Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MFALME GIRLBERT SEHEMU YA 02

  • SEHEMU YA 2
Baada ya kuona marafiki wa mkewe na majirani, ambao waume zao wengi alienda nao vitani nawengine kupoteza maisha huko vitani, wakiwa wanabwia bia na nastarehe nyinginezo, wakionyesha kumsahau kabisa kuwa yeye ni nani, alijawa na ofu kwa kuwa alijua kuwa hao ndo walikuwa watu wa karibu wa mkewe na wameshaharibika hivyo, akuwa natabia tofauti na walivyo wahacha, alijawa sana na ofu, na presha zikampanda, kwa kujua labda aweza kutana na mkewe naye anakunywa pombe, kwa kuwa mkewe akuwa mnywa pombe ila akawaza “niliondoka muda mrefu uliopita, lolote laweza tokea, ila najua mke wangu ananipenda sana na awezi fanya mabaya” Edgar aliusemea moya wamtu, kisha akamalizia kujichekea moyoni, basi akahachana na mawazo hayo na kurudi nyuma sana kimwawazo, akakumbuka maneno mawili matatu aliyoambiwa na baba yake kipindi akijiunga na jeshi “mwanangu Edgar sasa moja ya ndoto zako zimetimia, sasa fwata maelekezo yote ya wakubwa zako, naamini siku moja utakuwa mtu mkubwa sana katika nchi hii”
Basi alipokumbuka hivyo Edgar akajichekea moyoni kwa mara nyingine, na kujisemea “kweli aliyosema baba, sasaivi yanatimia, ila nasikitika kwa kuwa ayupo nami ili kuona moja ya mafanikio yangu” pia akawaza kuwa baada ya wiki moja atarudi kwenye meli mpya iliyonunuliwa na serikali, ili kuanza moja ya majukumu yake, alitaka kupumzika nyumbami na mkewe kwanza baada ya kutoka vitani, (maana alikuwa na gundi zamaana) akiwa na ushindi mkononi, akiwa anawaza hayo akaiona nyumba yake, alikuwa amesha ikaribia, akazidi kupiga atua kuisogelea, lakini kila alipo karibia na mapigo ya moyo nayo yaliongeza kasi ya kudunda ... itaendelea (utakosaje 3?)

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.