Story ;SANGARE
BY ;Mogy shine
No.0621302436
///////////////////////
SEHEMU YA 17
Tulipo ishia jana,Kila mtu alimcheka sangare na kusema "amebeba matambara na rungu wakati isa amebeba upinde na mishale ,kila mtu akasema sangare harudi salama anaenda kufa.
Huku mariamu amegundua sangare ni mwanae na ameingia kwenye mpambano na wanaamini kila mtu akiwekwa kupambana na mbwa mwitu huwa anageuzwa kitoeo na mbwa mwitu
Mariamu alianza kulia na kusema mwanangu hatimae nimekuona na unaenda kufa ,rudi usiende kupambana utakufa
Wakati huo sangare ashaingia ,mtemi alicheka ha ha ha tuone nani shujaa wakutoka salama,
Wanakijiji walikuwa wengi wamejaa sana ,rabeka alivyosikia mariamu akilia na kusema sangare mwanangu ilibidi amfuate na kumuuliza ,
Mariamu lini umezaa mtoto akawa mkubwa kama sangare ,wanawake ambao walikuwa eneo lile walianza kumzomea mariamu ,mama tini alisogea karibu na mariamu na kuanza kumsuta ,
Mariamu huna haya kujiliza machozi ya unafiki mbele ya wanakijiji?lini ukapata mtoto wewe malaya sungu tasa, mgumba huzai ,mtemi akawa anasikia pamoja na mzee jingi ambae alionekanika kukosa raha baada ya sangare kuingia kwenye mpambano na ubwa mwitu.
Jobwe ,alivyoona mariamu anasogwa na akina mama pamoja na mabinti ,alijipenyeza na kumshika mkono mariamj,tambua kwenye kijiji jobwe anaheshimiwa sana kutokana na baba yake kuwa na mali nyingi kuliko mtu yeyote hapo kijijin,
Jobwe akauliza " kwanini kila siku mnamcheka huyu mariamu "sasa leo wacha niwathibitishie " mariamu kipindi anaishi dar alishakuwaga na mimba na mimi ndio nilikuwa kama mme wake ,lakin najua kabisa ile mimba haikuwa yangu ila nilikubali kuilea sababu mimi nilikuwa nakuja kijijin na kulangua kuku kisha naenda kuuza dar es salama,
Najua mtashangaa ,ila leo naweka wazi ,nililea ile mimba ya mariamu hadi siku ya kujifungua ,kwa bahati mbaya ile siku nikaibiwa pesa zangu ,sikuweza tena kumsaidia sababu sikuwa na hakiba ya pesa kwa wakati ule,
Nakumbuka nilimwachia mfuko ambao ulikuwa ni mto ambao alinitengenezea mama yangu ,mto uliotengenezwa kwa majani ya sangare ,ndio maana amemwona sangare anasema ni mtoto wake .
Vile vile mimi nilikubali kubeba jukumu la kuitunza mimba sababu wazazi wake walikuwa wanaugua ugonjwa wa ukoma ,hakuwa na ndugu mwingine.
Mara mama yake najobwe alitokea na kumshika mwanae huku analia kwa uchungu "mwanangu kumbe uliacha mto wa kulalia niliyekutengeneza kwa ajili yako ,ule mto haukuwa wa kawaida ,nilitengeneza ili uweze kupata uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito,mwanangu ulifanya nini?,hadi nazeeka bado hujanipatia mjukuu ,
Tini ambae niliamini ni mjukuu wangu ,hata ile mimba ilikuwa si yako bali ni ya mtemi ,mwangu jobwee kwanini uliuacha ule mto kwa mariamu?,
Jobwe aliona kila kitu kimeharibika na wanawake wote wamesikia kuwa yeye anatatizo kwenye mbegu zake za uzazi ,hawezi kumpa mwanamke mimba ,ndio maana aliamuaga kuwa na wanawake tofauti tofauti sababu hana uwezo wa kuwapa ujauzito.
Jobwe alimtoa mama yake nje ili akalie vizuri hasira zikiisha basi maisha yataendelea,mama tini nae akabaki njia panda ,mwanaume ambae yuko nae hana uwezo wa kumpa mimba aliumia japo hakudondosha machozi.
Baadhi ya wanawake wengine walianza kumlaumu mariamu kwanini haukugundua mapema kwamba sangare ni mtoto wako ,ona sasa ushachelewa ameingia kwenye mpambano tena kwenye mbwa mwitu hapo tuhesabu marehemu tu.
Mariamu alianza kuomba akapiga magoti ili mtoto wake asife ,atoke salama aweze kumuomba msamaha kwa kumtelekeza angali mchanga.
Tukirudi kwenye mpambano ,eneo ambalo alikuwepo issa ,walinzi walivuta kamba kwenye mlango wa kuwafungulia chui ,chui walitoka na kukoroma kwa nguvu ,wakanusa damu ambayo issa amejipaka walianza kumfuata ,tambua lile eneo lilikuwa na ukubwa heka moja huku likiwa na miti miti mingi,
Issa akiwa ameshangaa aliona chui mmoja akija kwa kasi ,aliweka mshale sawa kwenye upinde kisha alivuta alimpiga chui maeneo ya mbavuni ,chui akayumba ,kabla hajatulia vizuri issa alivuta mshele tena alimpiga wa shingoni ,chui alidondoka chini akamumalizia kumipiga mishale ya macho yule chui akapoteza uhai ,
Issa akiwa ameshangaa alishangaa kucha za chui zikazama mgongoni ,akakwaruliwa kwaaaah!!!,
Issa alikoswa na jino la chui shingoni kadondoka ,ki ukwelk issa ni mwepesi alivyodondoka akiwa chini alivuta upinde ,chui alikuwa na hasira aliruka ili amkwarue issa machoni,pale pale issa aliwahi aliachia mshale ambao ulimpata vilivyo chui kwenye koromeo ,chui akadomdoka chini ndipo issa alijiviringisha na kumumalizia chui hadi akapoteza maisha.
Issa akawa ameraruliwa mno mgongoni damu ikawa inamtoka ,ndipo akaanza kujikongoja na kutoka nje,
Alifika getini alikuta wanakijiji wamejaa walimshangilia na kumwita shujaa ,shujaa katoka salama,
Ha ha ha ha "mtemi akiwa amekaa kiti karibu na mshauri wake mzee jingi alicheka na kusema " jingi umemwona mwanangu ee ni jembe shujaa wa nguvu ametoka salama
Walinzi walimpokea. Issa na kumkagua kama hajakwaruzwa hata kidogo ili awe shujaa ,lakin taarifa zikapelekwa kwa mtemi ,amekwaruzwa mgongoni na kucha za chui ,basi alichukuliwa ili akapatiwe matibabu.
Mtemi alisimama na kuzungumza "shujaa wa kwanza katoka salama japo amekwaruliwa kidogo ila ameweza kuwaua chui wawili ,walinzi waliingia kwenye lile eneo na kuwatoa wale chui alio waua kwa ajili ya uthibitisho.
Makofi na vigelegele vilisikika vikimsifu sana issa ,minal alimtizama issa machozi yakamtoka ,minal akaanza kulia na kusema " kweli mimi ni mjinga ,kwanini najiweka karibu na issa hata kama kwao wanao mali kwanini mimi nakuwa mrahisi rahisi namna hii.
Sangare mbona kwangu ni wa mhimu ameniokoa kila nikiwa eneo hatari ,lakin sikuwahi kumshukuru ,issa kila kipindi cha hatari huwa ananikimbia ,
Hapana sangare usife huko kwenye mpambano ,pambana nimegundua wewe ndio wa mhimu katika maisha yangu,
Ni mawazo ambayo minali aliwaza hadi akawa anatiririsha machozi ,issa alivyomaliza kutibiwa alitoka na kwenda kwa minal na kumwambia "
"Leo ni leo msema kesho muongo nimeshinda mpambano nakuapia sangare na mafurushi yake hawezi kutoka salama ,jiandae tukafunge ndoa ,
Minal kwa jicho la ukali aliweka msimamo " sangare aliniokoa wakati baba yako anataka kunichinja ,na mimi ndio nimemponza ameingia kwenye huu mpambano ,
Endapo sangare atajliwa na ubwa mwitu basi sitakubali unioe endapo atatoka salama nako sitakubali unioe ,
Minal aliongea na kuondoka na kumwacha issa akicheka kwa dharau huku akisema sangare hawezi kutoka salama,
Tukirudi kwa sangare ,kamba zikavutwa mahali mbwa mwitu wamefungiwa , wakatoka wakiwa na njaa kali ,walinusa harufu ya damu ambayo sangare amepakwa mwilini,
Walianza kuifuata ,wakati huo sangare kama kawaida yake alichukua majani ya miti na matawi akajifunga mwili mzima ,ukimwangalia haonekaniki utadhani mti umesimama ,
Alisimama kati kati ya eneo ambalo anapambana ,kumbuka alikuwa anamafurushi ambayo ameyafunga vitambaa vyekundu alitoa furushi la kwanza akalitupa chini,
Mbwa mwitu kuona kitu chekundu wakajua damu , walikimbilia ili wakalitafune ,ile ilikuwa mbinu ya sangare ,
Mbwa mwitu watatu walianza kuligombania lile furushi kuku wakiling'ata wakijua ni nyama ,sangare akiwa amejifunga matawi ya miti ,alishusha rungu na kuwapiga kwenye vichwa vyao ,wote watatu aliwaua .
Kisha akatupa furushi lingine la pili ,mbwa mwitu wakiwa wanahaha huku na kule si wakaona furushi la vitambaa kwa juu limefugwa kitambaa chekundu wakajua ni nyama wakaenda wengine wanne,
Yaani sangare alikuwa anatupa karibu na miguu aliko simama ,wakiwa wanagombania lile furushi la matambara wakidhania ni nyama ,sangare akawa anawapa rungu zito la kichwani ,mbwa mwitu tena wanne wote kawaua jumla wakawa saba.
Akatupa tena maburungutu mawili ,ivo ivo mbwa mwitu wengine wakaja aliwatwanga marungu ya vichwa ,jumla kumi na mbili wote akawaua,
Alichofanya alivua yale matawi kisha akaweka rungu lake begani tayari kazi ashamaliza akanza kuzunguka eneo lile la mapambano.ukweli sangare alijionea mafuvu ya watu ,mifupa ya watu imezagaa eneo lile ,ni kwamba ukiingizwa kwenye eneo lile ukiuliwa na mbwa mwitu hamna kuzikwa tena ndio sheria za hiko kijiji,
Sangare aliona kweli ,huyu mtemi hana utu na wanakijiji ,anachojali sheria zake zifuatwe ,sangare akiwa anatembea ,alikuta miti ya matunda ya asili sasati pamoja na lade aliokota na kuanza kula huku akitembea taratibu pasina shaka maana mbwa mwitu wote ashaua,
Tukirudi nje mahali waliko wanakijiji walisubiri sana kisha mtemi alisimama na kusema "kama ilivyokawaida yetu ,muda umeenda sana huyo sangare hajatokea naimani tayari ashageuzwa kitoea ,,sisi hatuna muda wa kupoteza sasa minali atafutwe aweze kufunga ndoa na issa.
Minal alishikwa kwa nguvu na walinzi huku akilia na kusema hataki kuolewa na issa atasubiri kwa siku nzima haamini kama sangare ameuliwa na mbwa mwitu ,
Minal alisimama mbele ya mtemi ,akiwa analia alisema " sangare amezaaliwa dar es salam kwa ujanja na mbinu alizonazo hawezi kufa ,
Kama aliweza kuua nyoka kwenye sumu kali kwa kumkata na kisu basi hao mbwa mwitu naimani atawaua wote,watu walimcheka minal na kumwona anaongea kwa kufurahisha maana wanakijiji wanaamini kila mtu akipelekwa kupambana na mbwa mwitu lazima auliwe.
Mariamu akiwa amesimama kwenye mlango wa kutokea sangare endapo atashinda ,mariamu alikuwa analia sababu ashagundua yule ni mtoto wake
Mtemi sasa akawakalisha issa na minal awafungishe ndoa ,japo minal hataki ila anafungishwa kinguvu ,issa aliambiwa mshike mkono minal tuwafungishe ndoa,kabla hawajafanya hivyo walishangaa kumwona sangare mzima kabisaa wa afya yupo getini huku anakula tu lade na sasati huku rungu lake ameliweka begani ,alisema nifungilieni bana nimemaliza kazi
Kila mtu alishangaa ,mariamu gafla aliacha kulia ,mzee jingi akainuka na kusema nimacho yangu ama naota ,minal alitabasamu akasema ooh sangare
MTEMI ,kwa mshangao nae akauliza ni mwenyewe sangare ama tuko ndotoni ,maana haijawahi kutokea mtu kupmbana na mbwa mwitu akashinda
JE NINI KITAENDELEA?
Kama unapenda hii story niendelee kuipost basj ukisoma usisahau ku share mara moja tu,hakikisha Story ;SANGARE