Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KUPIKA ACHARI YA MBIRIMBI.

ACHARI YA MBIRIMBI.

ACHARI YA MBIRIMBI.

Roweka mbilimbi kwa maji ya moto kwa dakika 10 kisha zitoe,zikipoa zitoe moyo zote na uziweke pembeni.


Chukua nyanya,carrot,hoho na pilipili uziblend hadi upate paste nzito.


Weka mafuta kama nusu kikombe kwenye sufuria la mfuniko mimina ile paste yako pamoja na ginger/garlic paste na spices uzipendazo(curry powder/achar masala/manjano powder etc) na chumvi wacha ichemke kwa dakika 8 hivi mimina mbirimbi zako,(zisiwe na maji)wacha zichemke kidogo,zisivurugike halafu epua uache zipoe kabla hujamimina kwenye chombo cha kuhifadhia.


Nb:unapopika funika sufuria ili isimwagike kwasababu inaruka.


Enjoy .....

Maoni 2

  1. Hii tamuu balaa
  2. Umeshawahi kula hizo!??
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.