🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀
Weye ndio furaha ya Maisha yangu
Uwepo wako karib kwng ni mithili ya mbolea ktk mbegu
🥀❤🥀❤🥀❤🥀🌺🥀❤🥀❤🥀❤🥀
Siwez kuwa wala kustawi kimapnz bila ya wy wng Hanyyy
🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀🌺🥀
Upendo wako kwangu hugarisha moyo wng na huufanya kuwa na furana ck zote
🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀
Wy ndio taswira katk penz langu na Tumaini juu ya Tamat la penz langu kwako
🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀
Wy ndio nuru kwako naangaza wy ndio Njia juu ya kulifikisha lengo la penz letu .
🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀❤🥀
Naomba usijeniumiza wala kunituwa njiani nifikishe hadi mwisho wa safar yetu ya Kimapenz ili Nifurahiya Mapenz yako matamm Maishani
❤ *NAKUPENDA SN TENA SANINNA WANGU MWANDANI* ❤