasa mambo ambayo yamenitokea".

"Kwani bosi wake kakukuta dukani nini?". Jordan aliongea akiwa ananipatia dagaa mchele.

"Yah,,ila kama angefanikiwa kuniona sijui yangenitokea yapi maana duh..ila ajafanikiwa kuniona yaani sielewi kama angeniona sijui ulikuwa ingekuwaje?".

"Samahani sikutaka kukuambia kwamaana Sabrina alidai siku nikikuona nikuelekeze anapofanyia kazi".

"Sawa basi chukua pesa yako". Nilipokea dagaa mchele na kumpatia pesa yake na kisha nilielekea nyumbani na baada ya kufika nyumbani niliwasha gesi na kisha niliweka sufuria ya maji.

"Ulikuwa wapi,,hapa najua umegaili na nikafikiri umepata dili".

"Hapana ila nafikiri unamkubuka Sabrina".

"Yah namkubuka si yule ambaye yupo mtaa wa kati na pia wewe si ulinichezeaga faulu kipindi tunamfukuzia binti huyo Sabrina".

"Hapana sema yeye ndo alijichanganya ndo ikala kwake".

"Sawa vipi sasa umekula mzigo nini maana sio kwa kuchelewa huko?".

"Ahaa,,wapi yaani kidogo nikamatwe si kwasasa amepata kazi duh yaani aliyemuajiri anaonekana anamkomalia sana". Nilimuong'opea Thomaides.

"Kwani ni mwanaume bosi wake nini?".

"Hapana ni mwanamke ila anamkomalia sana hebu tuachane na hiyo mada vipi leo jioni tunaenda kudikusi chuoni hama maana atujaenda kwasababu ya ajari".

"Yah,,tunaenda hebu pika haraka ili nile harafu nipumzike".

"Poa ndo maana na mimi nikanunua dagaa mchele maji nayo yameishachemka". Nilizungumza nikienda kwenye ndoo na kuchota unga ambao niliona wazi ungetutosha,,nilisonga ugali na baada ya kumaliza kusonga nilipakua na kisha kila mmoja alinawa mikono na kuanza kula baada ya kumaliza kula. Thomaides alilala hivyo na mimi ilinibidi kuosha vyombo ambavyo nimepikia na baada ya kumaliza kuosha vyombo nilianza kufanya baadhi ya maswali ya Fizikia,,kipindi nikiwa naendelea kufanya maswali hayo na mara simu yangu ilianza kuita ilinibidi kupokea kwa haraka baada ya kuona simu ilikuwa imetoka kwa Mama.

"Halloo shikamoo Mama".

"Marahaba vipi mnaendeleaje?".

"Tunaendelea vizuri tu Mama mbona nakusikia una wasiwasi kwenye simu?".

"Ni kweli nina wasiwasi kwamaana nimeweza kupata taarifa kuwa kuna gari ambalo limepata ajari karibu na chuo chenu hivyo nikawa nina wasiwasi mwanangu".

"Usiwe na wasiwasi Mama ila ajari hiyo imetokea kweli hapa chuoni".

"Poleni sana ndicho nilikuwa nataka kukuulizia na vipi kuhusu hela ya mahitaji bado unayo".

"Ndio bado ninayo Mama usiwe na shaka nikiwa sina nitakwambia na pia mkopo ambao wanatupa ni mdogo sana Mama ukiling'anisha na matumizi ambayo tunapashwa kufanya".

"Usiwe na wasiwasi wewe ukiwa na shida nipigie na pia Babaako kwasasa ameenda Kenya kuna baadhi ya mambo ameenda kufatilia".

"Sawa mama baadae".

"Sawa".

    Na baada ya kumaliza kuongea na Mama nilikata simu na kisha nilitoka nje naam kitendo cha kutoka nje lilikuwa kosa kwamaana nilichokikuta nje nilibaki kinywa wazi huku nikiwa natafakari juu ya hatima yetu mimi na Thomaides kama dhahama hiyo ingetukumba hama kwa hakika kwa nje kulikuwa na kitimtim kila mmoja alionekana kumshinda mwenzake kwa mabishano!?...

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.